Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utwange vifike nusu glass then weka maji ya moto yajae upate juice only twice a day. Siku moja tu
Umepima UTI?
Mkuu.@MoneyMakers Dawa ulizo zitowa ni za Virutubisho lakini hazitibu Ugonjwa wa Malaria tunataka utoe dawa zenye kutibu Ugonjwa wa Malaria sio virutubisho asante samahani kama nitakukwaza .Mkuu Ngafu
Pole sana kwa matatizo yako. Kwa sababu umetumia madawa ya hospitali kwa muda mrefu, ukichanganya na mfumo wa maisha tunaoishi sasa hivi, TIBA ya tatizo lako ipo kwenye VIRUTUBISHO.
Hakika, ukitumia virutubisho vifuatavyo kwa pamoja: SHAKE OFF PHYTO FIBER, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, RED YEAST COFFEE NA GINSENG COFFEE tatizo lako litakwisha kwa USALAMA kabisa, bila MADHARA (SIDE EFFECTS). Suala ni UAMUZI TU.
1. SHAKE OFF Phyto Fiber
Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.
Faida za Shake Off
- Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
- Ni njia ya haraka, salama, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
- Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
- Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
- Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.
2. Splina Liquid Chlorophyll
Imetengenezwa kutokana na mmea wa Mulberry unaotambulika kama chanzo bora cha Chlorophyll.
Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya. - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.
Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)
Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali
Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.
Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)
Splina Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:
Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.
Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances
Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.
Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.
Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.
Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.
Biotin essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.
Folic Acid Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.
Pantothenic Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol
Calcium important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.
Chromium Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.
Phosphorous Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat
Potassium It is necessary for muscle building and normal body growth.
Magnesium Helps in Muscle relaxation and contraction
Iron Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.
Faida za kutumia Splina Liquid Chlorophyll
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmengenyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.
Nani anatakiwa kutumia Splina Liquid Chlorophyll
- Watu wenye matatizo ya moyo
- Watu wanao toka jasho sana
- Watu wenye matatizo ya Ini
- Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
- Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
- Watu wenye upungufu wa damu
- Watu wenye ngozi iliyo pauka
- Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
- Watumiaji wa pombe na sigara
- Watu wasiopenda kula mboga za majani
- Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
- Wanopata maumivu wakati wa hedhi
- Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
- Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
- Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
- Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
- Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
- Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)
Kahawa za Ginseng & Red Yeast
Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damulehemu(Bad Cholesterol)
Faida za kahawa ya Ginseng
- Inaboresha akili na kumbukumbu.
- Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
- Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
- Inaongeza nguvu mwilini.
- Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
- Inashusha presha ya juu.
- Inaongeza nguvu ya kujamiiana.
Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast
- Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na triglycerides.
- Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)
- Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).
- Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).
- Inaboresha mmengenyo wa chakula.
Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.
Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.
KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
Dawa ya maleria sugu ni kutokunywa dawa. Nilikuwa na tatizo kama lenu wakati naingia Dar es salaam. Nilikuwa naumwa maleria kila baada ya wiki mbili na nilikuwa daima nikipima nakutwa nina maleria. Siku moja nikiwa nimetoka maabara nilipita kwenye duka moja la dawa kununua dawa wakati huo ni hizi SP ndiyo zimetoka kutoka tu. Nikamwelezea yule daktari hali ninayokabiliana nayo. Akaniambia yafuatayo:Bata Mimi Nina tatizo Hilo la MALARIA SUGU.
Naomba Wenye dawa waendelee kutujuza. Yule aliyetoa dawa za virutubisho tunaomba bei mkuu.
Namshukuru sana aliyetoa dawa ya JUISI YA VITUNGUU SWAUMU. Nitaaza kujaribu hii kwani VITUNGUU SWAUMU vinasaidia kwa magonjwa mbalimbali.
Mimi nimefikia kipindi MALARIA inajirudia kila baada ya wiki tatu.
Tumia malimao 120 kwa siku 10 na malaria yako itakuwa historia, mimi sasa sikumbuki niliugua lini malaria.
Dose
Day 1- 4
Day 2-8
Day 3-12
Day 4-16
Day 5-20
Day 6-20
Day 7-16
Day 8-12
Day 9-8
Day 10-4
Kamua limau na unywe kidogo kidogo kwa saa kuminambili kila siku,
Usichanganye na chochote hata sukari.
Si tu tiba bali na kinga ya miezi sita.
Binafsi nimemaliza dose yangu ya januari nasubiri ya Julai.
