eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,807
- 16,477
Shetani bwana ! kweli ni adui yetu.Inakuwaje mtu anakula uchafu kama huo wakati mbuzi na kondoo na kuku wamejaa tele.
Wee ni nani mpaka useme viumbe alivyoviumba mwenye navyo kuwa vichafu?
Shetani bwana ! kweli ni adui yetu.Inakuwaje mtu anakula uchafu kama huo wakati mbuzi na kondoo na kuku wamejaa tele.
Uislamu haujakatazs kula kitimoto,we muisharamu sio bureShetani bwana ! kweli ni adui yetu.Inakuwaje mtu anakula uchafu kama huo wakati mbuzi na kondoo na kuku wamejaa tele.
NI dhambi tu ukila hadharani. Lakini kwa kificho anatafunika vizuri sana Na ndio wanaogoza.
adriz gallow bird Al-mukheef Adiosamigo Ritz Jagina
Kurwani iliandikwa miaka miatatu baada ya pedophile kuliwa na kitimoto,Injili zasema Yesu alivunja sheria ya Torati. Mathayo na Marko wametaja eti Yesu kahalalisha vyakula vyote, ilhali Sheria ya Musa yakataza nguruwe waziwazi: “Msile nyama yake, wala msiiguse mizoga yake; ni michafu kwenu.” (Mambo ya Walawi. 11:7-8; Kum. 14:8-9).
Lakini maneno ya mabano, “Yesu alitangaza vyakula vyote kuwa safi”, si maneno ya Yesu, bali ni hila za waandishi waliopotoshwa na mafundisho ya Paulo, ambaye hakushika Sheria.
Injili zikaandikwa kwa mkono wa watu wa Mataifa, si kwa waumini wa Kiyahudi.
Marcion, kiongozi wa Wagnostiki (karne ya pili), alisema Wayahudi waliongeza vipande ndani ya maandiko. Kwa hivyo Injili nne zilikuwa za wapagani, si za mitume wa Yesu.
Aka RitzBila kumsahau THE BIG SHOW
Mbona Ramadhan zinadoda 👆🏿👆🏿🤣😂😂We tatizo lako unadhani wote ni makenge kama wewe, niwaogope watu nisimuogope Mungu. We unadhani mimi ni mkristo, nyie ndio mnao ogopa watu sababu mmefanya binadamu kuwa Mungu
Gram 300 kwa wiki???That's an average of 300 Grammes of Pork every week