Malcom Lumumba Live: Tusemezane...

Malcom Lumumba Live: Tusemezane...

Mkuu tumalizane hapa hapa kwa maslahi ya wanajukwaa!
Mkuu jamaa hapo juu umemjibu vizuri. Lakini pia si vibaya kumpa njia uliyoitumia ingawa naamini yiu have invested alot to be there .Nimehisi labda uelewa wako siyo hobby au mere reading lakini umerutubishwa hasa na shughuli uliyokuwa unaifanya of which labda usingependa mtu afahamu mi jambo zuri pia. Hongera sana tunanufaika sana na post zako humu
 
Mkuu jamaa hapo juu umemjibu vizuri. Lakini pia si vibaya kumpa njia uliyoitumia ingawa naamini yiu have invested alot to be there .Nimehisi labda uelewa wako siyo hobby au mere reading lakini umerutubishwa hasa na shughuli uliyokuwa unaifanya of which labda usingependa mtu afahamu mi jambo zuri pia. Hongera sana tunanufaika sana na post zako humu

Da'Vinci ni jamaa yangu sanaa tu,
Katika watu ambao nawakubali humu na yeye yumo.
Akiniuliza jambo lolote ntamjibu vizuri tu bila kumdanganya...
Asiogope watu, aulize lolote hapa...........
 
Mkuu sana M.Lumumba, kwanza habari ? Naamini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako binafsi na ya umma( naamini u mtumishi wa umma).
Nimekuwa nikifatilia mada zako na hasa niseme michango yako. Baadhi ya mada zako ingawa ziko diverse lakini niseme nyingi zimejikuta ktk umma/ jamii au mustakabali wa ujumla ni siyo ktk kikundi au individualism. Mada zako jyingi zi za maslai hata kama sio za Taifa la Tanzania basi ni elimu ya ujumla kwa kila mtu.
Baadhi ya mada zako zimejikita ktk ulinzi na usalama sio lazima uwe wa Tanzania lakini zimehusu ulinzi wa kijeshi , raia Mali zao ba hasa usalama wa dola.
Ilikuwa siku nyingi nikuulize au Niombe favour...sijui uko ktk position gani ya kitaaluuma hasa ktk mada zako unazotoa lakini naamini ukiamua huko uliko unaweza Fanya kitu.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi wa kuwa Rwanda imekuwa na influence ktk mambo yetu mengi ya ndani kama nchi ( ref. Post za Poise fellow JF member). Uvumi huu umevuka mipaka sana kiasi watu wanausamabaza kuwa hadi kuna walinzi wa Rwanda nchini Tanzania wanaoneka ikulu. Jambo hili linazunguka ktk mitandao tunalisoma kila siku mwishowe jamii inaamini hivyo kukiwa hakuna mtu yyte anayekanusha. Au tuseme
labda ni maazimio yale ya ushirikiano wa kipolisu katu ya Tz, Rwanda na Zambia watu hawajauelewa. Au labda ni tetesi au labda ni kweli who knows?
Binafsi nilishiriki uchaguzi wa 2015 na ktk kituo nilichokuwepo ilitokea shida kidogo,kuna mtu alikuja kupiga kura hajui Kiswahili...nilishindwa kuvumilia...nikamuuliza jina lake likawa linaendana na jamii ya Rwanda na Burundi. Akadai anatokea kigoma...jina la shule ya msingi hakumbuki...wimbo wa Taifa hajui...nilichoka.

Pia, mwaka huu nikiwa maeneo ya stendi wakati narudi ktk mambo yangu kuna mama alikoswa kugongwa na gari...Akatamka Yesu wangu kwa Kinyarwanda.
Sasa, kilichonufanya niandike hapa ni hii taarifa niliyoisikia kupitia City FM leo tarehe 2.3.2018 saa Tatu kasoro Usiku kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma amekamata Lori likiwa na Mali ghafi ya kutengenezea mabati likiwa linaenda Rwanda. Shida ni kuwa document zimefojiwa kuwa zinatoka Kamaka kwenda kwa Mnunuzi hapahapa Dar. Kumbe mzigo umetoka kiwanda kingine kabisa kile cha ALAF.
Worse enough ni plate number za magari zimeghushiwa(fake) aidha kibali cha kusafirisha kilitoka ktk gari nyingine siku TISA nyuma, mbali na hilo majina ya madereva yamebadilishwa zaidi ya mara nne ndani ya siku TISA.
Aidha, kamanda amethitisha pia kukamata binti wawili wa kinyarwanda wakidai wanaenda Zambia wakiwa smuggled ktk gari ya mizigo aina ya Fuso.

Je kwa ni kweli tuko ktk influence na Rwanda?

Wanpataje ujasiri wa kuiba mali ghafi zetu kwa njia kama hizi tena wanapitishia mji mkuu ?

Je tuko ktk vita ya kiuchumi na Rwanda ? Let alone espionage?

Are they in a plan to sabotage our economy?

Je inawezekana RAIA wakaripoti kupitia Mtandao huu kuhusu raia yeyote wa Rwanda wanayemshuku ili afatiliwe (give your opinions which way is better).

Should we be wooried ? If yes as good citizens tufanyeje ?

