- Hapana ina maana basi wewe una matatizo ya kufikiri kabla ya kusema, kwa sababu kama kuna u-mediocre wa viongozi wetu ninasema unaanzia na sisi wananchi, sisi wananchi hatuwezi kuwa politically correct, halafu tukaishia kuchagua viongozi ambao ni politically mediocre, wananchi mediocre huishia kuchagua viongozi wale wale wanaofanana nao, yaani mediocre one does not need to be a scienticist ku-figure this out! na kutokuelewa hili ni kutokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa any so called Great Thinker!
- Irrelevant, hakuna aliyezuiwa wala kukatazwa kujadili na ndicho tunachojaribu kukifanya sasa hivi, unless kuna something I am missing hapo, au? Vipi umekatazwa au kuzuiwa kujadili?
- Ni mtizamo wako, wa kwangu ni we are better off na Quaresi pamoja na Butiku, kuliko kina Ndulu na Serukamba, nothing is wrong na mitizamo tofauti looking at one ishu ndio demokrasia!
- Kwenye hili la wagombea binafsi, labda kaangalei tena ulipoanzia maana ume-pick up hoja hii toka kwa Reverend, na huu ni muendelezo, kama umeamua sasa kwamba wagombea binafsi sio solution ya matatizo yetu, hilo tuko pamoja sana I am down!
- Sawa sawa, na hapa tupo pamoja sana!
- Kuwaita CCM au chama chochote cha siasaTanzania kuwa ni majambazi siko na wewe on that, kwa sababu in the process ya kuwaita majina, mbele ya wenye akili hata na wewe the caller unaishia kujishusha hadhi, majambazi hawawezi kupewa madaraka na wananchi wasio majambazi, ndio maana ninasema inahitajika elimu kubwa sana ya siasa kwa sisi wananchi, maana wananchi walioelimika na wastaarabu hawawezi kuita chama kinachowatawala kwa kupigiwa kura this kind of names ni dalili za ufukara wa uelewa kama sio kufikiri!
- Again siamini kwamba wagombea huru ndio solution ya matatizo yetu ya uongozi na I could careless kama wanaruhusiwa ua hapana, lakini nina-support idea za kubadili katiba kwanza, kabla ya anything. Wagombea huru hawajawahi anywhere kufanya anything worthy zaidi tu ya kutumika na vyama vikubwa vya siasa katika kuwasaidia kushinda uchaguzi, juzi Scott Brown, ameshinda kiti cha Teddy Kennedy kwa sababu independents wamempigia kura kwa wingi sana mgombea wa Republican, Clinton akishinda urais 1992 kwa sababu Perot mgombea huru alikuwa anam-support hivyo wapiga kura wake walikuwa wanamsaidia Clinton, lakini sio wao as independent party maana they do not stand for anything wothy nationally, zaidi tu ya Global Warming stuff!
- Tanzania wagombea binafsi watatusaidia nini? Hiyo nafasi wataitoa wapi katikati ya CCM na huu Upinzani? Raia gani mwenye akili timamu atachagua Rais asiye na chama cha siasa? Ndio maana ninasema kwamba wasomi wasiwa-miss lead wananchi na hoja hewa ambazo zitaishia kuwakandamiza wananchi under makucha ya wajanja, tumeksoea sana katika kupendekeza priorities zetu nationally, sasa ufike wakati tutafakari kabla ya kukurupuka, maana watawala they are very good kuchukua advantage ya ishu hewa kama hizi za wagombea binafsi, ambazo tutaishia kuchagua matajiri ambao historia iko wazi huwa wanasimamia agenda zao za kulinda na kuendeleza utajiri wao, ndio maana wagombea binafsi karibu wote huko majuu huwa ni matajiri wa kutupwa, sijawahi kuona mgombea binafsi mwenye nafasi ya uongozi, aliye masikini au hata middle class, ndio maana ninasema hii dhana haina tija kwetu Tanzania, labda symbolically tu kwamba na sisi tumo maana tuna wagombea binafsi!
- Now huu ni msimamo wangu na wewe unaweza kwua na wako, inakubalika katika demokrasia!
- Ambao ni washikaji zako pia, au?
- Total nonsense, nimekwambia time and time again kwamba wewe una msimamo wako na mimi nina wa kwangu, sasa hakuna aliuyekukatza kujadili anything, sielewi hiki kilio unachokitoa sana maana unakwua kama kuna anayekulazimisha something usichotaka, no way hapa tunajadili kuchemsha na kutochemsha huonyeshwa kwa hoja sio kubweka bweka bila subtance as you have been doing, na hakuna aliyekuomba kuisha kwa anything unless you are dreaming ni wapi nimekuomba yaishe?
- Wewe una opinion na mimi ninazo ninazisema na sitishiki na hizi ngonjera, na wala hakuna aliyekutisha so far naona unajitisha mwenyewe, na yes kuita majina ya viongozi mediocre ni part ya kujenga hoja, maana inapendeza kuongea kwa mifano, ndio maana ninasema hivi vijana kina Serukamba, Ndulu, na Rostam ni bad idea kwa uongozi wa taifa, I have all the rights kusema hivyo, now what is your problem?
- Hapana hatuwezi ku-solve matatizo yetu kwa kulilia none-ishus, badala ya kulilia real ishus, tunahitaji kulilia kujenga built in system katika political system yetu ambayo itawa-empower wananchi kuwa na nguvu za kisiasa kurekebisha anything under their system of national leadership, wananchi wa Carlifornia walipoona gavana hana uwezo wa kuongoza walijikusanya na kusaini petition ya kumuondoa madarakani yule gavana Davis, that is what we need sasa hivi Tanzania na huwezi kuwa na hili bila ya kubadilisha katiba.
- Katika siasa zetu Tanzania sioni popote pale palipozibwa kichwa, na ni ufinyu wa kuelewa unaoweza hata ku-suggest kwamba kuna somewhere katika political system yetu ambako kichwa kimezibwa, hapana kila kitu kiko wazi kwamba ni rotten na ni very corrupt, kwa hiyo hakuna kichwa kulichofunikwa wala kuzibwa, wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusu elimu ya siasa yao, sasa tatizo kubwa tulilonalo ni kwamba hata wachache wasomi wenye kuelewa kidogo nao pia wanaonekana kushindwa kutumia hicho kichahce kwa faida ya taifa, bdala yake imekwua ni makelele hewa tu, inasikitisha sana!
- Sasa nipo tena in-full, bring it on!
Es!