Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia

Naomba nimuulize swali Baba Mkubwa Mzee Malecela,

Je kuzuia Wagombea binafsi wasio na chama nako si kukiuka Demokrasia au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?
 
- Mkuu Rev, ninaamini hilo ni suala la sheria zaidi kuliko siasa, tumekuwa tukiongozana kwa kutumia sheria za chama kimoja, ingawa tulipaswa kuzibadilisha pale tu tulipoingia siasa za vyama vingi, hatukufanya hivyo na kwa hilo ninawalaumu waasisi wa upinzani, ikwemo marehemu baba mkwe wangu ambao walishiriki sana kwenye mazungumzo ya Mwinyi Ikulu, kwa kukubali kuanzishwa kwa vyama vingi bila kubadilisha katiba ya chama kimoja!

- As the results sasa hii iimegeuka kua ishu ya sheria, badala ya ishu ndogo sana ya kisiasa, sijui mawazo ya Malecela in person kuhusu wagombea binafsi, lakini kwa maoni yangu wa kulaumiwa na hilo ni waasisi wa vyama vya upinzani kwa kuwaruhusu CCM ku-get away na hilo wakati wa kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi wakati walijua kabisa kwamba CCM walikuwa wamekabwa koo na wafadhili na dniyo ilikuwa nafasi pekee ya kuwalazimisha anything lakini sio sasa, CCM walikuwa na nia moja tu katika yale mazungumzo nayo ilikuwa kuendelea kutawala by any means necessary!

- Sasa hivi CCM hawatakubali kushindwa kwenye sheria, hii ishu ni another opportunity lost kama vile ile siku Zitto alipotinga Jangwani na ishu ya Buzwagi. Badala ya kujiunga naye sisi wananchi wote, tukabaki kushangaa lile Hummer alilopanda that was it!

Respect.

FMEs!
 
Nashukuru kama umesikia hivyo. Tuheshimiane, binadamu wote ni sawa.

Mimi tena, wapi nimekuvunjia heshima mkubwa?

- Imeshatoka hiyo,

- By ther way eti heshima ni nini mkuu kwa maoni yako? Na ni heshima ipi unayoisema hapa ambayo nimeivunja hasa on you?

Es!
 
First, kwa maoni yangu heshima ni kama ilivyoelezewa kwemye kamusi.

Second, heshima niliyozungumzia siyo juu yangu, bali juu ya mchangiaji 'uliyemquote katika quote niliyokuquote'.

Asante.
 
- Mkuu Ogah hata wewe tena, mbona huruma zaidi I mean nianzie wapi!

FMEs!

hamna cha huruma wala nini........anza tu Mkuu haina shida..........

- Kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana mkuu, ila after this sijui itakuwaje mkuu! Lakini ninashukuru kwamba umenionyesha mapema kabla hatujafika mbali.

FMEs!

Mkuu Sikiliza.........ninakuheshimu sana pia kama ninavyoheshimu wana JF wengine hapa...........sina bifu na mtu yeyote hapa..........na sifungwi na mtu yeyote hapa kutoa mawazo yangu au ku-comment chochote hapa ........eti kwa kuwa itamu-offend fulani......thats not my style............

.........i don't need huruma ya mtu yeyote...............heshima mbele.......
 
......... au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?......

..........Only MAJAMBAZI wa demokrasia wakishirikiana ili kuwalinda MAFISADI ndio watakubaliana na that type of "democracy".............
 
Mkuu Sikiliza.........ninakuheshimu sana pia kama ninavyoheshimu wana JF wengine hapa...........sina bifu na mtu yeyote hapa..........na sifungwi na mtu yeyote hapa kutoa mawazo yangu au ku-comment chochote hapa ........eti kwa kuwa itamu-offend fulani......thats not my style............

.........i don't need huruma ya mtu yeyote...............heshima mbele.......

- mkuu nimekusikia sana loud and clear, wala hukuwa na sababu ya kurudia kunionyesha ushujaa wako, nimeuona tayari mkuu toka ulipoanza tu, again nimekusikia sana tena loud and clear ilabuka kwamba aliyeanza ni wewe mwenyewe sio mimi, bifu na wewe sina ila ni tabia yangu kukataa unafiki! kuanzia hapa JF mpaka nje ya hapa msimao wangu huwa ni ule ule now wait and see!

FMEs!
 
First, kwa maoni yangu heshima ni kama ilivyoelezewa kwemye kamusi.

