Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Ndugu mfamasia,sina tatizo na tiba yako,ila nina shaka na taluma yako! 'Kunywa kidogo kidogo kwa saa kumi na mbili' maana yakea nini?
Mkuu Mrimi amekosea kueleza Dawa yake ya Malaria Mkuu.@kasembe angelisema hivi unakamuwa Malimao 120 unaweka kwenye chupa ya Orange kisha uwe

unakunywa kila siku kijiko kimoja Asubuhi kabla ya kula kitu kijiko kimoja Mchana kabla ya kula kitu na kijiko

kimoja usiku kabla ya kula kitu utumie hiyo dawa mpaka umalize utakuwa umekwisha pona hapo ninafikiri

ungelikuwa umemuelewa vizuri kuliko alivyoeleza Mkuu
kasembe mimi pia ninaijuwa hiyo Dawa ya kutibu

malaria ni limao au ndimu ukitumia kwa njia nilyoeleza utaweza kupona bila ya wasiwasi.

Last edited by a moderator:
Waambie na wakuelewe. Na mimi nasisitiza hapa:Malaria haiponyeshwi na malimao wala vitunguu saumu wala mdalasini au phyto fiber-nenda hospitali
Mkuu georgeallen Huna unachochangia hapa Jamii Forums zaidi

ya kupinga pinga wewe inaonyesha umetumwa na hao Ma-Daktari au na Wakuu wako wa kazi uje kupinga hapa toa Dawa sio kuleta hoja ya kupinga tunachotaka sisi hapa utoe msaada wako wa Dawa ili watu wapone wewe unapinga pinga

kama vile ubishi wa klabu za Mpira Simba na Yanga. mimi ninasema hakuna Tanzania Dawa inayoponyesha ugonjwa wa malaria Dawa zilizopo zote Maduka ya dawa haziponyeshi Malaria.

Dawa ya Kutibu Ugonjwa wa malaria ipo hapo Muhimbili ni hii DAWA YA (Artemisinin) TOKA KITENGO CHA TIBA ASILI HAPO HOSPITALI YA MUHIMBILI. Dawa ingine hakuna tena hapo Hospitali ya muhimbili mjini Dares-Salaam.

Mkuu georgeallen Huna unachochangia hapa Jamii Forums zaidi

ya kupinga pinga wewe inaonyesha umetumwa na hao Ma-Daktari au na Wakuu wako wa kazi uje kupinga hapa toa Dawa sio kuleta hoja ya kupinga tunachotaka sisi hapa utoe msaada wako wa Dawa ili watu wapone wewe unapinga pinga

kama vile ubishi wa klabu za Mpira Simba na Yanga. mimi ninasema hakuna Tanzania Dawa inayoponyesha ugonjwa wa malaria Dawa zilizopo zote Maduka ya dawa haziponyeshi Malaria.
vipi MziziMkavu mtu akinywa mkojo wake ule wa kwanza asubuhi atapona malaria?

Last edited by a moderator:
vipi MziziMkavu mtu akinywa mkojo wake ule wa kwanza asubuhi atapona malaria?
Mkuu georgeallen Unataka nikupe Faida ya mkojo wako kutibu maradhi ya Binadamu Mwilini mwake? Mkojo ahutibu Maradhi ya Malaria mkojo wako mwenyewe wa asubuhi unatibu maradhi mengi tu mojawapo Yamaradhi yanayotibu mkojo wako wa Asubuhi ni haya hapa chini Hebu soma:

Urine Therapy Testimonials:

