Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

pic2.jpg
pic7.jpg
pic1.jpg

Ugonjwa wa malaria umekuwa na tiba za asili nyingi ambazo baadhi tumeshaziandika na zimewasaidia wengi, leo tunawaletea tiba nyingine inayomaliza kabisa maradhi hayo.

Bamia

Chukua mbegu za bamia uzikaange, uzisage mpaka ziwe unga.

Chemsha nusu kikombe cha unga huo katika glasi 2 za maji kisha chuja.

Dozi:

Wakubwa kikombe 1 x 3 kwa siku kila baada ya mlo.

Miaka (7-12 ) anywe nusu kikombe x 3 kwa siku kila baada ya mlo. Huruhusiwi kuchemsha na kuweka bali fanya hivyo kila unapotaka kunywa.

Miaka (2-6) robo kikombe x 3 kwa siku.
Kwa watoto wachanga kijiko kikubwa 1 x 3, mpatie baada ya kunyonya au kunywa maziwa na kushiba.

Papai

Chukua mbegu za papai zikaushe kivulini, baada ya hapo zisage ziwe unga laini.

Dozi:

Weka kijiko kimoja cha chai kwenye uji, kama huwezi kutumia uji unaweza kuweka kwenye chai lakini muhimu sana kwenye uji.

Kwa siku tumia mara tatu.
Kwa mtoto miaka 5-10 unaweza kumgawia nusu ya mtu mzima.
Kwa mtoto wa miaka 3-5 unaweza kumgawia ¼ wote x 3 kutwa.

Alizeti

Chemsha kilo moja ya majani ya alizeti katika lita 2½ za maji kwa dakika 15. Dozi:

Kunywa nusu glasi x 3 kwa siku, tumia tiba hii kwa muda wa siku 5.
Miaka (7-12) ¼ glasi x 3 kwa siku. Miaka (2-6) kijiko 1 x 3 kwa siku.
 
Attachments

  • Mbu.jpg
    Mbu.jpg
    19.2 KB · Views: 75
  • Malaria.jpg
    Malaria.jpg
    13.3 KB · Views: 65
  • Mwili wa binadamu.jpg
    Mwili wa binadamu.jpg
    31.9 KB · Views: 69
pic2.jpg
pic7.jpg
pic1.jpg

Ugonjwa wa malaria umekuwa na tiba za asili nyingi ambazo baadhi tumeshaziandika na zimewasaidia wengi, leo tunawaletea tiba nyingine inayomaliza kabisa maradhi hayo.

Bamia

Chukua mbegu za bamia uzikaange, uzisage mpaka ziwe unga.

Chemsha nusu kikombe cha unga huo katika glasi 2 za maji kisha chuja.

Dozi:

Wakubwa kikombe 1 x 3 kwa siku kila baada ya mlo.

Miaka (7-12 ) anywe nusu kikombe x 3 kwa siku kila baada ya mlo. Huruhusiwi kuchemsha na kuweka bali fanya hivyo kila unapotaka kunywa.

Miaka (2-6) robo kikombe x 3 kwa siku.
Kwa watoto wachanga kijiko kikubwa 1 x 3, mpatie baada ya kunyonya au kunywa maziwa na kushiba.

Papai

Chukua mbegu za papai zikaushe kivulini, baada ya hapo zisage ziwe unga laini.

Dozi:

Weka kijiko kimoja cha chai kwenye uji, kama huwezi kutumia uji unaweza kuweka kwenye chai lakini muhimu sana kwenye uji.

Kwa siku tumia mara tatu.
Kwa mtoto miaka 5-10 unaweza kumgawia nusu ya mtu mzima.
Kwa mtoto wa miaka 3-5 unaweza kumgawia ¼ wote x 3 kutwa.

Alizeti

Chemsha kilo moja ya majani ya alizeti katika lita 2½ za maji kwa dakika 15. Dozi:

Kunywa nusu glasi x 3 kwa siku, tumia tiba hii kwa muda wa siku 5.
Miaka (7-12) ¼ glasi x 3 kwa siku. Miaka (2-6) kijiko 1 x 3 kwa siku.

Mkuu MziziMkavu, asante kwa kutuletea hii dawa ya ugonjwa wa malaria. Mi ni kati ya watu wanaosumbuliwa sana na malaria na kwa kweli nina zaidi ya miaka 30 nikisumbuliwa na ugonjwa huu. Nimekunywa dawa nyingi sana pasipo mafanikio,zinachofanya ni kutuliza kwa muda tu kiasi cha kunipa unafuu fulani kisha baada ya muda mfupi hali hurejea tena. Nifafanulie hapo kwenye mbegu za bamia na papai, je, ni kiasi gani cha mbegu nitakachoandaa ili kupata dozi kamili? Na kama sikukuelewa vibaya,kwa dawa itokanayo na alizeti umesema itumike kwa siku 5(kwa maana ya dozi kamili), je, kwa zile mbili nazo dozi kamili ni kwa siku tano? Naomba ufafanuzi wako ili niianze fasta!
 
