Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Malasusa ni ccm. Kwa hiyo upigaji upo kwenye DNA yake. Wewe vumilia tu umlipe maana huwezi jua amehonga mademu wake.
 

Jimbo fulani katoliki waumini wanalipa mil 22 kila miezi sita kwa madeni kama hayo yasiyo na maelezo. Uzuri wake Pope alipindua meza mapema akaweka msimamizi wa jimbo ambaye ndiye anakuwa Askofu
 
Mimi ndio maana nimesimama kidogo kwenda kanisani,sadaka yangu nitaendelea kuitoa kwa watoto yatima na wasiojiweza.
Eeh! Mungu nisaidie na unionyeshe njia ya kweli.
Kwani kanisani unaenda kumuomba Mungu au kumuomba mwanadamu?

Unaenda kanisani kwa ajili ya mtu au Mungu?
 

Crimea ukiona huwaelewi viongozi wako wa imani tafuta kumwelewa Mungu tuu

Yasije yakatukuta yaliyomkuta Miriam na Harun

Hesabu 12
Sivyo ilivyo kwa mtumishi wangu, Musa; Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote;
Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo; Na umbo la Bwana yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa Kumnenea mtumishi wangu, huyo Musa?
Hasira za Bwana zikawaka juu yao; naye akaenda zake.

Kisha hilo wingu likaondoka kutoka pale juu ya hema; na tazama, Miriamu akawa mwenye ukoma, mweupe kama theluji; Haruni akamwangalia Miriamu, na tazama, yu mwenye ukoma.
 
Kanisa au tasisi ikiwa na wachaga wengi au ikiogozwa na mchaga..jua mmepigwa..hao jamaa wanajua pesa tu ndio Mungu anafata..wazee wa janja janja na upigaji pesa mbele..poleni wanaKKT.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa unamuunga mkono kwa sababu alikuwa akiziimba sifa za Jiwe sasa Jiwe hayupo tena ndio wewe mataga umekurupuka kama mjusi aliyebanwa mkia na mlango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…