Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Tumeshafungwa moja, goli la kizembe kweli, halafu kiungo tumezidiwa
 
Sijaelewa kocha alikuwa defensive minded ama laa...maana sina hakika kama Mudathir na Farid wanaweza sana kukaba, timu imepangwa attacking one ila imecheza defensively
 
Back
Top Bottom