Malawi: Kupokea shahada ya Heshima hakumfanyi Mtu kustahili Cheo cha "Profesa" au "Daktari."

Mwenye Whatsapp number ya yule bibi wa wagogoni tafadhali ili nimtumie hii issue ya Malawi🤣
 
Raisi Ahmednijad wa Iran ana phd na ni lecturer wa university lakini haitwi dr
 
Mheshimiwa mama mpiga mwingi daktari rais................
 
Somo vizuri Uzi. Kama Una mchango Kwa jamii basi unastahili kuitwa. Dokta mama mh. Samia Suluhu Hassan
Wewe ndio usome vizuri. PhD ya heshima haikupi stahili ya kuitwa Dr ....... , hata mchango wako kwa jamii uwe mkubwa vipi. Kutanguliza Dr kabla ya jina ni kwa waliohenyea darasani tu!
 
Waje Tanzania kukazia na kusajili digrii zao ili wakazitumie kwao.
 
Somo vizuri Uzi. Kama Una mchango Kwa jamii basi unastahili kuitwa. Dokta mama mh. Samia Suluhu Hassan
Mchango wa mtu unapimwa kwa kupewa heshima ya PhD?! Na kwanini hii kitu wanapewa wanasiasa tuu?! Ni wao tuu ndo wana mchango kwenye Taifa?
 
Watu wanaoshobokea hizo title ni wale wenye inferiority complex ya kitaaluma. Wengi wanajiona wanyonge kielimu so wanatufa vya kujazia kubust confidence yao
 
Marehemu Balali gavana wa bank kuu mwenyewe alikuwa hatumii title ya dr. Ingawa alikuwa na PhD. Kwenye interview alisema ni sababu ya utamaduni alikotoka bank ya dunia kule hakuna kuitwa kwa title hiyo na kwamba staff wengi walikuwa na shahada hiyo.
Atajua mwenyewe. CCM tuna madokta na tunatamba nao Hadi kiama
 

Huku kwetu tuna mbumbumbu wengi sasa baada ya kugundua u-mbumbumbu wao, wanataka kujisafisha na digrii za heshima na hivyo kuanza kujiuta dokta.
 
Watakuwa Wana tuseme Sisi. Tutakuwa hatuwapelekei Mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…