Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Tunapoteza mipira kizembe sana. Ball control hawa mapimbi sijui wanajifunzia msimbazi mpaka wanakera
 
Tatizo mliwasifia sana. Uzuri wa Mtanzania ukitaka afanye vizuri inabidi umponde. Tuanzeni kuwaita tena kichwa cha mwendawazimu maybe watazinduka
 
Hivi Lowassa hajaitakia kilala heri tena maana hali mbaya
 
Goaal! Kwa mchezo huu wa kubana hivi golini wamalawi wanaweza kutupiga goli tatu bila
 
na hayo hayao ya kumwagiana maji vipi tena !ohhh tumefungwa ....looh,sijui kama tunapona !
 
Mtu anapewa pasi anatuliza anaweka mpira vizuri then anapiga wanamwangalia tuu
 
Back
Top Bottom