Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Rafiki yangu mahusiano yake yalipovunjika ilibidi aondoke nyumbani akimuacha mke na watoto watatu. Anasema ndoa ilivunjika zamani sana kuasi cha yeye kuwa na ki camp bed chake chumbani ila alikaa kulea watoto wake.
Hali ilifikia kuwa mbaya, aliondoka nyumbani. Aliweka mizigo yake storage akawa officially homeless. Ukiwa na shida utapata tu ufumbuzi. Aligundua mjini kuna homeless centres, hizi wengi wao ni wahanga wa ndoa kuvunjika lakini wanaajira zao.
Ni ndani ya hall kubwa mfano wa boarding school. Kuna vitanda kama 40, kila kitanda kimetandikwa shuka safi na duvet. U. Wafanyakazinalipa £10 usiku, unaweza kuoga na kulala. Asubuhi ikifika saa tatu, wote muwe mmeondoka. Wafanyakazi wana toa shuka na kufua, wanatandika shuka safi kwaajili ya siku mpya.
Rafiki yangu ananiambia ilimgharimu £300 kwa mwezi, yeye aliona ni maisha bora na yenye amani mpaka alipojipanga kupata kwake.
Niliwaza hii fursa ukiianzisha karibu na stand kubwa. Wasafiri waliokwama unakula 10,000 kwa kichwa.