Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.Huu ni uzi kwa GT au ni MEME!.????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.Huu ni uzi kwa GT au ni MEME!.????
Majanga kama haya huwa hayatabiriki,swali muhimu ni je tumejiandaa au ndiyo tutategemea kudra za Muumba?Fure anajulikana anapopita kabla hata hajaja watu wako kwa karibu wakifuatilia nyendo zake nafikiri safari yake inaishia hapo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu Asante kwa Kunisaidia Kunielimishia huyo Juha na bado wako Majuha wengi tu hapa.Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.
Si tulikubaliana tutakuwa wastaarabu mtani?Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums.
Inawezeka ila hii sio ishu mpya hata hivyoMtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.
Ndugu, GENTAMYCINE S TANZANIA YETU HATUNA UTARATIBU WA KINGA HASA KATIKA MAJANGA MTAMBUKATuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.