Malazi ya £10 kwa siku kwa wasio na nyumba huko Ulaya

Malazi ya £10 kwa siku kwa wasio na nyumba huko Ulaya

Aisee bonge la idea, nenda Kariakoo asubuhi sana mida ya saa 10 utakuta watu wamelala hovyo hawana makazi hao utawakamata sana
Kuna vijana niliwasikia you tube, hawana makazi maalum. Wanalala guest wakiugua tu ili kurekebisha afya.
 
Kwasababu bongo nyumba inajengwa na mara nyingi ni pesa ya mwanaume. Lakini wanaume wengine ni wastaarabu hasa kukiwa na watoto. Ndoa ikivunjika anaangalia usalama wa watoto wake kwanza na anamuacha mama na watoto kwenye nyumba.
kwa bongo njia rahisi huwa ikitokea migogoro kama hiyo mwanaume anaandaa magunia ya mkaa na kumalizana namke wake
 
Ni likua na wazo kama hilo nilivo rudi, ila iwe kwa freelance students private kulipa kwa siku 3000 tu ila changamoto zoliopo ni hizi:
*Indiscipline za watanzania ngono ndo kila kitu ata yule masikini wa kutupwa
*Ulevi wa pombe na madawa ya *kulevya
*Wizi wa ndani hara ndara mtzania anaiba hayo mashuka kila wiki unanunua mapya
*Uchafu wa watanzania ni wakiwango cha juu hilo holi litanuka ile mbaya
*Umalaya funjo nk

ila ni biashara nzuri sana wengi wanashindwa ku kodi nyumba na kulea familia zao
Kwa usalama unaweka kikabati kidogo kando ya kitanda, kila anaeingia unampa funguo na maximum mzigo uwe ni rack sack.
 
kwa bongo njia rahisi huwa ikitokea migogoro kama hiyo mwanaume anaandaa magunia ya mkaa na kumalizana namke wake
Bora hata bongo huko wenzetu ndo wanamalizana zaidi
 
Kwasababu bongo nyumba inajengwa na mara nyingi ni pesa ya mwanaume. Lakini wanaume wengine ni wastaarabu hasa kukiwa na watoto. Ndoa ikivunjika anaangalia usalama wa watoto wake kwanza na anamuacha mama na watoto kwenye nyumba.
In Tz 2/10 halafu huyo Mwanaume awe Mchagga, Mnyakyusa au Mhaya!!



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huu utaratibu wa ulaya na amerika kwamba mkiachana mwanaume ndo anatakiwa kuondoka ni upuuzi sana yaani
 
Rafiki yangu mahusiano yake yalipovunjika ilibidi aondoke nyumbani akimuacha mke na watoto watatu. Anasema ndoa ilivunjika zamani sana kuasi cha yeye kuwa na ki camp bed chake chumbani ila alikaa kulea watoto wake.

Hali ilifikia kuwa mbaya, aliondoka nyumbani. Aliweka mizigo yake storage akawa officially homeless. Ukiwa na shida utapata tu ufumbuzi. Aligundua mjini kuna homeless centres, hizi wengi wao ni wahanga wa ndoa kuvunjika lakini wanaajira zao.

Ni ndani ya hall kubwa mfano wa boarding school. Kuna vitanda kama 40, kila kitanda kimetandikwa shuka safi na duvet. U. Wafanyakazinalipa £10 usiku, unaweza kuoga na kulala. Asubuhi ikifika saa tatu, wote muwe mmeondoka. Wafanyakazi wana toa shuka na kufua, wanatandika shuka safi kwaajili ya siku mpya.

Rafiki yangu ananiambia ilimgharimu £300 kwa mwezi, yeye aliona ni maisha bora na yenye amani mpaka alipojipanga kupata kwake.

Niliwaza hii fursa ukiianzisha karibu na stand kubwa. Wasafiri waliokwama unakula 10,000 kwa kichwa.
Itakua danguro
 
Back
Top Bottom