Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Ni mambo ya political economy of the medical/biomedical sector!!!!!!!

Kwa nchi yenye hali ya umasikini na.ombaomba kama hii tutazungushwa kama pia ndugu zanguni wakati dunia inapambana na athari za madawa ya kulevya kuna viwanda inatengeneza dawa za therapy kwa wanaoacha so kwa hawa wenye viwanda uwepo wa mateja ni neema kwao!!!!

Magonjwa ni mtaji wa viwanda vya dawa kwa hiyo watafanya juu chini ili tuumwe wauze dawa so vita ni dawa ya nani iwe first line in a country!!! Kama limeshaanzwa kusemwa tulipe muda tu kwani vita huanzia WHO huku ni echo tu!!
 
chama umenikumbusha;
kweli tena wakati mwingine tulikuwa tunaitwa na ile pembe tunaenda kufanya kazi za kujitegemea,

Huko kwetu vijijini hii bado ipo, tuna siku ya kufanya usafi; pia tuna miti kama mlonge ambao ukiwa unakula majani yake wala nusu kiganja mara moja kwa wiki hautakaa ukaugua malaria, tatizo ni huko mjini kwenu.

Nikwambie kuna mtaa mmoja huko kwenu dar waliamua kuchonga barabara za mtaa,
kwa kuwa mbunge ni chadema; eneo analoishi diwani wa ccm lilipitwa bila kukwanguliwa,
kweli vituko haviichi bongo.
Mamndenyi
Hapa kwenye red umeniua sana acha nilale ukisikia akili za kushikiwa ndio hizo!!
 
Last edited by a moderator:
Uchafu nchini umekithiri kupita kiasi. Miaka michache ya nyuma Dar ilichukua nafasi ya saba katika majiji machafu sana duniani na katika Afrika ilichukua nafasi ya tatu. Nadhani tutakuwa tumepanda chart kwa uchafu labda sasa tuko nafasi ya juu zaidi katika dunia na Afrika pia. Huwa tunasikia kampeni za usafi mara imesimamiwa na P Pinda au Shein lakini hakuna ahueni yoyote ile.

Uyasemao ni kweli kwani sie watanzania tumehalalisha uchafu kuwa fenicha maana usipo ona uchafu basi siku yako haiendi vizuri.
 
tafuta dawa inaitwa mefaquine kiboko yao bei kuanzia 30,000 kwa pharmacy kubwa kubwa
by the way nenda maabara zinazo eleweka hizo malaria mara 2 mara 5 mara nyingi na wizi mtupu
na upunguze kumeza meza madawa bila ushauri wa madaktari usikute hao parasite wamesha jenga usugu /resistance
 
shukrani mkuu...nitaitafuta hiyo dawa!!
 
Wakuu si mara ya kwanza kuja hapa kuomba ushauri wenu!!

Kwa kifupi ni kama miaka miwili na ushee sasa sijawahi kuwa mzima kutokana na huu ugonjwa!! Nimefanya vipimo vyote ila huwa nakutwa na malaria peke yake na mara chache minyoo. Nimetumia dawa nyingi kuanzia za hospitalin mpaka miti shamba, ila hata pale nilipoweza kutokomeza wadudu wote...sikuweza kurudi kwenye normal condition na malaria ilirudi tena ndani ya mwezi ama miezi miwili.

Ninavyoandika hii thread, ndani ya mwezi nimetumia dawa zaid ya 3 hakuna mafanikio yeyote. Nilianza na Malafin ikachemka, nikanywa Atequin nayo haikunipa nafuu, nikaandikiwa vidonge vya quinin bado sikuona unafuu, hivi wiki iliyopita nimepima na kuktwa na malaria 5, nimekunywa Duo-cotexin lakin mpaka muda huu hali haijatengamaa!!

Najitahidi kwa kila hali kuwakwepa mbu lakini haisaidii, wengine wanasema ni malaria sugu...sikatai inawezekana...ninachowaomba, mwenye uwezo wa kunifanya nipate tiba sahihi anisaidie...niondokane na haya masumbuko..

Sina raha ndugu zangu, hata kazi nafanya kwa kujilazimisha!!

Asanteni!!!
Dawa ya Malaria sugu jaribu hivi :

Chukua vitunguu swaumu vilivyo menywa kipimo cha kiganja kimoja cha mkono wako, twanga vilainike, halafu kamulia limao moja au mawili. Acha vikae angalao kwa masaa 2 halafu weka maji ya kunywa ya uvuguvugu ndo mazuri. Chuja na unywe.

Fanya hivyo mara 2 kwa siku, halafu angalau Tumia siku 3 au zaidi kwa uhakika zaidi.

Huo mpango pia inatibu pia typhoid sugu.

Pia kunywa maji mengi ya uvuguvugu ili kuondoa sumu Mwilini.

Dawa za asili kama Vitunguu Saumu na Malimao hazina Madhara kwa binadamu No Side Effects. Of course hivi ni vyakula
 
Kama upo DSM jaribu kwenda Hindu Mandal Hosp mtafute Dr. Kaushik mueleze tatizo lako anaweza litatua, kuna mtu wa karibu na mimi alitibiwa na huyu Dr. na akapona malaria sugu, na Dr alimweleza mengi juu ya sababu ya tatizo la kutopona malaria.

Na akikuagiza ukapime malaria atakuelekeza kwa mtu maalumu ambaye anamwamini kuwa yupo sahihi katika kupima kwakuwa sio kila aliyepo maabara ana uwezo wa hali ya juu na kutoa majibu sahihi, ukienda fuata maelezo yake then utapata suluhu.

Ukitaka kufahamu kuwa kupima malaria kunahitaji utaalam nenda maabara nne tofauti pima malaria then uone majibu yalivyo tofauti kwa kila maabara.

Ukifanikiwa kupona usiache kutoa ushuhuda ili wengine wenye tatizo kama hilo wasaidiwe!

Ninakutakia afya njema mkuu!
 
asante mkuu...hii nitaifanya mapema iwezekanavyo!!
 
kwa sasa nipo Moshi mkuu..ila maelezo yako nitayatunza!! Shukrani
 
Dawa ya Malaria sugu jaribu hivi :

Chukua vitunguu swaumu vilivyo menywa kipimo cha kiganja kimoja cha mkono wako, twanga vilainike, halafu kamulia limao moja au mawili. Acha vikae angalao kwa masaa 2 halafu weka maji ya kunywa ya uvuguvugu ndo mazuri. Chuja na unywe.

Fanya hivyo mara 2 kwa siku, halafu angalau Tumia siku 3 au zaidi kwa uhakika zaidi.

Huo mpango pia inatibu pia typhoid sugu.

Pia kunywa maji mengi ya uvuguvugu ili kuondoa sumu Mwilini.

Dawa za asili kama Vitunguu Saumu na Malimao hazina Madhara kwa binadamu No Side Effects. Of course hivi ni vyakula

Dr.MziziMkavu vp inafaa kwa mtu yeyote?
 
Dr.MziziMkavu vp inafaa kwa mtu yeyote?
Mkuu Pastor Achachanda Dawa yangu nikitowa sio tu kwa huyo mwenye shida peke hata wewe au mtu yoyote ileitamsaidia ili mradi ufuate vile ninavyokuambia utapona .

MziziMkavu unajitahidi sana kutoa dozi
sijui kama hawa vijana wako wanatumia
ngoja tuone.
Bibi Mamndenyi ninawasaidia wengi lakini wabongo hawana shukrani wakipona hawaleti Feedback wananivunja moyo sana hata wakiwa na shida nitashindwa kuwasaidia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom