Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu, kanisa haliendeshwi hivyo kama mnavyodhani. Kanisa la KKKT kila Dayosisi ina Katiba yake na miongozo mbalimbali.
Huyu ndugu anayeleta tuhuma za viongozi wa kanisa kula fedha na kuwabambikia deni ni utovu wa nidhamu na ni kinyume na maandiko.
KKKT ni miongoni mwa madhehebu ya dini yenye utaratibu mzuri sana katika uendeshaji wa kanisa na usimamizi wa fedha za kanisa. Moja wapo ya njia bora wanayotumia ni kuweka wazi mapato na matumizi ya fedha kwa kusomwa Ibadani kila Jumapili na kuandaliwa taarifa ya mapato na matumizi ya kila robo mwaka, nusu mwaka na ya mwaka.
Lengo ni kuwapa nafasi washarika kujua mapato na matumizi ya fedha wanazotoa kama sadaka na michango mbalimbali. Pia masuala yote ya matumizi ya fedha yanafanyika chini ya usimamizi wa Kamati husika, mfano kama ni suala la ujenzi muhusika hapa ni Kamati ya ujenzi au miradi.
Kamati hizi zinaundwa na washarika wenyewe kupitia mabaraza ya wazee na mchungaji wao. Pia utaratibu ndio huo huo hadi ngazi ya Jimbo na Dayosisi.
Muhimu kuzingatia kuwa sharika, majimbo, Dayosisi na vituo vyake vyote hesabu zake ukaguliwa na wakaguzi wenye weledi na masuala ya fedha na uhasibu.
Mleta mada anasema wameelezwa juu ya deni bila ufafanuzi kuwa limetokana na nini. KKKT wana njia nyingi za kupokea maoni, ushauri, mapendekezo na ukosoaji ikiwemo mkutano mkuu wa mwaka kwa kila ngazi kuanzia Jumuiya hadi Dayosisi ambapo moja wapo ya kazi ya mkutano mkuu wa mwaka upitisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka unaofuata na kupitia taarifa za fedha na miradi za mwaka unaoisha. Pia wakuu wa sharika na vituo ukaribisha maoni na mapendekezo wakati wowote msharika anapokuwa na jambo la kushauri kwa kwenda moja kwa moja ofisini kwa kiongozi husika.
Mara nyingi utakuta mikutano mikuu ya mwaka msharika haudhurii hivyo anakosa fursa ya kujua mipango ya kanisa lake siku akiambiwa kuwa kuna mradi haukufanya vema na kupelekea kuzalisha labda deni au kuna mradi umekwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wafadhili kuchelewa kuleta fedha nk, ndipo utaona msharika hasiyewajibika ipasavyo anakimbilia kwenye mitandao ya kijamii na kutuhumu viongozi wa kanisa kula fedha. Hii si sawa kwani kwanza inadhalilisha kanisa la Mungu na kuwavunja moyo viongozi wanaokesha usiku na mchana wakifikiria juu ya kuzijengea uwezo wa kiuchumi sharika na Dayosisi zao.
Pia haisaidii kuleta suluhu zaidi ya upotishaji.
Namshauri mleta mada aende ofisi husika awasilishe maoni yake yatafanyiwa kazi na atapata ufafanuzi wa kina wa nini kilitokea hadi deni hilo kuwepo.
Mungu awabariki sana

Mungu awabariki sana.
Yalitokea Jimbo la Morogoro RC likiwa na Mkude, kumbe jamaa amejengea Nyumba zake Dar na zingine ikasemekana amejengea hawara zake, Vatcan ilipojua ikamweka benchiHaijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni
Ndugu zangu, kanisa haliendeshwi hivyo kama mnavyodhani. Kanisa la KKKT kila Dayosisi ina Katiba yake na miongozo mbalimbali.
Huyu ndugu anayeleta tuhuma za viongozi wa kanisa kula fedha na kuwabambikia deni ni utovu wa nidhamu na ni kinyume na maandiko.
KKKT ni miongoni mwa madhehebu ya dini yenye utaratibu mzuri sana katika uendeshaji wa kanisa na usimamizi wa fedha za kanisa. Moja wapo ya njia bora wanayotumia ni kuweka wazi mapato na matumizi ya fedha kwa kusomwa Ibadani kila Jumapili na kuandaliwa taarifa ya mapato na matumizi ya kila robo mwaka, nusu mwaka na ya mwaka.
Lengo ni kuwapa nafasi washarika kujua mapato na matumizi ya fedha wanazotoa kama sadaka na michango mbalimbali. Pia masuala yote ya matumizi ya fedha yanafanyika chini ya usimamizi wa Kamati husika, mfano kama ni suala la ujenzi muhusika hapa ni Kamati ya ujenzi au miradi.
Kamati hizi zinaundwa na washarika wenyewe kupitia mabaraza ya wazee na mchungaji wao. Pia utaratibu ndio huo huo hadi ngazi ya Jimbo na Dayosisi.
Muhimu kuzingatia kuwa sharika, majimbo, Dayosisi na vituo vyake vyote hesabu zake ukaguliwa na wakaguzi wenye weledi na masuala ya fedha na uhasibu.
