Malawi kuna watoto wakali sana.

Tangu nimfaham yule mwandish wao mchafu mchafu wa BBC aliyefarki basi ni kawa na taswira ya kipuuzi nchi yote iko hivyo. Kumbe nilikosea Aisee kuna vifaa pisi yani huu ukanda wote wa SADC Mungu katujalia wasichana wazuri sana yani Malawi ni sheeda.
 
Waache mambo yao....kuna lake nyasa na sio lake Malawi
Mambo yao yepi mgerasi? Hilo ziwa ni lao na mimi nawatetea. Kwanini sisi tusiwe na kiasi? Tuna Victoria, natron, Tanganyika, manyara na vidimbwi kadhaa vya kutosha. Na tuna fukwe ndefu kutoka karibu na Cabo Delgado hadi Tanga.

Ni ziwa Malawi siyo nyasa nawaunga mkono nchi yenye watoto wakali.

Malawi now my best and favorite country after Tanzania.
 


Hawa wanadai na mkoa wa Mbeya wote ni mali yao kwasababu duniani hakuna mpaka kati ya nchi na nchi uliopo ufukweni mwa Water body.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…