Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Naomba nimuulize swali Baba Mkubwa Mzee Malecela,
Je kuzuia Wagombea binafsi wasio na chama nako si kukiuka Demokrasia au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?
Nashukuru kama umesikia hivyo. Tuheshimiane, binadamu wote ni sawa.
Mimi tena, wapi nimekuvunjia heshima mkubwa?
- Imeshatoka hiyo,
- By ther way eti heshima ni nini mkuu kwa maoni yako? Na ni heshima ipi unayoisema hapa ambayo nimeivunja hasa on you?
Es!
- Mkuu Ogah hata wewe tena, mbona huruma zaidi I mean nianzie wapi!
FMEs!
hamna cha huruma wala nini........anza tu Mkuu haina shida..........
- Kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana mkuu, ila after this sijui itakuwaje mkuu! Lakini ninashukuru kwamba umenionyesha mapema kabla hatujafika mbali.
FMEs!
......... au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?......
Mkuu Sikiliza.........ninakuheshimu sana pia kama ninavyoheshimu wana JF wengine hapa...........sina bifu na mtu yeyote hapa..........na sifungwi na mtu yeyote hapa kutoa mawazo yangu au ku-comment chochote hapa ........eti kwa kuwa itamu-offend fulani......thats not my style............
.........i don't need huruma ya mtu yeyote...............heshima mbele.......
First, kwa maoni yangu heshima ni kama ilivyoelezewa kwemye kamusi.
Second, heshima niliyozungumzia siyo juu yangu, bali juu ya mchangiaji 'uliyemquote katika quote niliyokuquote'.
Asante.
- mkuu nimekusikia sana loud and clear, wala hukuwa na sababu ya kurudia kunionyesha ushujaa wako, nimeuona tayari mkuu toka ulipoanza tu, again nimekusikia sana tena loud and clear ilabuka kwamba aliyeanza ni wewe mwenyewe sio mimi, bifu na wewe sina ila ni tabia yangu kukataa unafiki!
FMEs!
..........Only MAJAMBAZI wa demokrasia wakishirikiana ili kuwalinda MAFISADI ndio watakubaliana na that type of "democracy".............
Unanifahamu vizuri sana unafiki sio zangu.........ukiwa tofauti kihoja namimi.........i will always try to defend my opinion..........unless convinced otherwise.........no doubt abt that.........wala hakuna unafiki hapa.........
Naomba nimuulize swali Baba Mkubwa Mzee Malecela,
Je kuzuia Wagombea binafsi wasio na chama nako si kukiuka Demokrasia au ni ruksa kwa Demokrasia kuamua ni lazima fulani awe katika Chama fulani ili agombee Udiwani, Ubunge au Urais?
- Kelele za mlango, demokrasia sio kuomba one thing kutoka wka watawala halafu isipo work hen kulilia kingine na kugeuka waliaji liaji, ndio maana kina Mandela waliamua kubaki jela hata walipoachiwa kwa sababu matakwa yao kuhusu uhuru wao yalikuwa hayajatimizwa, yalipotimizwa ndio wakakubali kutoka jela, tumelilia the wrong things sasa dawa kuwaomba tena na kukubali kwamba mwanzoni tulikosea na this time we are right kwamba tunacholilia yaani wagombea huru ndio dawa ya tatizo letu la uongozi mbovu Tanzania, can we say that?
FMEs!
- Wote mkuu mimi na wewe tunazo hizo principles, sasa hakuna haja ya kutishana, wewe simamia zako kama uolivyoahidi na mimi ninasimamia zangu kama nilivyoahidi, sasa tatizo liko wapi? Hakuna aliyekuomba u-support anything isipokuwa nimeshitushwa tu na wewe kurukia yasiyokuhusu, that is all maana yanayokuhusu yapo mkuu tena mengi sana, au? Bwa! ha! ha! Inachekesha sana!
FMEs!
Mkuu Rev Kishoka kaja na swali kama ifuatavyo
notwithstanding my opinion wewe umekuja ni hili.........
Is this all that you can go........please......i doubt if you understood the point...........
Tueleze wewe basi tutaondokanaje na matatizo ya demokrasia yaliyo mbele yetu...........au wewe mwenzetu huoni tatizo?.........
FMEs,
Mbona malalamiko mengi kwenye hoja hii?...any problems mkuu?..
Kama ni unyakyusa, Umalila, Undali, Usafwa, U nyia, nk nk..sisi wengine (Babu zao), ndo tuliowafundisha huo ujanja mpaka sasa wanapata heshima kwa migongo ya Uchungaji, ubunge, biashara za ngozi nk.
Ebu changia hoja iliyopo mezani bana!.
- Umesema asiyekubali demokrasia ambayo kwa mawazo yako ni kukubali wagombea binfasi basi anashirikiana majambazi kulinda mafisadi, hivi kweli ulitegemea nikubali hii hoja finyu hivi? Kwako demokrasia ni wagombea binafsi tu?
- Tanzania tunayo matatizo mengi sana kisiasa hasa kiuongozi, lakini tatizo bado liko pale pale hawa viongozi wetu ni reflection yetu wemeyewe wananchi, sasa fundisho linapaswa kwua tunapopewa nafasi ya kusema shida zetu tutafiti kwanza badala ya kukurupuka tu, siamini kabisa kwamba wagombea binafsi ndio suluhisho la uongozi mbovu kwa, wananchi wasioelewa siasa kama sisi Tanzania,
-Kwa hiyo ni wewe ndiye hukunielewa point yangu, narudia ni kwamba siamini point yako kwamba wagombea binafsi ndio kipimo cha demokrasia halisi, that si very low coming from you as a solution to our problems!
FMEs!
Ni yapi hayo?........yanayoandikwa hapa JF nitayasoma nikiwa na muda na ikibidi nitayatolea maoni.....hakuna wa kunizuia eti hayanihusu.......yasiyoni/tuhusu.........yepelekeni huko kwenye PM.........period!
This is very low kutoka kwako kwa kuwa inaelekea huelewi maana ya demokrasia.........you don't impose stupid minds.......ya wachache CCM ukidai ndio matakwa ya wananchi wote........ni lini watanzania tulikataa.......tusiwe na wagombea binafsi........na kama huelewi matunda ya demokrasia.......basi tena.............
kuja na general statements eti viongozi ni reflection yetu wenyewe ni ufinyu wa mawazo...........na hasa kutoka kwa wale wanaosupport ujambazi wa demokrasia...........
Matatizo tunayo mengi na solution ziko nyingi..........sijasema independent candidates ndio muarobaini wa matatizo yetu.........isipokuwa ni one step towards kukubali madhaifu tuliyonayo kama Taifa........
Yes anayekataa idea ya Independenet Candidates anashirikiana na MAJAMBAZI wa Demokrasia CCM waliobadilisha katiba kusuit matumbo yao na MAFISADI.....Yes i said it!
.............- Demokrasia sio wagombea binafsi tu, kuna mengi ya kubadili sio hilo tu,
wananchi waTanzania wamechoshwa na viongozi wasioelewa tatizo letu ni nini.......
..........sasa inashangaza hata na wasomi wanaposhindwa kuelewa tatizo letu liko wapi, kama ni majambazi wa CCM hata wanaposaidia wakimbikizi huwa wanatumia hiyo hiyo tabia unayoisema ya ujambazi uajmbazi, au?
FMEs!
.............- Demokrasia sio wagombea binafsi tu, kuna mengi ya kubadili sio hilo tu,