GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums.Huu ni uzi kwa GT au ni MEME!.????
Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums.Non sense
Basi sawa popoma waheed!!Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums.
Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums.Basi sawa popoma waheed!!
Mkuu unapoint it can happen in Tanzania lakini tutatahadharishwa na wapima hali ya hewa. Walioko pwani tuko kwenye risk kubwaTuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
[emoji122][emoji123]Non sense
Bongo hatujawahi jiaandaa na vitu kama vimbunga, matetemeko n.k
Hata ujenzi wa nyumba zetu hausadifu hivyo
hv vinatengenezwa?Ikweta ndio Kinga ya Vimbunga vikubwa kuikumba Tanzania pana kile kimbunga kilitangazwa kila kilipokua kinakaribia Tanzania kilikua kinapungua nguvu...
Tutubu dhambi zetuTuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
Sina muda huo na ningekuona wa maana kama tu Ungenidadavulia hata kidogo tu in Summary.Kasome Climatology
Ndio utajua Kwa nini Havifiki Tanzania.