Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Mkuu naomba kujua dozi ya hii dawa ya zandu!inatumikaje kwa mtu mzima.nashukuru kwa msaada na taarifa muhimu
 
Mimi nashangaa sana kwa hili, Tangu nizaliwe sijawahi kuumwa malaria, na hata mzazi wangu anasema hajawahi kuniona naumwa malaria..... WHY? INAKUWAJE SIUMWI NA NINAKAA MAZINGIRA YA MBU?

Apollo na magonjwa wapi na wapi?
 

Mzee bia unazokunywa huwa zinageuka mbu au?
 
Mkuu ni utafiti nimeshafanyaga, bia zinashusha immune yangu nafikiri.
 
Dawa mie siku hizi natumia CO-MALATHER, inatibu malaria parasites aina 4, unlike dawa nyingi zinaua parasites aina 3.
 
Socialife hiyo Co-malather inapatikana wapi na bei gani maana na mimi ni mhanga wa malaria sugu.
Dawa mie siku hizi
natumia CO-MALATHER, inatibu malaria parasites aina 4, unlike dawa
nyingi zinaua parasites aina 3.
 
Nenda phamacy yoyote kubwa wanazo. Kubwa sababu kupata dawa feki ni ngumu.
 

[h=2]"CHIDUDU" Dawa kiboko ya maleria, haina mfano.[/h]
Ni dawa ya asili ambayo ina karaha kidogo yaani yataka moyo,
huwezi kuamini ndani ya masaa machache unakuwa umeshapata
nafuu.

Inafanywa hivi,
Chemsha maji yawe ya moto kiasi ambacho mtu anaweza kuoga
bila shaka kwa wale wa maeneo ya baridi wanafahamu vema joto
la maji ya kuoga.

Chukua Keni ile inayotumika kuingizia mafuta ya kula au ya taa kwenye
chupa yenye mdomo mdogo, Ingiza hiyo Keni makalioni kisha miminia maji
hayo ya moto makalioni kupitia hiyo keni.

KITAKACHOTOKEA:
Utaharisha sana. Zoezi hilo litaisha kwa kujisikia hamu ya kula na
kujikuta ukirudiwa na afya. Najua wapo wanaoifahamu vizuri dawa
hii ya aina yake naomba wanisaidie kutoa ushuhuda wao hapa ili isije
kuonekana kuwa ni utani.

SOURCE:JF MEMBER GAZETI 13 NOVEMBER 2012
 
[QUOTE=Selemani mshimo

so sorry selemani mshimo,natumiaga sikuona hili swali lako,natumiaga simu.ok,hiyo zandu ukienda pharmacy za wahindi imejaa tele,pia kwa dar pembeni ya misikiti mikubwa ya wahindi,nasikia pia ipo tele
chemsha maji acha yapoe kidogo yawe ya vuguvugu,then chukua kijiko kimoja cha zandu koroga na hayo maji vuguvugu,kunywa kutwa mara tatu,kwa siku tano !utaona matokeo
 
Pole kwa malaria sugu zingatia ushauri tu utapona. ila kuhusu ulcers wasiliana na mimi mwenyewe ikiwa uko serious. Mimi huwa natibu hata Kisukari(Diabetes) kwa dawa za kienyeji(0767102441)
 

Oooh my God!
 
Wanabodi salaam!

Kwa muda mrefu hivi sasa mama angu amekuwa akisumbuliwa sana na malaria! Ametumia karibu dawa zote maarufu lakini ni kama vile zimegonga mwamba. Sijui Fansida, Mseto n.k hadi hizi wanazoita tiba mbadala, hizo hazijamsaidia.

Kwa utangulizi huo hapo juu, naomba msaada wenu wadau kwa mtu yeyote anayefahamu aina ya dawa ambayo anadhani inaweza kumsaidia Bi Mkubwa.

Natanguliza shukurani zangu!

NOTE: Bila shaka baadhi ya dawa hazishauriwi kwa mgonjwa anayeumwa aina ya fulani ya magonjwa! Kutokana na hilo, ningependa kupata ushauri wa dawa ya malaria inayoweza kutumiwa hata na mtu mwenye matatizo ya kisukari, presha na figo kwa kuwa hayo pia ni matatizo yake!
 
Mwambie atumie DUOCOTEXIN,VIDONGE 3/3 ,Dozi sh 12,000
 
Mwambie atumie DUOCOTEXIN,VIDONGE 3/3 ,Dozi sh 12,000
Thanx Mkuu! Bila shaka zinapatikana kwenye hizi pharmacy za kawaida, sio? In addition, huyu mtu ana matatizo ya kisukari, presha na figo. Vp uhusiano wa hayo magonjwa na hizo dawa kama una idea yoyote?
 
Me huwa nakunya alovera mwaka wa 9 huu mpwa,ila ngumu kumesa
 
Nadhani humu unatafuta namna ya kumpoteza mgonjwa. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…