ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wewe ulitaka tuwe wa mwisho tu?yaani we ulifikiri hadi nani aende ndio na sie twende?aise tutafika kweli?Mbona kuna nchi nyingi hazijashariki we umeiona Tz tu?
Sisi tunaweza mpira wa 'kimchongo' tuSisi labda mashindano ya connection ndo tunaweza shiriki haya mambo mengine tutaishia kuwaonea wajanja tu ndo wakishiriki. Wewe ushaambiwa mfano djuma mmoja ktk fomu sawa na kapombe wawili ktk fomu, halaf kwa ivyo mpira tutauwezea wapi[emoji38][emoji38]
Mpira sio population bwana na kama ingekuwa hivyo basi China na India wangekuwa wanabadilishana kombe kila baada ya miaka minne.Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.
Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?
Nchi yetu ni kubwa yenye population kubwa zaidi ya Malawi ama ka Comoro ambapo leo kamemshindilia Ghana goli 3-2. Vipi wenzetwanafaurulu?
Tukizubaa ka Rwanda nako soon katatuwashia indiketa na kutuacha porini.