MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #121
Daaah it so deep indeed, mkuu kama hutajali naomba nije pm kwako tuzungumze..
Please I beg you
Mkuu jamaa hapo juu umemjibu vizuri. Lakini pia si vibaya kumpa njia uliyoitumia ingawa naamini yiu have invested alot to be there .Nimehisi labda uelewa wako siyo hobby au mere reading lakini umerutubishwa hasa na shughuli uliyokuwa unaifanya of which labda usingependa mtu afahamu mi jambo zuri pia. Hongera sana tunanufaika sana na post zako humuMkuu tumalizane hapa hapa kwa maslahi ya wanajukwaa!
Mkuu jamaa hapo juu umemjibu vizuri. Lakini pia si vibaya kumpa njia uliyoitumia ingawa naamini yiu have invested alot to be there .Nimehisi labda uelewa wako siyo hobby au mere reading lakini umerutubishwa hasa na shughuli uliyokuwa unaifanya of which labda usingependa mtu afahamu mi jambo zuri pia. Hongera sana tunanufaika sana na post zako humu
Unafanya vitu gani kuwa na ubongo huoKivipi mkuu ???
Unafanya vitu gani kuwa na ubongo huo
Malcom Lumumba naomba unielezee kuhusu mfalme Nebkadreza from kuingia madarakani, mambo aliyofanya na kuanguka kwake A-Z
Ahsante...
Ahsante mkuu nakutegemea kwa hilo.Mkuu Historia ni ndefu kidogo.
Tukipata wasaha tutaizungumzia!
Shukrani. UncleNeema za Mungu zinasaidia,
Lakini muhimu ni kujaribu kufanya kwa kiasi kikubwa na nguvu nyingi lile unahisi unaliweza sana.
Karibu sana mkuu, tuko pamoja Ubarikiwe.JF raha sanaaa na haichoshi kwa uchambuzi wa wadau kama Malcom Lumumba.
Duh sijui nilikuwa wapi nikapitwa na uzi huu mtamu hivi wa kufungua mwaka!!Hahaha Daby bwana,
Kwenye ishu ya Palestina msimamo wangu ni wazi kabisa. Palestina ni lazima ipewe Statehood kwasababu wamezaliwa pale na hawana mahali pa kwenda zaidi ya pale.
Wayahudi nao wakae pale,
Kwasababu hawana mahali pengine kwenda.
Wakienda Ulaya watu wanatamani kuwaua kabisa.
Hivyo tunaweza kurudi kwenye msimamo wa two State Solution with Jerusalem as a neutral sacred city for both states.
NB: One State Solution haiwezekani mpaka hapa tulipofika. Hakuna anayekubali kushuka.
Wasalaam ndugu zangu,
Heri ya mwaka mpya 2018.
Binafsi nashukuru kudra za Mwenyezi Mungu kunifanya niuone huu mwaka mpya.
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kutaka tufahamiane zaidi, tukosoane na turekebishane ili mwaka huu wa 2018 tulifanye jukwaa hili liende sawia kwa michango mbali mbali ambayo tutakiwa tunatoa.
Binafsi mimi naipenda sana JF,
Hili ni tanuli za fikra na natumaini mchango wetu ni mkubwa sana katika jamii ya Tanzania hata kama Serikali, vyombo vya habari na mashirika ya mbali mbali hawaukubali huu ukweli.
Humu ndani tunaishi kama ndugu,
Tunakosoana, tunasifiana, tunakashifiana na hata kutukanana lakini mwisho wa siku UKWELI UTABAKI kwamba KILA MWANA CHAMA ANAMHITAJI MWENZAKE, haijalishi ni tajiri, maskini, msomi au mtu ambaye hajasoma.
Binafsi naishukuru sana JF na wanachama wote. Mimi kama mwanachama nitaendelea kuipenda sana JF na ntazidi kuchangia kwasababu natumai kwa hichi kidogo nilicho nacho naweza kuwagusa watu wawili watatu ndani ya jamii yetu.......
NB1: Baada ya kusema haya yote naruhusu maswali na maoni mbalimbali kuhusu MALCOM LUMUMBA pamoja na maandishi yake humu ndani ya Jukwaa hasa hasa kule SIASANI, JAMII INTELLIGENCE na INTERNATIONAL FORUMS.....
Pia wale wenye madukuduku au kero naomba waseme hapa ili niwaombe msamaha na tuanze huu mwaka vizuri..........
NB2: Unaweza kuuliza swali lolote lile kuhusu MALCOM LUMUMBA lakini naomba lisilenge kumkashifu mtu yeyote yule.
Natanguliza shukrani zangu......
Young Malcom........
CC: Consigliere, cognition, hearly, MSEZA MKULU, mngony, ze kokuyo, espy, Dragoon, Baazigar, RRONDO, Victor wa happy, Red Giant, Da'Vinci , Tobinho, mtembea kwa miguu, born again pagan, God Heals, FisadiKuu, UncleBen, Quinine Mwitu, Complex