J.Comey
 
Hahaha Daby bwana,
Kwenye ishu ya Palestina msimamo wangu ni wazi kabisa. Palestina ni lazima ipewe Statehood kwasababu wamezaliwa pale na hawana mahali pa kwenda zaidi ya pale.

Wayahudi nao wakae pale,
Kwasababu hawana mahali pengine kwenda.
Wakienda Ulaya watu wanatamani kuwaua kabisa.

Hivyo tunaweza kurudi kwenye msimamo wa two State Solution with Jerusalem as a neutral sacred city for both states.

NB: One State Solution haiwezekani mpaka hapa tulipofika. Hakuna anayekubali kushuka.
Duh sijui nilikuwa wapi nikapitwa na uzi huu mtamu hivi wa kufungua mwaka!!

Anyway better late than never.......

Umegusia kuhusu palestina hivi nikiuliza ina maana wapalestina wanaoishi pale gaza au jerusalem karne ya 21 ndio wale wale walioishi palestine enzi za Jacob au Yesu?? Au hawa ni jamii tofauti ila inaishi eneo lile lile

Kingine kuna connection yeyote kati ya philistines na palestines au ni separate ethnic groups

Ahsante
 
Wasalaam ndugu zangu,
Heri ya mwaka mpya 2018.
Binafsi nashukuru kudra za Mwenyezi Mungu kunifanya niuone huu mwaka mpya.

Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kutaka tufahamiane zaidi, tukosoane na turekebishane ili mwaka huu wa 2018 tulifanye jukwaa hili liende sawia kwa michango mbali mbali ambayo tutakiwa tunatoa.

Binafsi mimi naipenda sana JF,
Hili ni tanuli za fikra na natumaini mchango wetu ni mkubwa sana katika jamii ya Tanzania hata kama Serikali, vyombo vya habari na mashirika ya mbali mbali hawaukubali huu ukweli.

Humu ndani tunaishi kama ndugu,
Tunakosoana, tunasifiana, tunakashifiana na hata kutukanana lakini mwisho wa siku UKWELI UTABAKI kwamba KILA MWANA CHAMA ANAMHITAJI MWENZAKE, haijalishi ni tajiri, maskini, msomi au mtu ambaye hajasoma.

Binafsi naishukuru sana JF na wanachama wote. Mimi kama mwanachama nitaendelea kuipenda sana JF na ntazidi kuchangia kwasababu natumai kwa hichi kidogo nilicho nacho naweza kuwagusa watu wawili watatu ndani ya jamii yetu.......

NB1: Baada ya kusema haya yote naruhusu maswali na maoni mbalimbali kuhusu MALCOM LUMUMBA pamoja na maandishi yake humu ndani ya Jukwaa hasa hasa kule SIASANI, JAMII INTELLIGENCE na INTERNATIONAL FORUMS.....

Pia wale wenye madukuduku au kero naomba waseme hapa ili niwaombe msamaha na tuanze huu mwaka vizuri..........

NB2: Unaweza kuuliza swali lolote lile kuhusu MALCOM LUMUMBA lakini naomba lisilenge kumkashifu mtu yeyote yule.

Natanguliza shukrani zangu......
Young Malcom........

CC: Consigliere, cognition, hearly, MSEZA MKULU, mngony, ze kokuyo, espy, Dragoon, Baazigar, RRONDO, Victor wa happy, Red Giant, Da'Vinci , Tobinho, mtembea kwa miguu, born again pagan, God Heals, FisadiKuu, UncleBen, Quinine Mwitu, Complex

Mkuu Malcom kwema? Naomba unipm nashida na wewe. Ahsante
 
Write your reply...kipindi nipo jeshi tulikuwa tunaimba nyimbo ya kizalendo mwanalumumba wa Congo .na wewe unajiita Lumumba hili jina asili yake ni wapi _? na Huyo mwanalumba wa Congo ni nani ?
 
Heshima kwako Mkuu,,

Watu kama watatu hivi katika huu uzi wameuliza swali la mfanano huu,"Unafanya nini kuwa na ubongo huo..? "
"Unasoma vitabu vya aina gani..?"

Kuna msemo mmoja au nukuu moja inasema:
"If We Encounter A man of Rare Intellect,We should Ask him What Books he Reads"

Malcolm X "El Hajj Malik El Shabazz"
Baada yakutupwa jela zaiidi ya miaka minane alikuwa msomaji sana sana wa vitabu huku akisoma vitabu kama vya philosophy,Politics,Dictionary,History na vingine vingi,

Usomaji huo ni mojawapo ya vitu vilivyomfanya awe na uwezo mkubwa katika kuchanganua mambo na kuchambua,kujenga hoja vyema, na kuwa na mvuto katika hotuba zake.

Malcolm X aliwahi kuulizwa

What's your Alma Mater...???

Malcolm X said "Books"

Alma Mater-Cambridge dictionary " The school,college or university where you studied/The official song of a school,College or University"


Swali langu ni hili,
Wewe Umejikita katika usomaji wa vitabu vya aina gani au unapendelea kusoma vitabu vipi vya siasa,siasa ya Ulimwengu,uchumi,falsafa,dini,Autobiography,Biography,sports,kung fu na vinginenvyo au chochote kilichombele yako halali yako....???


Nasitaki kuamini kama humpenzi wa kusoma vitabu.


Shukran/Ahsanteee.
 
Back
Top Bottom