Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo Chakwera alitaka kwenda holiday Bahamas?

NB: Wanyasa punguzeni kujitutumua
 
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe?
Wewe unaongea tu, wazungu na tech zao walitafuta F-35 wiki nzima, indonesia airline iliyopotea baharini ina kila tech na ikapotea mpaka leo, ni wazungu hawana vifaa?

Dunia ni kubwa sana, binadam hafaham kila kitu
 
Ndege imeanguka karibu na Lilongwe (mji Mkuu) Rescue and search tunaingia siku ya pili
 
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo Chakwera alitaka kwenda holiday Bahamas?
Ndiookisa cha kumtoaa kale kabinti mkuu mojawapo n hiloo kalijiona the best
 
Huyowashampata wanajipanga mkuu mazikoyamkubwa sio simple sekta zote mnajipangaaaa ulinzi waimbaj wakostudio sasahizi wakimaliza unasiksia tanzia
Okay. Wacha nasi tujipange tukahudhurie maziko
 
Back
Top Bottom