Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

That is you and your teachings. It doesn't apply to all the people here on earth. We are taught differently and therefore, we don't have the same definition of the metaphysical worlds.
It seem you reads the bible from another planet 😁.
 
Hata na ss wa dayosi ya kaskaz Kati tuliwa. Lipishwa billion mbili za crdb ..aise ilileta mpazuko mkubwa mno kill msharikaa laipazwa alipe laki mbili ..
 
Ila KKKT na RC waumini wanachakazwa kwelikweli.
Misaada inakuja na waumini wanawekewa viwango au bahasha za lazima.
 
KKKT ina upumbav mwingi sana, mimi ndio maana huwa nikienda church nasikiliza mahubiri sadaka huwa sitoi zaid ya buku. Kanisa wamelifanya kitega uchumi wanakula tu pesa
Sadaka ina nguvu Sana Kama unatoa sadaka kwa moyo mkunjufu ..sadaka Ni ibada kwa nilizonazo mm
 
It seem you reads the bible from another planet 😁.
I haven't quoted the holly Bible anywhere. I am just using logic. I am not using any scriptures either. After all, we are all humans, we are all wrong or correct at some point regardless of our beliefs.
 
Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.

Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.

Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,

Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?

Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.

Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mmmh
 
Ni wazi Askofu Malasussa alikuwa wakala wa Dikteta Magufuli, hawezi kumatch na Mch Elionora Kimaro
 
Back
Top Bottom