Hizo mbegu za Bamia na mbegu za papai unatakiwa uwe kila siku unatengeneza na kunywa hapo hapo isikae zaidi ya siku 1 uliyotengeneza yaani kila siku unatengeneza dawa mpya na kuitumia unaweza kutumia kwa muda wa siku 5 au siku 7 au siku 14 au siku 21 kisha nenda kapime kisha uje hapa unipe Feedback .
 
Nitaitumia mkuu kisha nitarudi hapa kuupa mrejesho.
 
Wana JF hongereni kwa ushauri na mijadala yenye kusaidia jamii. Nasumbuliwa na malaria mara kwa mara, nahisi usugu umejengeka sasa. Naomba mwenye kujua dawa ya asili anijuze ili na wengine wapate kupona. Mungu awabariki
 
Homa inayo rejea rejea chukua kiasi Shubiri, habbatul mulki Asali chemsha kunywa siku 1 tuu unaweza kutapika sana au kuharisha usikhofu ila ukiona imezidi sana kunywa maji ya madafu au kula Muwa au kunywa maji mengi itakua ndio mwisho wa homa Akipenda Mungu.
 
Mzizi Mkavu hebu dadavua hapa ni kwa kiwango gani hii dozi
 
Wana JF hongereni kwa ushauri na mijadala yenye kusaidia jamii. Nasumbuliwa na malaria mara kwa mara, nahisi usugu umejengeka sasa. Naomba mwenye kujua dawa ya asili anijuze ili na wengine wapate kupona. Mungu awabariki
Mzizi Mkavu hebu dadavua hapa ni kwa kiwango gani hii dozi
 
Wakuu

Nimekuwa na shida ya muda sasa..nimekuwa nikipata malaria mara kwa mara. Nimemeza dawa mbalimbali lakini siwezi kumaliza miezi mitatu inarejea tena. Naombeni ushauri
 
USIPUUZE FANYA HIVI:
Chukua malimao 20 makubwa ,yakatekate kisha yachemshe kwenye sufuria yenye maji kama lita 4 hivi , chemsha kwa dk 26 hivi kisha ipua weka kwenye dish acha yapoe kidogo kisha loweka miguu humo kwa saa nzima
 
Eleza kwa kifupi nini kinatokea, isije ikawa ndio mwanzo wa kuota matende..

USIPUUZE FANYA HIVI:
Chukua malimao 20 makubwa ,yakatekate kisha yachemshe kwenye sufuria yenye maji kama lita 4 hivi , chemsha kwa dk 26 hivi kisha ipua weka kwenye dish acha yapoe kidogo kisha loweka miguu humo kwa saa nzima
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa miaka 2, nilianza na typhord...nimepona typhod then tatizo hilo likaniandama hadi kufikia kuona naenda kufa, mwisho nimetunia dawa inaitwa Artequine, kwisha habari kwa sasa ila ina bei kubwa, ni 25,000 sijui kama nilibamizwa wala sikujali sana, nina afya njema sasa karibia miezi 6 sasa, you can also try it..pia pima typhord kwanza ..

Wakuu

Nimekuwa na shida ya muda sasa..nimekuwa nikipata malaria mara kwa mara. Nimemeza dawa mbalimbali lakini siwezi kumaliza miezi mitatu inarejea tena. Naombeni ushauri
 
USIPUUZE FANYA HIVI:
Chukua malimao 20 makubwa ,yakatekate kisha yachemshe kwenye sufuria yenye maji kama lita 4 hivi , chemsha kwa dk 26 hivi kisha ipua weka kwenye dish acha yapoe kidogo kisha loweka miguu humo kwa saa nzima

Babu wa loliondo mko wengi
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa miaka 2, nilianza na typhord...nimepona typhod then tatizo hilo likaniandama hadi kufikia kuona naenda kufa, mwisho nimetunia dawa inaitwa Artequine, kwisha habari kwa sasa ila ina bei kubwa, ni 25,000 sijui kama nilibamizwa wala sikujali sana, nina afya njema sasa karibia miezi 6 sasa, you can also try it..pia pima typhord kwanza ..

Kaka nilitumia hiyo dawa miezi mitatu iliyopita, ili react sana mwilini nikalazimika mpaka kuwekwewa drip ilinikipeleka for 2weeks ni kama homa ilianza tena mkuu.
 
Pole kaka, try the next proposed by Mshana jr

Kaka nilitumia hiyo dawa miezi mitatu iliyopita, ili react sana mwilini nikalazimika mpaka kuwekwewa drip ilinikipeleka for 2weeks ni kama homa ilianza tena mkuu.
 
Mkuu,Kama Uko Dar,nenda pale Ubungo Plaza,kuna Clinic ya Dawa za Herbal ya jamaa wa Life.Nunua dawa inaitwa Rise Up ya magonjwa mengi na Mushana ya Malaria.Ya malaria ni ya majani,unakoroga kijiko cha chai kwenye maji kidogo sana,kutwa mara 3 kwa siku 6.Hapo utapona kabisa malari.Ila hakikisha mazingira salama,funga neti,pulizia dawa ya mbu.Hata utumie dawa nzuri kiasi gani kama mazingira sio mazuri kila mwezi utaumwa malaria
 
shukran mkuu.
 
Back
Top Bottom