Second, heshima niliyozungumzia siyo juu yangu, bali juu ya mchangiaji 'uliyemquote katika quote niliyokuquote'.

Asante.

- Again nimekusikia loud and clear, wala usiwe na wasi wasi bro you got it! ila umeanza mwenyewe sio mimi!

FMEs!
 
- mkuu nimekusikia sana loud and clear, wala hukuwa na sababu ya kurudia kunionyesha ushujaa wako, nimeuona tayari mkuu toka ulipoanza tu, again nimekusikia sana tena loud and clear ilabuka kwamba aliyeanza ni wewe mwenyewe sio mimi, bifu na wewe sina ila ni tabia yangu kukataa unafiki!

FMEs!

Unanifahamu vizuri sana unafiki sio zangu.........ukiwa tofauti kihoja namimi.........i will always try to defend my opinion..........unless convinced otherwise.........no doubt abt that.........wala hakuna unafiki hapa.........
 
..........Only MAJAMBAZI wa demokrasia wakishirikiana ili kuwalinda MAFISADI ndio watakubaliana na that type of "democracy".............

- Kelele za mlango, demokrasia sio kuomba one thing kutoka wka watawala halafu isipo work hen kulilia kingine na kugeuka waliaji liaji, ndio maana kina Mandela waliamua kubaki jela hata walipoachiwa kwa sababu matakwa yao kuhusu uhuru wao yalikuwa hayajatimizwa, yalipotimizwa ndio wakakubali kutoka jela, tumelilia the wrong things sasa dawa kuwaomba tena na kukubali kwamba mwanzoni tulikosea na this time we are right kwamba tunacholilia yaani wagombea huru ndio dawa ya tatizo letu la uongozi mbovu Tanzania, can we say that?

FMEs!
 
Unanifahamu vizuri sana unafiki sio zangu.........ukiwa tofauti kihoja namimi.........i will always try to defend my opinion..........unless convinced otherwise.........no doubt abt that.........wala hakuna unafiki hapa.........

- Wote mkuu mimi na wewe tunazo hizo principles, sasa hakuna haja ya kutishana, wewe simamia zako kama uolivyoahidi na mimi ninasimamia zangu kama nilivyoahidi, sasa tatizo liko wapi? Hakuna aliyekuomba u-support anything isipokuwa nimeshitushwa tu na wewe kurukia yasiyokuhusu, that is all maana yanayokuhusu yapo mkuu tena mengi sana, au? Bwa! ha! ha! Inachekesha sana!

FMEs!
 
Mkuu Rev Kishoka kaja na swali kama ifuatavyo

Naomba nimuulize swali Baba Mkubwa Mzee Malecela,

Je kuzuia Wagombea binafsi wasio na chama nako si kukiuka Demokrasia au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?

notwithstanding my opinion wewe umekuja ni hili.........

- Kelele za mlango, demokrasia sio kuomba one thing kutoka wka watawala halafu isipo work hen kulilia kingine na kugeuka waliaji liaji, ndio maana kina Mandela waliamua kubaki jela hata walipoachiwa kwa sababu matakwa yao kuhusu uhuru wao yalikuwa hayajatimizwa, yalipotimizwa ndio wakakubali kutoka jela, tumelilia the wrong things sasa dawa kuwaomba tena na kukubali kwamba mwanzoni tulikosea na this time we are right kwamba tunacholilia yaani wagombea huru ndio dawa ya tatizo letu la uongozi mbovu Tanzania, can we say that?

FMEs!

Is this all that you can go........please......i doubt if you understood the point...........

Tueleze wewe basi tutaondokanaje na matatizo ya demokrasia yaliyo mbele yetu...........au wewe mwenzetu huoni tatizo?.........
 
- Wote mkuu mimi na wewe tunazo hizo principles, sasa hakuna haja ya kutishana, wewe simamia zako kama uolivyoahidi na mimi ninasimamia zangu kama nilivyoahidi, sasa tatizo liko wapi? Hakuna aliyekuomba u-support anything isipokuwa nimeshitushwa tu na wewe kurukia yasiyokuhusu, that is all maana yanayokuhusu yapo mkuu tena mengi sana, au? Bwa! ha! ha! Inachekesha sana!

FMEs!

Ni yapi hayo?........yanayoandikwa hapa JF nitayasoma nikiwa na muda na ikibidi nitayatolea maoni.....hakuna wa kunizuia eti hayanihusu.......yasiyoni/tuhusu.........yepelekeni huko kwenye PM.........period!
 
