ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.
Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?
Nchi yetu ni kubwa yenye population kubwa zaidi ya Malawi ama ka Comoro ambapo leo kamemshindilia Ghana goli 3-2. Vipi wenzetwanafaurulu?
Tukizubaa ka Rwanda nako soon katatuwashia indiketa na kutuacha porini.