Mleta mada anasema wameelezwa juu ya deni bila ufafanuzi kuwa limetokana na nini. KKKT wana njia nyingi za kupokea maoni, ushauri, mapendekezo na ukosoaji ikiwemo mkutano mkuu wa mwaka kwa kila ngazi kuanzia Jumuiya hadi Dayosisi ambapo moja wapo ya kazi ya mkutano mkuu wa mwaka upitisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka unaofuata na kupitia taarifa za fedha na miradi za mwaka unaoisha. Pia wakuu wa sharika na vituo ukaribisha maoni na mapendekezo wakati wowote msharika anapokuwa na jambo la kushauri kwa kwenda moja kwa moja ofisini kwa kiongozi husika.
Mara nyingi utakuta mikutano mikuu ya mwaka msharika haudhurii hivyo anakosa fursa ya kujua mipango ya kanisa lake siku akiambiwa kuwa kuna mradi haukufanya vema na kupelekea kuzalisha labda deni au kuna mradi umekwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wafadhili kuchelewa kuleta fedha nk, ndipo utaona msharika hasiyewajibika ipasavyo anakimbilia kwenye mitandao ya kijamii na kutuhumu viongozi wa kanisa kula fedha. Hii si sawa kwani kwanza inadhalilisha kanisa la Mungu na kuwavunja moyo viongozi wanaokesha usiku na mchana wakifikiria juu ya kuzijengea uwezo wa kiuchumi sharika na Dayosisi zao.
Pia haisaidii kuleta suluhu zaidi ya upotishaji.
Namshauri mleta mada aende ofisi husika awasilishe maoni yake yatafanyiwa kazi na atapata ufafanuzi wa kina wa nini kilitokea hadi deni hilo kuwepo.
Mungu awabariki sana
"Religion is regarded by the common people as true, by the wise as false, and by the rulers as useful" - Seneca
Wewe nimekwambia kuna vitu vingi sana hujui!Umeeleza vizuri sana huyu ana laana sasa atuambie amesaidiwa nini kwa kumbilia kwenye mitandao KKKT lina utaratibu mzuri wa utunzaji fedha na zinakaguliwa na wakaguzi mbali na kusomewa kwa washarika mapato na matumizi kila robo ya mwaka na washarika hujadili hiyo ripoti kwa uwazi unaitwa mkutano mkuu wa usharika sasa mleta mada badhani hata kanisani haendi na ana chuki binafsi Hata kama kuna deni dhambi iko wapi kanisa gani ambalo halina michango kwa waumini wengine hutoa hata laki tano kwa kuombewa tubu umekosa sana
Too judgemental if not egocentric! Additionally, negativity is a vague, fluid, cloudy and slippery term. It usually depends on one's world outlook.But the Bible says,the wisdom of men is foolishness before GOD.
The word of GOD has no outlook like news papers and magazines,it rebukes and it heals,not whatsoever.Too judgemental if not egocentric! Additionally, negativity is a vague, fluid, cloudy and slippery term. It usually depends on one's world outlook.
Hii ni nidhamu ya uoga, hutaki ukweli usemwe..Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Uko sahihi kabisa, yapo mambo ya kuyaleta kwenye jukwaa na mengine ni kuyapeleka yanakohusika. Kwa mfano huyu aliyelileta hapa,l mpaka anaitwa kushirikishwa jambo kubwa kama hili ina maana naye ni kiongozi wa kanisa, anafahamu taratibu za kufuata pale inapotokea mambo magumu kama haya. Mungu atujaalie hekima ya kupambanua vema mambo yanayotukabili.Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Karibu TAG. Tunatembea na BWANA!Mimi ndio maana nimesimama kidogo kwenda kanisani,sadaka yangu nitaendelea kuitoa kwa watoto yatima na wasiojiweza.
Eeh! Mungu nisaidie na unionyeshe njia ya kweli.
Wangetwambia deni linatokana na nini hungeona hii habari hapa!Uko sahihi kabisa, yapo mambo ya kuyaleta kwenye jukwaa na mengine ni kuyapeleka yanakohusika. Kwa mfano huyu aliyelileta hapa,l mpaka anaitwa kushirikishwa jambo kubwa kama hili ina maana naye ni kiongozi wa kanisa, anafahamu taratibu za kufuata pale inapotokea mambo magumu kama haya. Mungu atujaalie hekima ya kupambanua vema mambo yanayotukabili.
That is you and your teachings. It doesn't apply to all the people here on earth. We are taught differently and therefore, we don't have the same definition of the metaphysical worlds.The word of GOD has no outlook like news papers and magazines,it rebukes and it heals,not whatsoever.
Inawezekana kukawa na kitu lakini kuleta hapa sidhani kama ufumbuzi utapatikana, ninachokiona hapa naona wengi wanapata hasira wanakwazika usingeleta hapa wangeendelea kuwa na amani.Wangetwambia deni linatokana na nini hungeona hii habari hapa!
Kuficha ficha hivi inaonesha kuna kitu nyuma ya pazia