Chama Cha Manduli watatumia jeshi, polisi, mgambo na silaha zote za kivita ili kuiba kura.
Nduli mkuu haoni hasara hata akiua nusu ya nchi ili yeye atawale milele
Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.
Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.
TUACHE KUJIDANGANYA.
Usifananishe Tanzania
huo ubora umepimwa na nini?Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Vile Meko anatoa macho akipata habari hizi!View attachment 1488565
Umesahau maiti za mto Ruvu na zile za Coco Beach 🏖️🏝️?Watakuwa wanajiandalia tiketi ya kwenda The Hague, huwezi kuwaua watu alafu ukabaki salama