NILIELEKEZWA HIYI DAWA NA PROF MMOJA WA KIHINDI KTK CHUO NILICHOSOMA UNDERGRADUATE MIAKA YA TISINI,NA NIMESHAWAELEKEZAWATU WENGI SANA! NAKUELEKEZA BUREEEE!TENA DAWA INAUZWA HADI KATIKA PHARMACY ZA WAHINDI!inaitwa ZANDU!ukiinunua niambie nikuelekeze jinsi ya kuitumia ili malaria isirudirudi tena kwako.ni dawa ya asili ya wahindi na inatibu magonjwa mengi sana hata typhoid,amoeba n.k,nk
mkoani pia zipo,nilishamwelekeza mtu hata mkoa wa manyara kwa wahindi babati zipo ,morogoro pale kwenye pharmacy ya wahindi kama unaenda crdb kuna daraja ukishavuka upande wa kushotokama unatoka mjini zipo,uko mkoa gani huo wahindi hawapo tanzania hii?dar mitaa ya uhindini kule mjini imejaa tele!wewe nenda duka lolote la muhindi uliza wapi utanunua zandu atakuelekeza,ukikosa niambie nikutumie.ila nina hakika huwezi kukosaMkuu ashindile,
Nikiipata nitakujulisha unielekeze matumizi yake. Hata hivyo, kwavile niko mikoani naweza chelewa ipata. Je, waweza kuwa specific inapatikana wapi ili niiagize direct?
mkoani pia zipo,nilishamwelekeza mtu hata mkoa wa manyara kwa wahindi babati zipo ,morogoro pale kwenye pharmacy ya wahindi kama unaenda crdb kuna daraja ukishavuka upande wa kushotokama unatoka mjini zipo,uko mkoa gani huo wahindi hawapo tanzania hii?dar mitaa ya uhindini kule mjini imejaa tele!wewe nenda duka lolote la muhindi uliza wapi utanunua zandu atakuelekeza,ukikosa niambie nikutumie.ila nina hakika huwezi kukosa
umepima malaria yako au parasites wako level gani na weka historia fupi ya ugonjwa wako na dawa zipi umetumia na masharti umetimiza kumaliza kozi ya dawa au unakunywa leo moja kesho umeacha
asante kwa mchango wako mara nyingi wanakuwa 3,4, haizidi 5. na dawa zote nafuata masharti na kumaliza course nzima,
umepima malaria yako au parasites wako level gani na weka historia fupi ya ugonjwa wako na dawa zipi umetumia na masharti umetimiza kumaliza kozi ya dawa au unakunywa leo moja kesho umeacha
Wakuu naomba msaada wa tiba ya malaria sugu tangu ujana wangu hadi leo nakaribia 50yrs nimekuwa nauguwa na kutibu malaria kila mwezi, tangu wakati wa chroloquine, fansider, Halfan,Metakhafin, Amodiaquine, mseto,,,,dawa za asili mshana, mwarobaini, soku-masai, n.k kwa yeyote atakae niwezesha kukaa angalau kila baada ya mwaka mmoja naahidi kutoa zawadi nono shs 100,000 hadi shs 2,000,000.
Hupima kuhakiki ni malaria kabla matibabu, pia namshukuru mungu sijawahi kulazwa kwa malaria, naomba msaada hata wa ushauri tu.
Nimekuwa na mawazo kuwa immunity yangu kwa malaria ni very weak, sababu sijasumbuliwa na magonjwa mengine labda kdg tonslitis kwa mwaka x2, minyoo x3 kwa mwaka, Mafua ndio mara kwa mara kila dalili za malaria tu
Swali langu je pana namna yeyote ya kuongeza immunity(kinga) ya mwili hasa dhidi ya malaria ?