Tiba hiyo pia inatibu infection kwenye njia ya mkojo na figo pia.
NB. Mimi ni mfamasia kitaaluma.
Ndugu mfamasia,sina tatizo na tiba yako,ila nina shaka na taluma yako! 'Kunywa kidogo kidogo kwa saa kumi na mbili' maana yakea nini?
Wapendwa wanabidi,
Mimi nasumbuliwa na malaria sasa ni zaidi ya miaka kumi, nimetumia dawa karibia zote za hospitali wataalamu mpaka wamenichanganyia dozi lakini malaria inatoka baada ya cku mbili au wiki inarudia tena mpaka sasa ninahisi hizi dawa ninazokunywa ndio zitakazoniondoa mapema na sio malaria. Naombeni msaada wanabodi
Mkuu.@MoneyMakers Dawa ulizo zitowa ni za Virutubisho lakini hazitibu Ugonjwa wa Malaria tunataka utoe dawa zenye kutibu Ugonjwa wa Malaria sio virutubisho asante samahani kama nitakukwaza .
Waambie na wakuelewe. Na mimi nasisitiza hapa:Malaria haiponyeshwi na malimao wala vitunguu saumu wala mdalasini au phyto fiber-nenda hospitaliJamani hivi nyie mnaijua malaria kweli? Sijajua ni vigezo gani mnavyotumia mpaka kusema malaria sugu! Ni kweli kuna aina ya vijidudu vya malaria vyenye uwezo wa kujificha ktk ini kwa muda mrefu,ila vinapokuwa vimejitokeza ktk damu na vikaanza uharibifu,hakuna namna ambayo mtu unaweza kupona bila kutumia dawa ya uhakika,tusidanganyane jamani.Halafu naona siku hizi mtu akiwa hajisikii vizuri basi atasema ana malaria hata kama siyo.Na watu hawa ndio wanaotushawishi tuamini kuwa malaria inaweza ikapona bila kutumia dawa.Malaria inaua jamani,acheni masikhara,ohoo..
Halafu kuna maabara na vidispensari vya mtaani;viiinachezea watu hivi..! Na haka kaimani tulikojijegea kwamba ukipimwa hospitali ukakosekana na ugonjwa fulani basi hiyo hospitali haijui kutibu..sasa hivi vidispensari na vimaabara vyetu vinatumia udhaifu huo kutuibia senti zetu.Maana kila ukienda leo utaambiwa una malaria 3,kesho malaria 2,kesho kutwa malaria 7,wakati hamna lolote! Utasikia "nimepima taifod kwa dr.fulani nikatumia dawa sikupona,nikaenda kwa maabara fulani nikapima tena ikakutwa bado imo" kumbe wizi mtupu! Currently,techniques za uhakika kupima typhoid zipo chache na hivi vizahanati vyetu vya mtaani au hizo maabara haziwezi kuzifanya.
Ushauri: Nenda hospitali,tena sio lazima Muhimbili au Aga Khan,umweleze daktari jinsi unavyoumwa,mweleze kila kitu,atakupatia dawa utatumia utapona.Kumbuka sio kila mara unapojisikia kuumwa lazima iwe malaria.Halafu kwa taarifa yako,kuna ugonjwa unaotokana na fikira,tena huu ndio mbaya zaidi! Utakuta unaonesha dalili zote za malaria unazozifahamu wewe,lakini kiukweli sio malaria!
Kalagabaho.. Akili za kuambiwa...
Mkuu MoneyMakers Jina lako tu tosha unatengenneza pesa wewe (MoneyMakers) Maana yake ni mtengenezaji wa pesa sasa hilo jina tu peke yake ni biashara kwako.Mim Dawa zako nina mashaka nazo kuweza kutibu Malaria nina kuacha watakao jaribu ni shauri yao wenyewe asante samahani kwa kukwaza Mkuu kuambizana ni ukweli kuko kusikilizana hakuko.Mkuu Mzizi Mkavu
Niwe muwazi tu kwamba UMENIKWAZA kwani hujanitendea HAKI. Hujatumia VIRUTUBISHO VYA EDMARK kutibu Malaria sugu kama nilivyoeleza ukajua mbivu na mbichi. Sasa huo ujasiri wa kuniambia kwamba, "Dawa ulizo zitowa ni za Virutubisho lakini hazitibu Ugonjwa wa Malaria tunataka utoe dawa zenye kutibu Ugonjwa wa Malaria sio virutubisho" umeupata wapi?!!