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"] Parkinson's[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Lung Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Stage 4 Breast Cancer[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Stage 3 Ovarian Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Emphysema[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FF99CC"]Colon Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Breast Lumps[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #66FFFF"]Prostate Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"]Hepatitis C[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #6699FF"]Fibroid Tumor[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Multiple Sclerosis[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Cystitis, bladder infection[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Epilepsy[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Consumption[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Fever, baby with[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]High fever, undiagnosed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Allergies[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #66FFFF"]Enlarged Prostate[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Food Poisoning[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Antibiotic resistant COLITIS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Asthma[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Lyme Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Parasites, Amebas[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Auto-intoxication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Influenza[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Kidney Stones[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Heart Burn[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Tooth Abscess[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Gangrene[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Rectal Bleeding[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]AIDS-1 AIDS-2[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Brain Tumor inoperable[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Rosacea[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Liver Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Malaria, Dysentery[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Low back pain, very severe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD="width: 100%"][SIZE=-1]The color in each box indicates which book contains information to deal with a particular malady or disease, though all of them contain holistic and prophylactic information that can help you live healthy, improve your health or help you fight multiple diseases. [/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD="width: 11%, bgcolor: #FFFF99, align: center"]Uropathy[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #66FFFF, align: center"]Prostate Cancer[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #FFFF00, align: center"]Salt* Deficiency[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #6699FF, align: center"]Universal Remedy[/TD]
[TD="width: 60%, bgcolor: #FF99CC, align: center"]Breast Cancer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hata tena nimesha kupa Faida za Mkojo wako mwenyewe mkojo wa Asubuhi unapo amka kabla kula kitu unakutibu hayo Maradhi niliyoyaweka hapo juu ukiweza kafanye utafiti na hao Ma-Daktari wako waliokutuma kisha uje hapa unipe Feedback.

Last edited by a moderator:
Nilivyomwelewa ni limao moja kwa kila saa. Ina maana ukichukua malimao 120 gawa kwa siku 10 unapata malimao 12 unayopaswa kutumia kwa siku.

Nilivyomwelewa ni limao moja kwa kila saa. Ina maana ukichukua malimao 120 gawa kwa siku 10 unapata malimao 12 unayopaswa kutumia kwa siku.

Hapana pale nimeweka idadi ya malimao kwa siku yaana yanaongezeka kila siku kwa muda wa siku tano halafu siku tano zinazofuata idadi inapungua kwa mtiririko uleule.

Shukrani kwa wote mliochangia mada hii kwa wahanga wa malaria tuko wengi sana tumejaribu kila mbinu, na bado hatuta kata tamaa ,....

Tusidanganyane!mimi nina mwaka wa pili sijatumia dawa ya hospital kujitibu malaria.naenda kupima hospital nikiambiwa ninayo natumia mchanganyiko wa malimau/ndimu,mdalasini plus vitunguu swaumu.siku 2 hadi 4 malaria kushnei.

Chukua malimau mawili yaoshe vizuri,then yakate vipande vi4,weka kwenye sufuria.menya vitunguu swaumu punye kama 7,then vitwange,then weka mdalasini kiasi.weka maji kwenye sufuria yenye mchanganyingo,chemsha mpaka ichemke kweli kweli.epua acha ipoe.kunywa kiasi ya nusu kikombe asubuh na jion.

Tusidanganyane!mimi nina mwaka wa pili sijatumia dawa ya hospital kujitibu malaria.naenda kupima hospital nikiambiwa ninayo natumia mchanganyiko wa malimau/ndimu,mdalasini plus vitunguu swaumu.siku 2 hadi 4 malaria kushnei.
Mkuu Mbaraka hebu mwambie huyu mkuu.@georgeallen hakuna Dawa ya kutibu ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania. Dawa za kutibu zipo za kienyeji tu ndio zinatibu ugonjwa wa Malaria

Last edited by a moderator:
Twanga vitunguu swaumu vya kutosha na majimoto glas moja kwisha

Mkuu Vitunguu swaumu vya kutosha ni kiasi gani?
maji ya moto glas moja ya ujazo gani?
Kinachotakiwa hapo ni nn Kimiminika moto cha vitunguu swaumu au?

Bata Mimi Nina tatizo Hilo la MALARIA SUGU.
Naomba Wenye dawa waendelee kutujuza. Yule aliyetoa dawa za virutubisho tunaomba bei mkuu.
Namshukuru sana aliyetoa dawa ya JUISI YA VITUNGUU SWAUMU. Nitaaza kujaribu hii kwani VITUNGUU SWAUMU vinasaidia kwa magonjwa mbalimbali.
Mimi nimefikia kipindi MALARIA inajirudia kila baada ya wiki tatu.
Poleni nyote wenye tatizo hili. Naamini dawa za virutubisho hufanya kazi nyingi muhimu mwilini. Swali langu kwenu nyote wnye tatizo la 'malaria sugu', mnao uhakika kabisa kwamba kinachowasumbua ni MALARIA? Hii dhana ya malaria sugu ipo sana japo uhalisia wake unatia mashaka.

