Malawi nao wapiga stop Kenya airways

We ni ki JINGA sanaaa sijui kama ulisoma commwnt yangu mpaka mwisho ..sijui ww mitihan yako ya darasa la. Saba ulikuwa unajibu vipi ? Yan una soma mstari wa kwanza then unakimbilia kutoa majibu.
 
Yani we NGUCHIRO fanya tu uharishe ukalale,
Kiswahili hujui, kiingereza huelewi, Yani JICHO KUUUBWA ila huoni.
VYENYE UMEKASIRIKA HATA HUJUI UTA DO WHAT..
Andika *yaani sio yani, *wewe sio we. Hoja yako ni ipi kuhusu mada hii wewe kinyangarika? Au ni hicho kiswahili chako cha Kariakoo?
 
Murikuwa mnataka mletewe akina nani? Wageni ni wageni wameleta wawakilishi wao. Nikuwapokea na mungewaweke hata back bench pia ingekuwa ni uungwana
 
Hao uliowataja wameomba kutua Malawi..!? Wakati mnaomba hamkujua kwamba COVID IPO? Wakati mnapiga BAN wenzenu, mlitegemea wengine wawafanye nini!?
 
Kenya wana Covid-19.ni bora wapigwe pini na nchi zote za Africa.
 
Hawa nyang'ao watanyooka tu na uzungu wao fake!
Walinyooka kitambo miaka ya 80s na 90s wakati Tanzania alikuwa ndio kiongozi EAC kiuchumi, Sasa ni muda wa Tanzania kunyooka.
 
Naweka kumbukumbu sawa.
Kenya wana wagonjwa wa corona 12,000+ walio ACTIVE. [emoji16][emoji16][emoji16].
hii inamaanisha bwana Israel mtoa roho hakosi wafuasi wake hata 2,000.
RIP KENYA IN ADVANCE.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sio lugha yetu Kwan we kingereza unahisi imetoka mbinguni mpaka unatukuza kiasi hicho ? Kingereza kimetoka Kwa wakoroni wenyewe hasa United Kingdom Sisi chetu Kiswahili hakijatoka Kwa mkoroni yeyote .Sisi kama china tu lugha yetu Kwanza nyengine baadaye
 
Sijakitukuza kiingereza, ila hutanipata hata siku moja nikitoa maoni ya kipumba kuhusu taarifa au habari ambazo zimeandikwa labda kwa kijapani, kireno au kimandarin. Au lugha yeyote ile nyingine ambayo siielewi. Huo ni ukichaa wa hali ya juu, jambo la busara ni kutafuta tafsiri kwanza. Alafu ni mkoloni, sio mkoroni.
 
Wenyewe unajiona muelewa kama wema sepetu na maringo juu.
 
Kiingereza huwa kinawapinga watz chenga
Hicho Kiingereza cha nini sasa?

Kiswahili kinatutosha sana mpaka kinabaki!

Ndio maana leo hata wewe mzungu-pori usiyejua Kiingereza wala Kiswahili umeamua kuandika Kiswahili kwa sababu unajua Kakiingereza kako uchwara hakahitajiki!
 
Hicho Kiingereza cha nini sasa?

Kiswahili kinatutosha sana mpaka kinabaki!

Ndio maana leo hata wewe mzungu-pori usiyejua Kiingereza wala Kiswahili umeamua kuandika Kiswahili kwa sababu unajua Kakiingereza kako uchwara hakahitajiki!
Sasa utajuaje kwamba kinanipiga chenga wakati wewe mwenyewe hapo hakipandi hata kwa dawa? Me cago en la madre que te parió. Gilipuertas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…