Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mkuu wewe umeipata ZANDU ? ? UKO WAPI ? Tusaidiane !
Nimewahi nunua nikiwa moshi..hakika ilitatua tatizo langu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe umeipata ZANDU ? ? UKO WAPI ? Tusaidiane !
Mimi nashangaa sana kwa hili, Tangu nizaliwe sijawahi kuumwa malaria, na hata mzazi wangu anasema hajawahi kuniona naumwa malaria..... WHY? INAKUWAJE SIUMWI NA NINAKAA MAZINGIRA YA MBU?
Swali dogo tu je unakunywa bia. Kila mwili una reactions zake> kwangu niligundua nikinywa bia ya aina yoyote, napata malaria na niligundua baada ya kupata ajali. kipindi cha matibabu na kupona nilikaa zaidi ya miezi sikuugua. Nilipoanza tu nikaugua. Siku hizi nakunywa wine tu na ikiwa itaniletea malaria naanza hapohapo kusikia mgongo unaanza kuuma (nafkiri wine ni kali). nikikosa wine nakunywa valu au savanna lakini sio bia! kila mtu na mwili wake....
Dawa mie siku hizi
natumia CO-MALATHER, inatibu malaria parasites aina 4, unlike dawa
nyingi zinaua parasites aina 3.
Malaria sasa naona haitibika maana watu wengi sana hata wakinywa hizi dawa za metakalfin,arinet lkn baada ya wiki malaria iko palepale, niliwahi kumuuliza DR. mmoja aliniambia maranyingi wale wadudu hujificha kwenye maini na kizazi (kwa wanawake), ningependa mwny utaalamu basi atueleze kwa undani nini cha kufanya hasa umapopata malaria isiopona
Nenda phamacy yoyote kubwa wanazo. Kubwa sababu kupata dawa feki ni ngumu.
[h=2]"CHIDUDU" Dawa kiboko ya maleria, haina mfano.[/h]Ni dawa ya asili ambayo ina karaha kidogo yaani yataka moyo,
huwezi kuamini ndani ya masaa machache unakuwa umeshapata
nafuu.
Inafanywa hivi,
Chemsha maji yawe ya moto kiasi ambacho mtu anaweza kuoga
bila shaka kwa wale wa maeneo ya baridi wanafahamu vema joto
la maji ya kuoga.
Chukua Keni ile inayotumika kuingizia mafuta ya kula au ya taa kwenye
chupa yenye mdomo mdogo, Ingiza hiyo Keni makalioni kisha miminia maji
hayo ya moto makalioni kupitia hiyo keni.
KITAKACHOTOKEA:
Utaharisha sana. Zoezi hilo litaisha kwa kujisikia hamu ya kula na
kujikuta ukirudiwa na afya. Najua wapo wanaoifahamu vizuri dawa
hii ya aina yake naomba wanisaidie kutoa ushuhuda wao hapa ili isije
kuonekana kuwa ni utani.
SOURCE:JF MEMBER GAZETI 13 NOVEMBER 2012
Mkuu kuna dawa ya kipare inaitwa MVORO hiyo ni komesha.ni pm
Thanx Mkuu! Bila shaka zinapatikana kwenye hizi pharmacy za kawaida, sio? In addition, huyu mtu ana matatizo ya kisukari, presha na figo. Vp uhusiano wa hayo magonjwa na hizo dawa kama una idea yoyote?Mwambie atumie DUOCOTEXIN,VIDONGE 3/3 ,Dozi sh 12,000