mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
Hali ya kisiasa kwa sasa kwa mtazamo wako ikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ya kisiasa kwa sasa kwa mtazamo wako ikoje?
Kama ulivyoninukuu hapo juu,Tanzania hakuna Shirika la Kijasusi kuna Idara ya Ujasusi inayofanya kazi chini ya Taasisi ambayo ni Ofisi ya Raisi.
Kivitendo hiyo Idara ya Usalama wa Taifa inawajibika kwa Raisi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hivyo CCM na Raisi Magufuli wakiamua kufutilia mbali hao Usalama wa Taifa wanaweza na hakuna atakayewazuiaKisheria. Sema kiuhalisia CCM hawezi kufanya hivyo kwasababu huo ndiy
Moja kati ya maoni yako juu ya taasisi yetu hii nyeti, swali. Nini kinapungua na nini kiongezeke? Wapi wameharibu na ni mfumo upi unafaa? Wahuska hawachelewi kupita humu wenda mawazo yako yakafanyiwa kazi..
NB sjakopi yote hyo komenti yako
Tutaundeleza mwaka huu ule uzi mkuu.Malcom Mwaka juzi tuliwahi kua na uzi wetu wa EDM pamoja na Red Giant na jamaa wengine siwakumbuki vizuri...
Kwangu ilikua ni sehemu poa sana kwa mood mpya-Turn Up 2018 tupite pale pia japo mara moja moja.
Aaah kumbe ni wewe.Nikituko ban nitakuja nikuulize maswali kadhaa..
Hali ya Siasa kwa sasa naifananisha na tanuri la moto uliochochewa mara saba. Tanzania yetu inapita katika kipindi kigumu sana ambacho hatujawahi kukiona tangu kuanzishwa kwa taifa letu.
Ule Uhuru wetu,
Ule Umoja wetu,
Ule Mshikamano wetu,
Ule Udugu wetu,
Ule Muungano wetu na;
Ile Amani yetu ambayo tumejisifia tunayo kwa zaidi ya miaka Hamsini (50) sasa inapimwa.
Na lazima ikumbukwe kwamba hizo tunu zetu tajwa hapo juu haziwezi kupimwa wakati wa furaha bali kipindi kama hiki ndiyo kitathibitishia dunia kwamba sisi ni watu wa namna gani.
Kama tulijenga nyumba yetu juu ya Mchanga au Juu ya mwamba...(Gharika hii ndiyo ndiyo inatupima)
Tukiamua kugawana fito na kusema liwalo na liwe kisa tu kumchukia Raisi Magufuli ambaye yeye siyo mmiliki wa hii nchi bali mpitaji tu ni lazima jahazi hili litazama na tutakuwa hatuna tofauti Paka ambaye ananyea Unga wakati ana njaa.
Pia tukisema tukae turidhike na kuwategemea wanasiasa hasahasa vyama kwamba ndiyo vitatuletea maendeleo basi tutakuwa tumepotea sana kwa kiasi kikubwa. Ni lazima ifike wakati watanzania tuwafundishe hawa wanasiasa kwamba nani ndiye mwenye makali na nani mwenye mpini....Ni lazima tuwafunge lijamu wanasiasa ili hata wakiangalia kwenye vioo waone taswira zetu sisi wananchi wa kawaida.
Ukweli mchungu ni kwamba maendeleo hayataletwa na rundo la Makaratasi yanaitwa katiba,...Maana katika ya Kwanza kabisa ni wananchi wenyewe katika nadharia ya Social Contract kwamba "From today onwards the government and its instrument pledges fidelity to WE the PEOPLE OF Tanganyika and Zanzibar and will only remain valid and legitimate as long as it remains royal to the cause it was established for..
As from there we can seal this pact in a written Evidence called The Constitution..(Katiba ya kwanza kabisa ni sisi wananchi na jinsi tutakavyoamua kufanya mfumo wetu wa maisha uwe)
NB: Marekani ni moja ya taifa kubwa sana hapa duniani kwasababu lilipitia vipindi vigumu sana na mwishowe walitoka katika hayo majanga wamoja kuliko hata walivyokuwepo kipindi cha Uhuru.
Nchi ilimeguka vipande viwili, na dunia ikashuhudia ndugu wawili wakiuana. Falme za Ulaya zilitumia mwanya wa Demokrasia ya Marekani kuleta machafuko. Lakini wananchi wa Marekani walijua kwamba tatizo siyo vita bali ni jinsi watavyo-react dhidi ya hiyo vita wao kama Wamarekani.
Kuna watu walitaka kugawana fito za nchi kisa Rais Abraham Lincoln lakini wakaja kujua kwamba Lincoln ni mpitaji tu na Marekani ni kuwa kuliko kila mtu.
Hivyo na sisi Watanzania,
Tukumbuke kwamba wakina CCM,CHADEMA, ACT, Lowassa, Magufuli, Mbowe, Lissu, Zitto na wengineo ni mivuke ambayo inapita kwa muda tu lakini hutoweka. Hawa wanasiasa wana umuhimu wao sana lakini ni lazima tujue kwamba Tanzania ni kubwa sanaa kuliko hawa wapitaji....
Ni hayo tu kwa kifupi mkuu......
Mkuu, we ni moja ya watu ninaowakubali sana akiwemo izzo,mseza mkulu pamoja na al watan.. Najifunza vitu vingi sana kutoka kwenu
Malcom Lumumba unapenda sana viatu? Choice yako ya viatu inaonesha wewe ni YOUNG Malcom kama ulivyomalizia.
Hahahaha,
RRONDO bwana,
Kwa hiyo Le Mutuz ni mtoto naye ???
Kwahio unaniambia taste zako kama za le mutuz?Hahahaha,
RRONDO bwana,
Kwa hiyo Le Mutuz ni mtoto naye ???
Namaanisha viatu na vitu vizuri havina Umri.Kwahio unaniambia taste zako kama za le mutuz?
Mkuu kuna raba flani nyekundu uliziweka as avatar, please apload image yake hapa niidanlodi..
Sawa mkuu. Ila sijazungumzia uzuri, style and design, kuna design za vijana kama zile wanaita Supra halafu nyekundu.Namaanisha viatu na vitu vizuri havina Umri.
Siwezi kuvaa suti nikiwa ofisini na nikiwa mapumzikoni au mazoezini.
Napenda kuwa huru na kutofungwa na Stigma ambazo jamii yetu imejiwekea hasa kuhusiana na mavazi....
Ha ha ha hio nyekundu ndio imenifanya niulize.Ngoja niitafute mkuu....