Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

Malawi ndio walitaka vita na Tanzania?

Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo Chakwera alitaka kwenda holiday Bahamas?
Kashindwa Iran kuipata helicopter ndio sembuse Malawi. Uzuri Mungu lazma atatoa GG kujidhihirisha yeye ni nani.
 
Wewe unaongea tu, wazungu na tech zao walitafuta F-35 wiki nzima, indonesia airline iliyopotea baharini ina kila tech na ikapotea mpaka leo, ni wazungu hawana vifaa?

Dunia ni kubwa sana, binadam hafaham kila kitu
Unaijua malawi mkuu

sasa ndege iliyopotelea baharin unaringanisha na iliyopotelea ndan ya nchi
 
Hakuna uadui wo wote kati ya Tanzania na Malawi!
Tanzania ina ubarozi wake Malawi na Malawi wana ubarozi wao Tanzania.
Kuhusu mgogoro wa mpaka bado jitihada zinaendelea kupata suluhu.
 
Hakuna uadui wo wote kati ya Tanzania na Malawi!
Tanzania ina ubarozi wake Malawi na Malawi wana ubarozi wao Tanzania.
Kuhusu mgogoro wa mpaka bado jitihada zinaendelea kupata suluhu.
Ubarozi❎
Ubalozi✔️
 
Back
Top Bottom