Malawi yaongoza kwa ulaji kitimoto barani Afrika, yashika namba 2 kwa idadi kubwa ya nguruwe takribani milioni 8

Malawi yaongoza kwa ulaji kitimoto barani Afrika, yashika namba 2 kwa idadi kubwa ya nguruwe takribani milioni 8

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Malawi 🇲🇼 has the highest per capita consumption of pork 🐖 in Africa estimated as 15.7 KGs/Person/Year

That's an average of 300 Grammes of Pork every week

The country also has the 2nd highest population of Pigs 🐖 in Africa estimated as 8 Million, just after Nigeria

It ranks 21st in the world on the Population of Pigs

📸: Courtesy

#DataSpeaks
 

Attachments

  • Screenshot_2025_0824_200859.jpg
    Screenshot_2025_0824_200859.jpg
    196.9 KB · Views: 31
Malawi 🇲🇼 has the highest per capita consumption of pork 🐖 in Africa estimated as 15.7 KGs/Person/Year

That's an average of 300 Grammes of Pork every week

The country also has the 2nd highest population of Pigs 🐖 in Africa estimated as 8 Million, just after Nigeria

It ranks 21st in the world on the Population of Pigs

📸: Courtesy

#DataSpeaks
Shetani bwana ! kweli ni adui yetu.Inakuwaje mtu anakula uchafu kama huo wakati mbuzi na kondoo na kuku wamejaa tele.
 
NI dhambi tu ukila hadharani. Lakini kwa kificho anatafunika vizuri sana Na ndio wanaogoza.

adriz gallow bird Al-mukheef Adiosamigo Ritz Jagina


Injili zasema Yesu alivunja sheria ya Torati. Mathayo na Marko wametaja eti Yesu kahalalisha vyakula vyote, ilhali Sheria ya Musa yakataza nguruwe waziwazi: “Msile nyama yake, wala msiiguse mizoga yake; ni michafu kwenu.” (Mambo ya Walawi. 11:7-8; Kum. 14:8-9).


Lakini maneno ya mabano, “Yesu alitangaza vyakula vyote kuwa safi”, si maneno ya Yesu, bali ni hila za waandishi waliopotoshwa na mafundisho ya Paulo, ambaye hakushika Sheria.

Injili zikaandikwa kwa mkono wa watu wa Mataifa, si kwa waumini wa Kiyahudi.


Marcion, kiongozi wa Wagnostiki (karne ya pili), alisema Wayahudi waliongeza vipande ndani ya maandiko. Kwa hivyo Injili nne zilikuwa za wapagani, si za mitume wa Yesu.
 
Bongo hatukusanyi takwimu, ila mdudu analika sana aloo.

Huko Malawi hamna waislam wengi?
 
Ukiangalia Kwa jicho la haramu, utasema kitimoto hakifai

Lakini Kwa sisi wajasiriamali, kitimoto ni moja ya mifuko inayoweza kukupa hela nzuri sana ukifuga kisasa na Kwa nafasi

Ukipata mbegu nzuri, nguruwe mmoja anaweza kuuzwa shilingi 700,000 hadi 1,000,000

Imagine una watoto wanasumbua ada, ukiuza wawili tu tayari umepata hela ya kwenda kupunguza ada Kwa Vijana wako wanaosoma
 
Back
Top Bottom