Malazi ya £10 kwa siku kwa wasio na nyumba huko Ulaya

Aisee bonge la idea, nenda Kariakoo asubuhi sana mida ya saa 10 utakuta watu wamelala hovyo hawana makazi hao utawakamata sana
Kuna vijana niliwasikia you tube, hawana makazi maalum. Wanalala guest wakiugua tu ili kurekebisha afya.
 
Kwasababu bongo nyumba inajengwa na mara nyingi ni pesa ya mwanaume. Lakini wanaume wengine ni wastaarabu hasa kukiwa na watoto. Ndoa ikivunjika anaangalia usalama wa watoto wake kwanza na anamuacha mama na watoto kwenye nyumba.
kwa bongo njia rahisi huwa ikitokea migogoro kama hiyo mwanaume anaandaa magunia ya mkaa na kumalizana namke wake
 
Kwa usalama unaweka kikabati kidogo kando ya kitanda, kila anaeingia unampa funguo na maximum mzigo uwe ni rack sack.
 
kwa bongo njia rahisi huwa ikitokea migogoro kama hiyo mwanaume anaandaa magunia ya mkaa na kumalizana namke wake
Bora hata bongo huko wenzetu ndo wanamalizana zaidi
 
Kwasababu bongo nyumba inajengwa na mara nyingi ni pesa ya mwanaume. Lakini wanaume wengine ni wastaarabu hasa kukiwa na watoto. Ndoa ikivunjika anaangalia usalama wa watoto wake kwanza na anamuacha mama na watoto kwenye nyumba.
In Tz 2/10 halafu huyo Mwanaume awe Mchagga, Mnyakyusa au Mhaya!!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huu utaratibu wa ulaya na amerika kwamba mkiachana mwanaume ndo anatakiwa kuondoka ni upuuzi sana yaani
 
Itakua danguro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…