Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Hii nzuri. Kuna nchi wanashindana kuitwa Dr.Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."
Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara pekee na hazina uzito sawa wa kitaaluma kama PhD au Uprofesa.
Baraza hilo lilibainisha kuwa kuna ongezeko la watu waliotunukiwa shahada za heshima kuanza kutumia vyeo vya kitaaluma bila kupitia mchakato mgumu wa kielimu unaohitajika kwa sifa hizo.
"Shahada ya heshima ni kutambua mchango wa mtu kwa jamii, lakini haitoshi kuwa sifa ya kitaaluma iliyopatikana kwa masomo rasmi," ilisema taarifa hiyo.
NCHE pia ilizitaka taasisi kuepuka kupotosha umma kwa kuruhusu wapokeaji wa shahada za heshima kutumia vyeo vya kitaaluma. Baraza hilo lilibainisha kuwa ni taasisi zilizoidhinishwa na watu waliostahili pekee wanaoweza kutumia vyeo hivyo kihalali.
Onyo hili linatolewa huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kwamba baadhi ya watu nchini Malawi wanajitambulisha kimakosa kama maprofesa au madaktari baada ya kupokea shahada za heshima kutoka taasisi zisizoidhinishwa.
NCHE limewataka wadau wote kushirikiana katika kulinda uadilifu na heshima ya elimu ya juu nchini.
View attachment 3286579
Marehemu Balali gavana wa bank kuu mwenyewe alikuwa hatumii title ya dr. Ingawa alikuwa na PhD. Kwenye interview alisema ni sababu ya utamaduni alikotoka bank ya dunia kule hakuna kuitwa kwa title hiyo na kwamba staff wengi walikuwa na shahada hiyo.Obama anayo PhD ya darasani kabisa ila sijawahi kuona anaitwa DR Obama...
Kwanza Neno President ni zito sana na kubwa mno kuliko neno DR.
Ni vile tuu u Africa wetu hivyo mtu unataka ubebe sifa zote il mara (Dokta, muheshimiwa, Raisi n.k)
Kuna yule mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa, Mkuu wa mkoa Balozi Dactari Brigedia generali ......Obama anayo PhD ya darasani kabisa ila sijawahi kuona anaitwa DR Obama...
Kwanza Neno President ni zito sana na kubwa mno kuliko neno DR.
Ni vile tuu u Africa wetu hivyo mtu unataka ubebe sifa zote il mara (Dokta, muheshimiwa, Raisi n.k)
Sasa itakuwaje kwa Dr. Musukuma na yule bibi Dr. Kizimkazi?Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."
Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara pekee na hazina uzito sawa wa kitaaluma kama PhD au Uprofesa.
Baraza hilo lilibainisha kuwa kuna ongezeko la watu waliotunukiwa shahada za heshima kuanza kutumia vyeo vya kitaaluma bila kupitia mchakato mgumu wa kielimu unaohitajika kwa sifa hizo.
"Shahada ya heshima ni kutambua mchango wa mtu kwa jamii, lakini haitoshi kuwa sifa ya kitaaluma iliyopatikana kwa masomo rasmi," ilisema taarifa hiyo.
NCHE pia ilizitaka taasisi kuepuka kupotosha umma kwa kuruhusu wapokeaji wa shahada za heshima kutumia vyeo vya kitaaluma. Baraza hilo lilibainisha kuwa ni taasisi zilizoidhinishwa na watu waliostahili pekee wanaoweza kutumia vyeo hivyo kihalali.
Onyo hili linatolewa huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kwamba baadhi ya watu nchini Malawi wanajitambulisha kimakosa kama maprofesa au madaktari baada ya kupokea shahada za heshima kutoka taasisi zisizoidhinishwa.
NCHE limewataka wadau wote kushirikiana katika kulinda uadilifu na heshima ya elimu ya juu nchini.
View attachment 3286579
Title zote hizo zinamsaidia nini? Kama sio sifa.Kuna yule mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa, Mkuu wa mkoa Balozi Dactari Brigedia generali ......
Unadhani tunaelewa hata tunakokwenda, tunajiendea tuObama anayo PhD ya darasani kabisa ila sijawahi kuona anaitwa DR Obama...
Kwanza Neno President ni zito sana na kubwa mno kuliko neno DR.
Ni vile tuu u Africa wetu hivyo mtu unataka ubebe sifa zote mara (Dokta, muheshimiwa, Raisi, Mkuu wa mkoa, balozi, Mwenyekiti,n.k)
Watamuita kwasababu hawajampa wao hilo jina.Kwa hiyo mama akienda malawi hawatamuita Dakta?π
Wapo tayari kufa kwaajili yakeWale tanu youth league wanaweza kukuua usipoanza na neno "Daktari' unapomtaja mwenyekiti waoπ
Udaktari huo wa mchongo huko huko kwenu Vingunguti, Lilongwe na Blantyre hawautambui.Kwa hiyo mama akienda malawi hawatamuita Dakta?π