- Incredible! wagombea ubunge wawili wakipelekana kwenye sheria kwa sababu mmoja haridhiki na ushindi wa mwingine, ni wajibu wa mahakama kutangaza rasmi kwamba legally mmojawao ndiye mbunge anayetambuliwa rasmi.
William
- Mkuu wangu kisheria ya Tanzania ya bunge, DK. Malecela legally alianza kuitwa mbunge rasmi baada ya kushinda uchaguzi wa jimbo mwaka 1975, na not before that, na kwa mara ya kwanza alianza kupewa legal rights za ubunge lakini not before that.
- Ingawa alikuwa waziri wa nje na anaingia bungeni, how do you call that sijui, lakini hakuwa mbunge, na hakuwahi kuitwa mbunge period, mpaka aliposhinda legally mwaka 1975.
Hakuna nilipoteleza on this kwa sababu sikutoa jina la state ya uwaziri bila ya kuwa mbunge legally, as he was akiwa waziri wa nje, hakuwa any legal rights za ubunge. kila bunge linapokutana wakurugenzi wa mashirika mbali mbali ya umma na makatibu wakuu wa wizara huenda bungeni sometime, sasa wao legally ni members of bunge?
Ahsante.
William.
kama Malecela amekuwa mbunge legally kuanzia 1975, kabla ya hapo alikuwa mbunge illegally?
Hapa ndiyo hamna kitu kabisa.
Lol, si nilisahau mkuu?Invisible nasria audio hiyo naona 30 minute zimepita haujaweka
Ingawa alikuwa waziri wa nje na anaingia bungeni, how do you call that sijui, lakini hakuwa mbunge, na hakuwahi kuitwa mbunge period, mpaka aliposhinda legally mwaka 1975.
.Kiranga:
Lakini mahakama haimtamki kuwa "huyu mwingine ndiye mbunge illegal rasmi"
Exactly my point, kuwa mbunge ndiko kuwa mbunge legal, otherwise utatuletea habari za "Daraja la Salender Bridge" na "Barabara ya Kawawa Road" .Lugha na mi concept ya Westminster hii jamani, kama vipi tukubali kujifunza.
Malecela aliingia bungeni legally baada ya kuchaguliwa na wananchi(1975) kabla ya hapo alikuwa pia akiingia bungeni,lakini hakuna aliesema kuwa ilikuwa "Illegal" Yeye kuingia bungeni,soma maoni ya wenzako kwa makini Kiranga na usome between lines,Malecela alishakuuliza kuwa neno "Illegal" umelitoa wapi?
... sasa kwa msomi yoyote mwenye kuona mbali kielimu as you guys claim to be mlipaswa kutafuta namna ya ku-fill in the blank, sikuwa mjinga kutokugusua state of what he was alipokuwa waziri wa nje kwa sababu sikuwa na words to fit the ishu, ndio maana nikaacha blank, sasa fill in tuelimishe what was he? Badala ya kujaribu hizi gotcha games.
Ahsanteni Tena.
Na ndio maana nasubiri Malecela ajibu hilo swali langu la mwisho,kwasababu kama alikuwa akiingia bungeni kama mbunge na wakati huo sheria ya wabunge wa kuteuliwa haipo then ni diffrent issue,at the same time,ilikuwa si lazima kuwa mbunge kabla hujawa waziri kabla ya mwaka 1990,so mjadala huu unaendelea ili kuweza kujua sheria ilitafsiriwa kivipi.kwa hiyo kabla ya 1975 Malecela alikuwa anaingia bungeni legally au illegally?
Kama legally kwa nini useme Malecela alianza kuingia bungeni legally 1975?
Kama illegally kwa misingi ipi?
Amesha recruit WILLIAM JOHN MALECELLA ambaye ni member mpya hapa sasa😀Wanajamii I don't see anything hapa unless kama kuna habari zaidi.Aliyoyasema ni sawa na kasoma gazeti hakuna la kusisimua.I think mke wake yuko juu kisiasa ni vyema akaplay a background politics because of his age.Today people wanna see change ni vyema mzee wetu akarecruit someone and again his days in politics is over.
SAHIBA.
1
- then inatamka nini kuhusu mbunge aliyeshindwa?
2.
- Hakuna uhusiano wowote na hoja ya msingi ya mbunge ambaye anatambulika legally, asiyetambulika anaitwa nini tusaidie hapo mkuu ili tusipoteze muda! au kubali na wewe umepitiwa, umesahau, au hujui!
William.
Kiranga;-Waziri anayeingia bungeni bila kuwa mbunge, kama member wa cabinet, katika cabinet inayoruhusu mtu asiye mbunge kuwa waziri, si mbunge, legally or illegally
- mpaka aliposhinda legally 1975, kuna kwingine alishinda illegally?
Kama hakuchaguliwa wala kuteuliwa kuwa mbunge kabla ya 1975 basi hakuwa mbunge, so there is no sense kusema alikuwa mbunge legally 1975 kwa sababu hakuwahi kuwa mbunge illegally kabla, this is a misnomer and confusing misrepresentation that could lead a reasoning man to conclude that Malecela must have acquired a parliament seat illegally prior to 1975.
W. J. Malecela,
Kwanza nashukuru kwa baadhi ya mawazo yako.
Unaponijibu kwa kusema mimi nime "claim kuwa msomi mwenye kuona mbali kielimu" ni aina za mijadala inayoweza kupelekea kuchafuka kwa hali ya hewa na kuvunjika kwa amani. Si vizuri.
Sijawahi kusema mimi ni msomi kwa sababu mimi si msomi.
Pia mimi sijakuchezea "gotcha games," ila nimesema si vibaya ukidaiwa umakini wa kauli. Unaanza makaripio!
Quick background ambayo utakuwa huna, utanisamehe kama unayo kwa kuwepo hapa kivingine kama vile kufuatilia jamvi bila kuwa member, background yetu mojawapo hapa ni kwamba tuna tatizo kubwa la majadiliano kuanza vizuri na kuishia mrama, vurugu na hata abuse. Moja ya vyanzo vya tatizo ni kuwaka tunaposahihishwa.
Wewe ni damu mpya hapa, au nisema, umeonyesha kuja na damu mpya, hivyo tusaidie kwenye suluhishi.
Natanguliza shukurani.
W.J.Malecela nina swali, kama nilivyoelewa,wakati huo(before 1975) Dk Malecela alikuwa akiingia bungeni akiwa waziri,je bado alikuwa akibeba title ya ubunge? Ama ni ya uwaziri tu?
Kuhani,
It is exactly this kind of not only imprecise buffoonery and intolerably presumptuous chicanery, but also concocted cavalier callousness and lack of clear thought process which leads to reading what was not written and saying god only knows what that I find nauseating to the point of driving my intellectual intestines to rise in an uproar of what I can only decribe as organic vomit.
Comprehenison comprehension comprehension muhimu.
Mtu akisema mimi sijioni kama msomi, mtu mwingine ana m quote kwamba amesema yeye ni msomi!