FMEs,

Mbona malalamiko mengi kwenye hoja hii?...any problems mkuu?..

Kama ni unyakyusa, Umalila, Undali, Usafwa, U nyia, nk nk..sisi wengine (Babu zao), ndo tuliowafundisha huo ujanja mpaka sasa wanapata heshima kwa migongo ya Uchungaji, ubunge, biashara za ngozi nk.

Ebu changia hoja iliyopo mezani bana!.
 
Mkuu Rev Kishoka kaja na swali kama ifuatavyo

notwithstanding my opinion wewe umekuja ni hili.........

Is this all that you can go........please......i doubt if you understood the point...........

Tueleze wewe basi tutaondokanaje na matatizo ya demokrasia yaliyo mbele yetu...........au wewe mwenzetu huoni tatizo?.........

- Umesema asiyekubali demokrasia ambayo kwa mawazo yako ni kukubali wagombea binafsi basi anashirikiana majambazi kulinda mafisadi, hivi kweli ulitegemea nikubali hii hoja finyu hivi? Kwako demokrasia ni wagombea binafsi tu?

- Tanzania tunayo matatizo mengi sana kisiasa hasa kiuongozi, lakini tatizo bado liko pale pale hawa viongozi wetu ni reflection yetu wemeyewe wananchi, sasa fundisho linapaswa kwua tunapopewa nafasi ya kusema shida zetu tutafiti kwanza badala ya kukurupuka tu, siamini kabisa kwamba wagombea binafsi ndio suluhisho la uongozi mbovu kwa, wananchi wasioelewa siasa kama sisi Tanzania,

-Kwa hiyo ni wewe ndiye hukunielewa point yangu, narudia ni kwamba siamini point yako kwamba wagombea binafsi ndio kipimo cha demokrasia halisi, that si very low coming from you as a solution to our problems!

FMEs!
 
FMEs,

Mbona malalamiko mengi kwenye hoja hii?...any problems mkuu?..

Kama ni unyakyusa, Umalila, Undali, Usafwa, U nyia, nk nk..sisi wengine (Babu zao), ndo tuliowafundisha huo ujanja mpaka sasa wanapata heshima kwa migongo ya Uchungaji, ubunge, biashara za ngozi nk.

Ebu changia hoja iliyopo mezani bana!.

- Eti unazungumzia hoja ipi hiyo, mimi mbona nakata kila ishu inayosukumiziwa on my way, sina noma mkuu? Mimi sijawahi kuwa na malalamiko kwa Mods au anybody mimi huwa nakata ishu na kujibu mapigo ya aina yoyote ile, sasa what is you point maana sasa nataka kwenda kualala kesho unajua mzigoni, au?

FMEs!
 
- Umesema asiyekubali demokrasia ambayo kwa mawazo yako ni kukubali wagombea binfasi basi anashirikiana majambazi kulinda mafisadi, hivi kweli ulitegemea nikubali hii hoja finyu hivi? Kwako demokrasia ni wagombea binafsi tu?

- Tanzania tunayo matatizo mengi sana kisiasa hasa kiuongozi, lakini tatizo bado liko pale pale hawa viongozi wetu ni reflection yetu wemeyewe wananchi, sasa fundisho linapaswa kwua tunapopewa nafasi ya kusema shida zetu tutafiti kwanza badala ya kukurupuka tu, siamini kabisa kwamba wagombea binafsi ndio suluhisho la uongozi mbovu kwa, wananchi wasioelewa siasa kama sisi Tanzania,

-Kwa hiyo ni wewe ndiye hukunielewa point yangu, narudia ni kwamba siamini point yako kwamba wagombea binafsi ndio kipimo cha demokrasia halisi, that si very low coming from you as a solution to our problems!

FMEs!

This is very low kutoka kwako kwa kuwa inaelekea huelewi maana ya demokrasia.........you don't impose stupid minds.......ya wachache CCM ukidai ndio matakwa ya wananchi wote........ni lini watanzania tulikataa.......tusiwe na wagombea binafsi........na kama huelewi matunda ya demokrasia.......basi tena.............

kuja na general statements eti viongozi ni reflection yetu wenyewe ni ufinyu wa mawazo...........na hasa kutoka kwa wale wanaosupport ujambazi wa demokrasia...........

