Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tafuta kanisa lingine, yako mengi.Nimepata taarfa hizo kuna ndugu anasali huko
Hizi taasisi za kidini ni muhimu kufanyiwa audits la sivyo mwamko wa watu unapotea kuhudhuria misa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kanisa lingine, yako mengi.Nimepata taarfa hizo kuna ndugu anasali huko
Hizi taasisi za kidini ni muhimu kufanyiwa audits la sivyo mwamko wa watu unapotea kuhudhuria misa
Hii siyo kauli nzuri.Kanisa limejaa wachagga, unategemea nini hapo?
Wewe hapo ndugu yako akifa unawanyenyekea madheikh na makasisi kama vile ndio wenye funguo za kuzimu.hivi kumbe kuna watu bado huwa mnaenda makanisani hadi leo?.
huko vyuoni mlikopata elimu ya juu, mlienda kusomea nini?, ujinga?.
Tatizo ni wewe, hapa unatuambia Malasusa ni Mwizi, alafu bado unamuita ni kiongozi wako wa kiroho. Haujioni wewe ndio tatizo? Haujui Kiongozi wa kiroho anatakiwa kuenenda vipi?Mkuu mimi nmsingizie kiongozi wangu wa kiroho kwa sababu gani?
Anawapa ndugu zake kaziWewe hapo ndugu yako akifa unawanyenyekea madheikh na makasisi kama vile ndio wenye funguo za kuzimu.
Mpaka sasa sijawahi kuona mtanzania anayezikwa Kama mbwa, yaani bila ibada.
Labda wewe utakua wa kwanza.
Umekuja na hoja ya maana ila kwa post kama hii inaondoa kabisa uzito wa hoja yako.Wachaga wakafanya yao mzigo ukabaki kwa waumini sijui kama wamemaliza kulipa
Wataambiwa kutochangia ni dhambi na hawataenda mbinguni 😂😂😂😂Dawa ni kutochangia tu kwani lazima Jamani?mtalipasua lile zee mashavu kama anapuliza tarumbeta kwa hela za wizi
Malasusa ni mwananCcm kindakindaki, mpambe na rafiki wa Magufuli.Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Mods naombeni hii mada ibaki hapa maana sina pa kulalamikia.
CCM CHANZO CHA MATATIZOHako kamalasusa ni kakada kindakindaki kaCCM, sijui kanakwama wapi?
Huyu mheshimiwa alikuwa analindwa na mwendazake naye hayupo tena, mnashindwaje kumuondoa?Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Waliokufa bila kuzikwa na kanisa sio mwanadamu..acheni uoga hojini..msiishi kulalamika humu..viongozi wa kanisa nao ni wanadamu kama wewe na mimi.Eee mola naomba hekima zako walau 1 ya 100 ya hekima za solomon.
MCH.MALASUSA FAFANULIA MAJIMBO YA DENI LILIPO,MNATUKIMBIZA MAKANISANI,TUKIKIMBIA MNATUTISHA ASIYE MSHARIKA KANISA HALIMTAMBUI NA WALA HALITAMZIKA.
Mungu awajaze hekima Amen
"Religion is regarded by the common people as true, by the wise as false, and by the rulers as useful" - Seneca
Askofu Malasusa ni Mchaga?Kanisa limejaa wachagga, unategemea nini hapo?
Acha ikugawe tu, huko kumejaa wachagga . Ndio maana mnapigwaHii siyo kauli nzuri.
Inagawa watu. Hata kwenye makabila ya wasukuma na wamakonde Kuna wezi.
Wapi nimesema malasusa ni Mchagga?Askofu Malasusa ni Mchaga?
Hiyo ndio maana halisi ya sadaka - kuwapa wenye uhitaji. Wape maskini, wenye ulemavu, watoto, wagonjwa, nk. Mungu atakubariki hapa duniani na milele mbinguni.Mimi ndio maana nimesimama kidogo kwenda kanisani,sadaka yangu nitaendelea kuitoa kwa watoto yatima na wasiojiweza.
Eeh! Mungu nisaidie na unionyeshe njia ya kweli.