Dawa ya maleria sugu ni kutokunywa dawa. Nilikuwa na tatizo kama lenu wakati naingia Dar es salaam. Nilikuwa naumwa maleria kila baada ya wiki mbili na nilikuwa daima nikipima nakutwa nina maleria. Siku moja nikiwa nimetoka maabara nilipita kwenye duka moja la dawa kununua dawa wakati huo ni hizi SP ndiyo zimetoka kutoka tu. Nikamwelezea yule daktari hali ninayokabiliana nayo. Akaniambia yafuatayo:
Dawa ukishazinywa kwa muda mrefu sana hugeuka kuwa sumu mwilini, na si ajabu ukienda maabara wanachokiona si plasmodia bali ni chembechembe za dawa ambazo zinaingia kwenye red blood cells. Mapendekezo yake yakawa, badala ya kunywa dawa za malaria ninywe maji kwa wingi, na nikiona maumivu yanazidi sana ninywe dawa za kutuliza maumivu, huku nikiendelea kunywa maji kwa wingi. Na huyu jamaa kuonyesha kwamba yupo serious, aligoma kuniuzia dawa. Mwezi wa kwanza wa zoezi hili ulikuwa mgumu sana kwangu, maana nilikuwa naumwa sana, na nilikuwa natamani nipate dawa ya kunitibu, lakini nikaamua kwamba sitakunywa, baada ya mwezi mmoja mwingine ile hali ilianza kutoweka na baadaye kupona kabisa. Na hadi hivi sasa huwa nachukua hadi miezi sita bila kuugua malaria. Hii njia inahitaji ujasiri, maana kuna wakati utazidiwa kabisa kiasi cha kukata tamaa.

Ahsante Lukolo

Wandugu mdogo wangu amekuwa na tatizo yani haipiti wiki 3 lazima aumwe malaria tumeshabadilisha dawa za kila namna lakini wapi mwenye uwezo wa kutusaidia tatizo atuambie jamani

Kwanza pole kwa kuuguliwa,
Angalizo langu la kwanza ni kwamba inaweza isiwe malaria. Kuna magonjwa mengi sana ambayo dalili zake ni kama malaria hasa bacteria infection. Infection inaweza kuingia mwilini kupitia mkojo, vyakula, kung'atwa na wadudud nk.
Ushauri jaribuni kumpiga vipimo vingi zaidi kugundua tatizo. Tafuteni maabara yenye technologia nzuri.
Unajua ma dr wetu wengu siku hizi hawako investigative ukifika joto limepanda, kichwa kinauma na mwili una uchovu basi utapigwa dozi ya malaria tu ahahah
Uguza pole, tunamwombea malaria ziishe

Wandugu mdogo wangu amekuwa na tatizo yani haipiti wiki 3 lazima aumwe malaria tumeshabadilisha dawa za kila namna lakini wapi mwenye uwezo wa kutusaidia tatizo atuambie jamani

Kwanza pole kwa kuuguliwa,

Angalizo langu la kwanza ni kwamba inaweza isiwe malaria. Kuna magonjwa mengi sana ambayo dalili zake ni kama malaria hasa bacteria infection. Infection inaweza kuingia mwilini kupitia mkojo, vyakula, kung'atwa na wadudud nk.

Ushauri jaribuni kumpiga vipimo vingi zaidi kugundua tatizo. Tafuteni maabara yenye technologia nzuri.

Unajua ma dr wetu wengu siku hizi hawako investigative ukifika joto limepanda, kichwa kinauma na mwili una uchovu basi utapigwa dozi ya malaria tu ahahah

Uguza pole, tunamwombea malaria ziishe

Asante lakini kama juzi tumpeleka mkombozi hosptal pale kinondoni tukapima magonjwa mengine kama typhoid,amiba damu vote hivyo hakuwa navyo mkuu

Back
Top Bottom