Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
poa mkuu, ukiandika usisahau kuni TagMkuu kuandika kunachosha sana.
Hasahasa kusimulia matukio ya nyuma.
Nikipata wasaa nitakuja kumalizia tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa mkuu, ukiandika usisahau kuni TagMkuu kuandika kunachosha sana.
Hasahasa kusimulia matukio ya nyuma.
Nikipata wasaa nitakuja kumalizia tu.....
Enhee,Siogopi ila nimeshajua ulivyo
neo1, post: 25232719, member: 167873 ahsante kwa maelezo yako mkuu,
kutokana na hali inayoendelea Syria ikiwa kwa asilimia kubwa utawala wa Al Assad umefanikiwa kubaki madarakani,na wameweza kukomboa eneo kubwa toka mikononi mwa waasi na wanamgambo.Ila Marekani wamegoma kuondoka
nini Syria anaweza kufanya kulazimisha Marekani aondoke.
Pia elezea nini kinaendelea Iran na maandamano yake...je kwa maoni yako kuna dalili za kuanguka kwa utawala wa Iran
kama tawala za Iraq na Libya???
Wasalaam ndugu zangu,
Heri ya mwaka mpya 2018.
Binafsi nashukuru kudra za Mwenyezi Mungu kunifanya niuone huu mwaka mpya.
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kutaka tufahamiane zaidi, tukosoane na turekebishane ili mwaka huu wa 2018 tulifanye jukwaa hili liende sawia kwa michango mbali mbali ambayo tutakiwa tunatoa.
Binafsi mimi naipenda sana JF,
Hili ni tanuli za fikra na natumaini mchango wetu ni mkubwa sana katika jamii ya Tanzania hata kama Serikali, vyombo vya habari na mashirika ya mbali mbali hawaukubali huu ukweli.
Humu ndani tunaishi kama ndugu,
Tunakosoana, tunasifiana, tunakashifiana na hata kutukanana lakini mwisho wa siku UKWELI UTABAKI kwamba KILA MWANA CHAMA ANAMHITAJI MWENZAKE, haijalishi ni tajiri, maskini, msomi au mtu ambaye hajasoma.
Binafsi naishukuru sana JF na wanachama wote. Mimi kama mwanachama nitaendelea kuipenda sana JF na ntazidi kuchangia kwasababu natumai kwa hichi kidogo nilicho nacho naweza kuwagusa watu wawili watatu ndani ya jamii yetu.......
NB1: Baada ya kusema haya yote naruhusu maswali na maoni mbalimbali kuhusu MALCOM LUMUMBA pamoja na maandishi yake humu ndani ya Jukwaa hasa hasa kule SIASANI, JAMII INTELLIGENCE na INTERNATIONAL FORUMS.....
Pia wale wenye madukuduku au kero naomba waseme hapa ili niwaombe msamaha na tuanze huu mwaka vizuri..........
NB2: Unaweza kuuliza swali lolote lile kuhusu MALCOM LUMUMBA lakini naomba lisilenge kumkashifu mtu yeyote yule.
Natanguliza shukrani zangu......
Young Malcom........
CC: Consigliere, cognition, hearly, MSEZA MKULU, mngony, ze kokuyo, espy, Dragoon, Baazigar, RRONDO, Victor wa happy, Red Giant, Da'Vinci , Tobinho, mtembea kwa miguu, born again pagan, God Heals, FisadiKuu, UncleBen, Quinine Mwitu, Complex
Habari Mkuu.
Heri ya Mwaka mpya.
Nina maswali mengi sana sana. Nataka nikueulize lakini mm naomba nifungue uzi wa Interview yako ili na wengine wakuulize.
Mkuu wewe uliza hapa hapa, maan mengi nishayajibu!
Hata yakiwa mengi nitajitahidi kukujibu kwa kadiri ya uwezo wangu.
Karibu sana kiongozi....
Kuna huyu Lumumba mwenzio..
PatriceLumumba
Huyu ndugu huwa namwona tu kwenye majukwaa.
Una level gani ya elimu..?
Kwanini Ulijiita Macom Lumumba..? ML ni nani..?
Mimi nina Bachelor tu mkuu.
Nilitokea kupenda sana Falsafa za Malcom X (Brother Shabaz) na huyu ndugu Patrice Emery Lumumba,
Hivyo nikayaunganisha kutengeneza jina Malcom Lumumba.
I hope u are somebody in this country, unauwezo wa hali ya juu sana kwenye mambo mengi Siasa, Uchumi, biashara, Utamaduni, ujasusi.
Unalizungumziaje swala la T Lissu kushutiwa dodoma..?
Mkuu,
Yes I am somebody in this country " A Citizen who loves his country with all his heart"
Kuhusiana na Swala la Tundu Lissu ninalaani sana lile Shambulio kwasababu ni Uvunjifu wa Haki za Binadamu, Pia linahatarisha Amani na Usalama wa nchi yetu.. (Siyo jambo jema hata kidogo)
NB: Siwezi kuzungumzia zaidi ya hapa kwasababu jambo hili kwasasa liko chini ya Uchunguzi wa vyombo vya dola.
Ombi.
Naomba links za nyuzi zako zoooote Ulizoanzisha majukwaa ya Jf Intell,, zInternational etc nikaongeze maarifa..
haha acha zako... Umenitukana bila kujua.Hizi sifa unataka nini?
Nilikua napita tu,mbona hujaja kusuluhisha kule ,nishakutag mpaka nimechokaahaha acha zako... Umenitukana bila kujua.
Malcom ni mshkaji jukwaani.
Huko utoto mwingi mie sipawezi bhana.Nilikua napita tu,mbona hujaja kusuluhisha kule ,nishakutag mpaka nimechokaa
NimekudharaaaauHuko utoto mwingi mie sipawezi bhana.