Wewe ndio usome vizuri. PhD ya heshima haikupi stahili ya kuitwa Dr ....... , hata mchango wako kwa jamii uwe mkubwa vipi. Kutanguliza Dr kabla ya jina ni kwa waliohenyea darasani tu!Somo vizuri Uzi. Kama Una mchango Kwa jamii basi unastahili kuitwa. Dokta mama mh. Samia Suluhu Hassan
Waje Tanzania kukazia na kusajili digrii zao ili wakazitumie kwao.Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."
Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara pekee na hazina uzito sawa wa kitaaluma kama PhD au Uprofesa.
Baraza hilo lilibainisha kuwa kuna ongezeko la watu waliotunukiwa shahada za heshima kuanza kutumia vyeo vya kitaaluma bila kupitia mchakato mgumu wa kielimu unaohitajika kwa sifa hizo.
"Shahada ya heshima ni kutambua mchango wa mtu kwa jamii, lakini haitoshi kuwa sifa ya kitaaluma iliyopatikana kwa masomo rasmi," ilisema taarifa hiyo.
NCHE pia ilizitaka taasisi kuepuka kupotosha umma kwa kuruhusu wapokeaji wa shahada za heshima kutumia vyeo vya kitaaluma. Baraza hilo lilibainisha kuwa ni taasisi zilizoidhinishwa na watu waliostahili pekee wanaoweza kutumia vyeo hivyo kihalali.
Onyo hili linatolewa huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kwamba baadhi ya watu nchini Malawi wanajitambulisha kimakosa kama maprofesa au madaktari baada ya kupokea shahada za heshima kutoka taasisi zisizoidhinishwa.
NCHE limewataka wadau wote kushirikiana katika kulinda uadilifu na heshima ya elimu ya juu nchini.
View attachment 3286579
Huyu wa kwako ana mchango upi Kwa nani?Somo vizuri Uzi. Kama Una mchango Kwa jamii basi unastahili kuitwa. Dokta mama mh. Samia Suluhu Hassan
Profesa Brigedia General Kowi. Mwingine alikuwa anaitwa Mhe Brigedia General Balele 😅😅Kuna yule mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa, Mkuu wa mkoa Balozi Dactari Brigedia generali ......
Mchango wa mtu unapimwa kwa kupewa heshima ya PhD?! Na kwanini hii kitu wanapewa wanasiasa tuu?! Ni wao tuu ndo wana mchango kwenye Taifa?Somo vizuri Uzi. Kama Una mchango Kwa jamii basi unastahili kuitwa. Dokta mama mh. Samia Suluhu Hassan
Wote Makanjanja tuSasa itakuwaje kwa Dr. Musukuma na yule bibi Dr. Kizimkazi?
Sijawahi kumsikia Msukuma akiji address hivo au hata kuitwa tu instead amekua akijiita LA 7 na amekua ana challenge sana wasomiSasa itakuwaje kwa Dr. Musukuma na yule bibi Dr. Kizimkazi?
🤣🤣🤣 he wwKuna yule mkuu wa mkoa alikuwa anaitwa, Mkuu wa mkoa Balozi Dactari Brigedia generali ......
Atajua mwenyewe. CCM tuna madokta na tunatamba nao Hadi kiamaMarehemu Balali gavana wa bank kuu mwenyewe alikuwa hatumii title ya dr. Ingawa alikuwa na PhD. Kwenye interview alisema ni sababu ya utamaduni alikotoka bank ya dunia kule hakuna kuitwa kwa title hiyo na kwamba staff wengi walikuwa na shahada hiyo.
Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."
Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara pekee na hazina uzito sawa wa kitaaluma kama PhD au Uprofesa.
Baraza hilo lilibainisha kuwa kuna ongezeko la watu waliotunukiwa shahada za heshima kuanza kutumia vyeo vya kitaaluma bila kupitia mchakato mgumu wa kielimu unaohitajika kwa sifa hizo.
"Shahada ya heshima ni kutambua mchango wa mtu kwa jamii, lakini haitoshi kuwa sifa ya kitaaluma iliyopatikana kwa masomo rasmi," ilisema taarifa hiyo.
NCHE pia ilizitaka taasisi kuepuka kupotosha umma kwa kuruhusu wapokeaji wa shahada za heshima kutumia vyeo vya kitaaluma. Baraza hilo lilibainisha kuwa ni taasisi zilizoidhinishwa na watu waliostahili pekee wanaoweza kutumia vyeo hivyo kihalali.
Onyo hili linatolewa huku kukiwa na wasiwasi unaoongezeka kwamba baadhi ya watu nchini Malawi wanajitambulisha kimakosa kama maprofesa au madaktari baada ya kupokea shahada za heshima kutoka taasisi zisizoidhinishwa.
NCHE limewataka wadau wote kushirikiana katika kulinda uadilifu na heshima ya elimu ya
Huku kwetu tuna mbumbumbu wengi sasa baada ya kugundua u-mbumbumbu wao, wanataka kujisafisha na digrii za heshima na hivyo kuanza kujiuta dokta.Obama anayo PhD ya darasani kabisa ila sijawahi kuona anaitwa DR Obama...
Kwanza Neno President ni zito sana na kubwa mno kuliko neno DR.
Ni vile tuu u Africa wetu hivyo mtu unataka ubebe sifa zote mara (Dokta, muheshimiwa, Raisi, Mkuu wa mkoa, balozi, Mwenyekiti,n.k)
Watakuwa Wana tuseme Sisi. Tutakuwa hatuwapelekei MahindiBaraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari."