Na huku kwetu hadi hizo chanjo zifike Shitimbi ambako hata umeme hakuna na kufika inabidi upande mtumbwi sijui kama hizo chanjo zitakuwa kwenye ubora wake kama wa hao wanakamati wanaodai chanjo ni salama,bado najiuliza logistic na usalama wa hizo chanjo kuwafikia wananchi huko vijijini ambako hata basi linapita mara moja kwa wiki.
Kwani yule mjenga mabarabara nchi nzima hakujua shitimbi nayo ilikuwa ni Tanzania akaishia kuweka hadi viwanja vya ndege kwao tu?