Malawi anashiriki Afcon, sisi tunafeli wapi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.

Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?

Nchi yetu ni kubwa yenye population kubwa zaidi ya Malawi ama ka Comoro ambapo leo kamemshindilia Ghana goli 3-2. Vipi wenzetwanafaurulu?

Tukizubaa ka Rwanda nako soon katatuwashia indiketa na kutuacha porini.
 
Sisi labda mashindano ya connection ndo tunaweza shiriki haya mambo mengine tutaishia kuwaonea wajanja tu ndo wakishiriki. Wewe ushaambiwa mfano djuma mmoja ktk fomu sawa na kapombe wawili ktk fomu, halaf kwa ivyo mpira tutauwezea wapi[emoji38][emoji38]
 
Sisi tunaweza mpira wa 'kimchongo' tu
 
Tumshukuru Uganda alitubeba AFCON iliyopita, tutashuriki nyingine miaka 50 ijayo.
 
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.

Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?

Nchi yetu ni kubwa yenye population kubwa zaidi ya Malawi ama ka Comoro ambapo leo kamemshindilia Ghana goli 3-2. Vipi wenzetwanafaurulu?

Tukizubaa ka Rwanda nako soon katatuwashia indiketa na kutuacha porini.
Mpira sio population bwana na kama ingekuwa hivyo basi China na India wangekuwa wanabadilishana kombe kila baada ya miaka minne.

Tanzania wanafanya siasa kila aspect ya maisha kwao ni siasa, saa ngapi wataenda kwenye mashindano makubwa kama hayo, mashindano yaliyopita Magufuli kwa kutaka sifa ilibidi waihonge Uganda ili wawabebe na ndio maana tukapata fursa.
 
Back
Top Bottom