Male to Female journey of Bruce Jenner

Hivi unayo akili timamu Kweli?
Kuna tofauti kati ya huyo kim na obama au beyonce na kim, kwa iyo kwa ufahamu wako beyonce anajiheshimu???

Huwezi kuchangia mada bila kunitukana? Akil timamu yangu inakuhusu nini wewe labda!... Nakuweka kiporo.
 
nadhani "Bwana" wake kapendelea hivyo. Hayawezi kuwa maamuzi yake. Atakuwa alikuwa katika mahusiano ya jinsia moja kwa kipindi kirefu cha maisha yake sasa kafikia kilele
 

Catalunyaa hahahahahaahhahaa nimecheka kweli hadi machozi yamenitoka
 
Ni bora na Michael Jackson kuliko huyu. This is bullshit..... Mofo,*** am gonna find ,her
 
maana hakuna namna
 

Attachments

  • 1434175819987.jpg
    47.5 KB · Views: 154
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…