Siku zote, kama haujafanya utafiti basi huna haki ya kuongea. Mimi niliyechangia uzi nina ushuhuda kutoka kwa watu wangu wa karibu juu ya hicho nilichokisema. Hebu tuache kufanya mambo kwa mazoea. Tiba ya Malaria au Magonjwa mengine kwa ujumla sio DAWA za hospitali au miti shamba kama unavyodhani Mkuu Mzizi Mkavu. Hakika, VIRUTUBISHO VYA EDMARK NI TIBA MBADALA isyokuwa na MADHARA inayotibu na sio KUTULIZA.
MAONI YANGU
Natoa wito kwa Mkuu Ngafu, Mzizi Mkavu na Wanajamvi kwa ujumla kutumia VIRUTUBISHO VYA EDMARK kutibu magonjwa mbalimbali. Nipo tayari kuandikishiana kwamba, kama mtu atatumia virutubisho kwa kufuata maelekezo halafu asipone tatizo lake, basi niwajibike kumlipa gharama zake. Kumbuka, magonjwa mengi tunayoumwa, MALARIA SUGU mojawapo, yanatokana na KINGA YA MWILI KUWA DHOOFU.
KUDHOOFIKA kwa kinga ya mwili kunatokana na sababu kuu mbili.
1. Acidic Body.
Miili yetu imekuwa ni Acidic Body kufuatia kula vyakula vyenye acid kwa wingi kuliko vyakula vya alkaline hivyo kupelekea miili yetu kuwa na acidi nyingi zaidi kuliko alkaline.
Ifahamike kwamba, "Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% na Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya". - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.
Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali
Vyakula asidi:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.
Vyakula vya Alkaline:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)
KUMBUKA
Vyakula vya Alkaline ndio vinahusika katika kuimarisha kinga ya mwili.
Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)
2. Kutokufanya kazi vizuri kwa Utumbo Mpana
Asilimia 90 ya magonjwa yote husababishwa na kutokufanya kazi vizuri kwa Utumbo Mpana kutokana na msongamano wa uchafu (sumu) mwilini zinazotokana na Vyakula visivokuwa na ubora unaotakiwa, Maji yasiyo salama, Kuvuta hewa zenye sumu, Mifumo ya maisha hatarishi na Matumizi ya mara kwa mara ya Madawa ya Hospitali. Hali hii hupelekea kutokupata haja kubwa vizuri (Tatizo la kukosa choo - Constipation). Sababu kubwa ya matokeo hayo ni kutokufanya kazi vizuri kwa mfumo mzima wa usagaji wa chakula. Pale ambapo chakula huwa hakisagiki vizuri hususani katika utumbo mpana basi tuelewe kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata maradhi mengi kama yafuatayo:
- Saratani ya utumbo mkubwa
- Vidonda vya tumbo
- Shinikizo la damu
- Kisukari
- Kufunga na kukosa choo mara kwa mara
- Figo kushindwa kufanya kazi vizuri
- Matatizo ya moyo
- Kukua kwa Tezi ya Prostrate (Prostrate gland)
- Kiharusi
- Ngiri
- Magonjwa ya ngozi
- Unene uliopindukia
- Lehemu (Cholesterol)
- Harufu mbaya mdomoni na hata Kikwapa
Sasabasi, hebu tuzungumzie uwezo wa VIRUTUBISHO VYA EDMARK kutibu si tu MALARIA SUGU bali hata magonjwa mengine katika MUKTADHA tajwa hapo juu. Kamwe tusikimbilie kusema VIRUTUBISHO VYA EDMARK havitibu bila kujua chanzo cha Malaria sugu na Magonjwa mengine. Suala sio MBU aenezae MALARIA bali UWEZO/ UIMARA WA KINGA YAKO YA MWILI KATIKA KUKUKINGA DHIDI YA VIMELEA WA MALARIA NA MAGONJWA MENGINE.
KARIBUNI
FEEL LOVE NOW!
Kwa mawasiliano, piga: 0713 366 473 au 0767 277 223
au tembelea Edmark International Official Website
Hebu jioneeni wenyewe jinsi VIRUTUBISHO NA BIDHAA ZINGINE ZA EDMARK zinavyozalishwa katika ubora wa hali ya juu kwa kubofya links zifuatazo hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=uEKo-PtYnjQ
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=uEKo-PtYnjQ