Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Tanzania sio Malawi, hapa mtu yuko tayari kufanya hata mauaji ya kimbare ili mradi tu atangazwe mshindi.

Na kwa hii tume ambayo sifa kubwa ya kuteuliwa kuitumikia ni lazima uwe mwanachama wa ccm hiyo ndoto haiwezekani. Forget it.
 
Usifanye makosa Oktoba,weka vizuri kichinjio chako,hakuna kucheka na kima.
 
Huko Malawi vyama vipo kwa maslai mapana ya taifa la Malawi lakini hapa kwetu chama kwanza alafu taifa kesho,
 
Unachokiona Malawi ni juhudi za maandamano ya wananchi kila wiki, pia sifa kubwa ziiendee mahakama huru ya Malawi pamoja na jeshi la ulinzi na polisi kutoupendelea upande wowote.

Unaowataka viongozi wa vyama wadai haki ni dalili ya uoga. Ni wazi wananchi sasa watapata chaguo lao na kuondokana na lile chaguo la tume.
 
Upinzani wetu umerudi nyuma sana, kwa kweli tulifika pazuri wakaturudisha nyuma. Mwaka 2010 upinzani ulikuwa na nguvu kubwa. Tuliiona Chadema ikitikisa nchi. Hukohuko ndani ya Chadema wakatokea wasaliti, walikubali kuhongwa na kusahau umma ulio waamini. Wakaanza kufukuzana wao kwa wao. Kosa lilianzia hapo. Zitto alihujumu sana Chadema.

Ilipofika 2015 wakatuletea Lowasa akaharibu kabisa radha yetu ya upinzani na akina Dr. Slaa kukimbia Chadema. Likawa pigo lingine kwa upinzani.

Hawa Hawa wapinzani wetu ambao tumewaamini Wakaanza kuunga juhudi ( " walinunuliwa?") Leo kule ACT, huku Chadema,etc Kila chama Kiko kivyake.

Ili kufufua matumaini ya upinzani Kwanza wao wenyewe watubu kwa umma juu ya haya wanayofanyiana. Pili wasiwe ving'ang'anizi yaan wenyeviti haohao miaka nenda Rudi wagombea hao hao.

Kisha waje sasa tutawaelewa. Ila kwa kachumbari hii iliyopo hamna upinzani hapo ni stori tu. Ngoja CCM iwachezee maana wanabei na mwaka huu sijui Bei elekezi ni kiasi gani.

Wamechemka ngoja tu iwe ajira Ila sio kuchukia dora
 
Vyama vya upinzani havijajiandaa kuchukua nchi, mwaka 2015 watu waliumizwa, wengine wakafungwa, wengine wakafa, na wengine walipoteza kazi lengo ni ilikua kuwapigania viongozi na vyama vya upinzani viongoze serikali.

Ila mwishowe hao hao tuliowapigania kwa jasho na damu wameunga juhudi! Huu si usen*** , wapinzani wa Tz hawaaminiki heri maccm yaendelee kuongoza nchi tu.
 
Ukweli mchungu.
Labda tuanze na wapinzani wengine sio hawa
 
Wacha kuweweseka mageuzi hayaepukiki Tanzania, tulia
Vyama vya upinzani havijajiandaa kuchukua nchi, mwaka 2015 watu waliumizwa, wengine wakafungwa, wengine wakafa, na wengine walipoteza kazi lengo ni ilikua kuwapigania viongozi na vyama vya upinzani viongoze serikali.

Ila mwishowe hao hao tuliowapigania kwa jasho na damu wameunga juhudi! Huu si usen*** , wapinzani wa Tz hawaaminiki heri maccm yaendelee kuongoza nchi tu.
 
Mshaanza kuogopa, wacheni kuogopa maana hiyo sheria ya Tanzania kuwa na mfumo wa vyama vingi mlipitisha nyinyi wenyewe
Kuputia mgombea gani wa upinzani mboeeeeee au Tundu lisilo na kitu ?. Unataka tuwe kama wakenya au, maana hao wawili wakipewa nchi na hao wazungu wao watakua kila Kona, mwisho utasikia m bongo kufika kariakoo au posta mpaka uwe na electronic kadi tena unailipia kwa mwezi maana wanawaona kama miungu!!
 
Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.

Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.

TUACHE KUJIDANGANYA.
Ina maana Jecha aliongoza tume ya uchaguzi Zanzibar huku akiwa na kadi ya Ccm mfukoni?
 
Ya Malawi hayakuanza leo,yalianza na Rais wao wa kwanza na hayajawahi kuigwa na wengine kama unavyotamani.
 
Naona uwoga umeshawaingia, tulieni sindano ziwangie na watu wapo tayari kuyapokea mageuzi

Si issue ya uwoga Tz hakuna upinzani wa kweli bali wamejaa wachumia tumbo na wapiga dili tu, kifupi wapinzani HAWAAMINIKI.

Watanzania tunapenda na tuko tayari kwa mabadiliko, ila tukifanya mabadiliko wale watakao kabidhiwa nchi HAWAAMINIKI, acha mihemko kijana.
 
Na ccm ndiyo haiaminiki kabisa na imechokwa kabisa

Back
Top Bottom