Matatizo tunayo mengi na solution ziko nyingi..........sijasema independent candidates ndio muarobaini wa matatizo yetu.........isipokuwa ni one step towards kukubali madhaifu tuliyonayo kama Taifa........

Yes anayekataa idea ya Independenet Candidates anashirikiana na MAJAMBAZI wa Demokrasia CCM waliobadilisha katiba kusuit matumbo yao na MAFISADI.....Yes i said it!
 
Ni yapi hayo?........yanayoandikwa hapa JF nitayasoma nikiwa na muda na ikibidi nitayatolea maoni.....hakuna wa kunizuia eti hayanihusu.......yasiyoni/tuhusu.........yepelekeni huko kwenye PM.........period!

- Hillarious....anyways naona hakuna hoja zaidi, kama zipo kesho! Bwa1 ha! ha/! hayawezi kwenda PM wakati umeyaanza hapa hapa
jf mkuu, pole sana! lakini tuendelee kumkoma nyani bro ya kutishana hakuna hapa!

Later!

FMEs!
 
This is very low kutoka kwako kwa kuwa inaelekea huelewi maana ya demokrasia.........you don't impose stupid minds.......ya wachache CCM ukidai ndio matakwa ya wananchi wote........ni lini watanzania tulikataa.......tusiwe na wagombea binafsi........na kama huelewi matunda ya demokrasia.......basi tena.............

kuja na general statements eti viongozi ni reflection yetu wenyewe ni ufinyu wa mawazo...........na hasa kutoka kwa wale wanaosupport ujambazi wa demokrasia...........

Matatizo tunayo mengi na solution ziko nyingi..........sijasema independent candidates ndio muarobaini wa matatizo yetu.........isipokuwa ni one step towards kukubali madhaifu tuliyonayo kama Taifa........

Yes anayekataa idea ya Independenet Candidates anashirikiana na MAJAMBAZI wa Demokrasia CCM waliobadilisha katiba kusuit matumbo yao na MAFISADI.....Yes i said it!

- Majambazi wa CCM wameungwa mkono na wengi sana hata wakimbikizi ambao walihifadhiwa bila kutuomba ruhusu wananchi sisi wananchi, sasaleo wamekuwa majambazi na hawafai, kweli shukrani ya punda ni mateke1

- Demokrasia sio wagombea binafsi tu, kuna mengi ya kubadili sio hilo tu, wananchi waTanzania wamechoshwa na viongozi wasioelewa tatizo letu ni nini sasa inashangaza hata na wasomi wanaposhindwa kuelewa tatizo letu liko wapi, kama ni majambazi wa CCM hata wanaposaidia wakimbikizi huwa wanatumia hiyo hiyo tabia unayoisema ya ujambazi uajmbazi, au?

- Ufinyu wa mawazo ni kudai wagombea binafsi ndio demokrasi na kwamba ndio solution ya matatizo yetu Tanzania kiuongozi na wananchi wasioelewa kinachoendelea, huo ni serious ufinyu wa mawazo it cannot get lower, au?

- Kama ni stupid minds huwa wana-impose hata wanaposaidia wakimbizi kwa hela zetu walipa kodi bila kutuomba bungeni, that is stupid minds on our leaders, au?

FMEs!
 
.............- Demokrasia sio wagombea binafsi tu, kuna mengi ya kubadili sio hilo tu,

Agreed.....and........thank you for atleast acknowledging this.......lets move on............

wananchi waTanzania wamechoshwa na viongozi wasioelewa tatizo letu ni nini.......

....wow.....now you are talking....and im with you on this......but don't forget the bucks again stops with us......how do we solve this problem..........i.e.........viongozi wasioelewa tatizo letu ni nini.......ilhali hata kwenye ballot box in a way hao viongozi tuliowachoka wanaenedelea kutughiribu?............

..........sasa inashangaza hata na wasomi wanaposhindwa kuelewa tatizo letu liko wapi, kama ni majambazi wa CCM hata wanaposaidia wakimbikizi huwa wanatumia hiyo hiyo tabia unayoisema ya ujambazi uajmbazi, au?

FMEs!

....NO.....sio kwamba wasomi hawaelewi.........labda wewe ndio huwaelewi.........wasomi wameainisha moja ya tatizo ambalo linahitaji ufumbuzi.....wanatolea ufumbuzi.........ambapo ume-acknowledge kama ifuatavyo......

.............- Demokrasia sio wagombea binafsi tu, kuna mengi ya kubadili sio hilo tu,

....lets move on.......
 
Back
Top Bottom