Malawi nao wapiga stop Kenya airways

Tumeomba kwingi na kukubaliwa kwa baadhi na kukataliwa kwa wengine, na wote hao hakuna mwenye mihemko ya wivu kama nyie, wao wanafanya kwa kutumia ubongo na kushirikisha sababu za kitaalam.
Asante
 
Tutaelewana tu, ngoja tuomyeshane makali kidgo
 

Kama kiswahili kinaviwapiga chenga tu
 
Mkuu uko sawa
 
Kingereza bila pesa ni makelele
 
Ukiisoma ile barua vizuri utafikiri kama malawi hawaja wapiga ban lkn in reality mzee ile ni ban. Since April ina maana hapo malawi hakuna ndege inayo ingia pale lilongwe ?
 
Hapa umeandika uharisho wa ule unga wa njano.

Vyenye mnapenda kiingereza, wekeni mezani mle icho kiingereza chenu.

Siku nyingine ukishiba uwe unawahi kulala
 
Tumeomba kwingi na kukubaliwa kwa baadhi na kukataliwa kwa wengine, na wote hao hakuna mwenye mihemko ya wivu kama nyie, wao wanafanya kwa kutumia ubongo na kushirikisha sababu za kitaalam.
Hii ni kweli?
 
Kuna vichaa wanaongea kiingereza huko Uingereza...
 
Alafu kama hujui Sasa, siku moja kabla Ya kuwatuma, uhuru aliponda Tz vile ina handle Corona, wale wangerudi tu, wangepimwa na kukutwa na Corona afu wangesema wameitolea Tz. Ni wapuuzi hawa
 
Hapa umeandika uharisho wa ule unga wa njano.Vyenye mnapenda kiingereza, wekeni mezani mle icho kiingereza chenu.Siku nyingine ukishiba uwe unawahi kulala
Ukiisoma ile barua vizuri utafikiri kama malawi hawaja wapiga ban lkn in reality ile ni ban. Since April ina maana hapo malawi hakuna ndege inayo ingia pale lilongwe ?
Kingereza bila pesa ni makelele
Kama kiswahili kinaviwapiga chenga tu
Mambumbumbu katika ubora wenu. Sasa kiherehere ni cha nini kama hamuelewi kilichoandikwa kwenye barua hiyo? Si mngeitisha tu tafsiri kwa kiswahili, kabla ya kutupia comment zenu za kiboya. Tangia mwezi wa Aprili hadi sasa hivi hakuna ndege zozote, kwenye route za kimataifa, ambazo zimekubaliwa kutua Malawi. Yaani 'International commercial flights', kama bado hamjaelewa subirini ntawachorea kibonzo.
 
Yani we NGUCHIRO fanya tu uharishe ukalale,

Kiswahili hujui, kiingereza huelewi, Yani JICHO KUUUBWA ila huoni.

VYENYE UMEKASIRIKA HATA HUJUI UTA DO WHAT..
 
Kuna vichaa wanaongea kiingereza huko Uingereza...
Yea na kuna vichaa watz hapa ambao wanacomment kuhusu suala ambalo hawajalielewa hata kidogo. Kisa lugha gongana, alafu wameamua kufa nayo hivyo hivyo, tu mithili ya mtu anayesoma gazeti juu chini. [emoji1] Kiswahili kinatosha pia, wapo wengi humu ambao wanaweza wakawapa tafsiri, acheni ubishoo. KQ wameulizia kuhusu uwezekano wa usafiri wa anga kurejea nchini Malawi, wakiwa na nia ya kuanza safari zao. Ila wamalawi wakajibu kwamba hawajafungua anga zao kwa ndege zozote kutoka nje ya Malawi. Wanasema kwa sasa bado wanaendelea na shughuli za kuwezesha usafiri wa anga ambao utatilia maanani tahadhari dhidi ya maambukizi ya COVID-19. Eti KQ imepigwa stop, kwani ATCL au hata ET na Emirates wamekubaliwa? [emoji1] Si huwa mnafunzwa kwa kiingereza kuanzia kidato cha kwanza? Sasa nikisema kwamba wote ambao hamkuelewa hata sentensi moja tu ya barua hiyo ni madrop out wa darasa la saba nimekosea? [emoji1]
 
Kenyan wanatumiwa sana na mataifa ya nje!!that is a big problem,,and some of african countries have recognized that,they will pay it,
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…