Nyamizi Platinum Member Joined Feb 19, 2009 Posts 9,186 Reaction score 13,757 Mar 15, 2023 #21 Rabonn said: Huu ni uzi kwa GT au ni MEME!.???? Click to expand... Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.
Rabonn said: Huu ni uzi kwa GT au ni MEME!.???? Click to expand... Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada.
Nyamizi Platinum Member Joined Feb 19, 2009 Posts 9,186 Reaction score 13,757 Mar 15, 2023 #22 mabasso said: Fure anajulikana anapopita kabla hata hajaja watu wako kwa karibu wakifuatilia nyendo zake nafikiri safari yake inaishia hapo Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app Click to expand... Majanga kama haya huwa hayatabiriki,swali muhimu ni je tumejiandaa au ndiyo tutategemea kudra za Muumba?
mabasso said: Fure anajulikana anapopita kabla hata hajaja watu wako kwa karibu wakifuatilia nyendo zake nafikiri safari yake inaishia hapo Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app Click to expand... Majanga kama haya huwa hayatabiriki,swali muhimu ni je tumejiandaa au ndiyo tutategemea kudra za Muumba?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 15, 2023 Thread starter #23 Nyamizi said: Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada. Click to expand... Mkuu Asante kwa Kunisaidia Kunielimishia huyo Juha na bado wako Majuha wengi tu hapa.
Nyamizi said: Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada. Click to expand... Mkuu Asante kwa Kunisaidia Kunielimishia huyo Juha na bado wako Majuha wengi tu hapa.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 15, 2023 #24 GENTAMYCINE said: Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums. Click to expand... Si tulikubaliana tutakuwa wastaarabu mtani?
GENTAMYCINE said: Threads zangu hazijawahi Kueleweka na Wapumbavu wa Kutukuka hapa JamiiForums. Click to expand... Si tulikubaliana tutakuwa wastaarabu mtani?
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Mar 15, 2023 #25 Nyamizi said: Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada. Click to expand... Inawezeka ila hii sio ishu mpya hata hivyo
Nyamizi said: Mtoa mada anajaribu kuadress kitu muhimu sana unless umechagua tu kutaka kuvuruga flow ya hii mada. Click to expand... Inawezeka ila hii sio ishu mpya hata hivyo
Sanyambila JF-Expert Member Joined Jan 24, 2018 Posts 378 Reaction score 510 Mar 15, 2023 #26 GENTAMYCINE said: Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji. Click to expand... Ndugu, GENTAMYCINE S TANZANIA YETU HATUNA UTARATIBU WA KINGA HASA KATIKA MAJANGA MTAMBUKA
GENTAMYCINE said: Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji. Click to expand... Ndugu, GENTAMYCINE S TANZANIA YETU HATUNA UTARATIBU WA KINGA HASA KATIKA MAJANGA MTAMBUKA