Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unayo akili timamu Kweli?
Kuna tofauti kati ya huyo kim na obama au beyonce na kim, kwa iyo kwa ufahamu wako beyonce anajiheshimu???
huu msura km kachorwa...!
Haa haaa shost tumetupia mastory moko,kumbe wa2 wanatuchora tu.kwi kwi kwi na mi naitwa catalyin cjui catalunya jenner.. 65 yrs unadmire transgender? Nimeskia kalipwa mabilion kufanya hyo ki2 na wajenzi wenzie ili kuvutia other people around the world kufanya huo ubaradhuli we humuoni Obama anavyoshobokea! !