Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia

.

Mkuu una boa sana na pengine ndiyo maana umeambia upeo wako ni mdogo.
Kupata kazi siku hizi ni ushindani mkubwa dunian kote na katika ushindani wowote ule, usipokuwa na bahati ni kazi bure na hiyo sio kwa Tanzania tu kama upeo wako ulipoishia.

Sasa unachoandika ni pumba tu na hatukuelewi zaidi ya kujichanganya mwenyewe.
 
.

1.Mkuu Kiranja.
Yaani nimecheka sana.Tangu mwanzo niki argue naye,ananifananisha sijui na kizee gani cha kinyakyusa huko US.Nimemwambia mimi ata huko US sijafika,lakini wapi.

2.Nimejaribu kumkatalia kuwa mimi sio mzee na baado mwezangu kafika na sielewi kwanini anifananishe na hicho kizee cha watu.

3.Mara nyingine ninajiuliza,sijui kilimkosea nini au kiliwahi kugombana na ndugu zake ata sipati jibu.

4.Sasa nimemuomba yaishe na anitafute kwenye PM ili nimwambie mimi ni nani,lakini yeye anaendelea na imani yake kuwa mimi ni mzee.heheh

5.Ndugu yangu FMES.
Mimi ni kijana.Tena kijana sana na tegemeo la nchi yangu hapo baadaye.Baado niko shule na hiyo phd baado sijafikia na sijawahi kuandika ata kitabu kimoja.

6.Ukitaka kushindani na mimi kwa lugha za kimjini utakuwa umeumia kwani ni sawasawa na kushindana na ukuta ambapo matokeo yake utaumia mwenyewe.

7.Tafadhali mwache huyo mzee wa kinyakyusa na kama uliwahi kumsaidia,basi msaidie tu,bila kumsimanga au kumfananisha na watu.Kama wachangiaji walivyosema kuwa uzee unapoingia na Akili nazo zinatoweka ki aina.Kwa hiyo mshua wa Kinyakyusa anahitaji msaada na sio masimango.
 
.



4.Sasa nimemuomba yaishe na anitafute kwenye PM ili nimwambie mimi ni nani,lakini yeye anaendelea na imani yake kuwa mimi ni mzee.heheh

katika makosa utafanya na kujutia nafsi yako maisha yote ni kumwambia wewe ni nani. Hujui sababu ya watu kutumia majina bandia humu?
 

- Samwel, ukifuatilia hii thread hakuna ulipotajwa wala kutuhumiwa, ila ni wewe mwenyewe ndiye uliyeamua kujitishwa responsibility unayodai sio yako, sasa hebu nenda uonyeshe mahali uliposemwa kwamba ni wewe |Samwel, vipi mkuu unajishuku sana? Bwa! ha! ha! inachekesha sana eti!

- By the way vipi tukirudi kwenye hoja ya mada? Can we? Vipi wewe ndiye haka kazee kamekuwa kakirusha sana matusi kule other blogs vipi?

Es!


-
 

- Off course, viongozi wetu siku zote ni reflection yetu, wananchi tusio na vision na viongozi pia, maana haiwezekani kukawepo wananchi wenye vision na bado tukaendelea kuchagua viongozi kama Serukamba, Rostam na kina Ndulu, reforms zinahitajika kwanza na sisi wananchi, and then ndio tutaweza kurekebisha taifa, hatuwezi kurekebisha taifa na hizi filimbi za kilevi.

- Bunge letu lina wabunge 80% vijana, lakini juzi tu it took mzee Malecela, kuusimamisha mswaada mbuzi wa Sophia Simba, kama sio Mzee Malecela kuukataa na kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza ule mswaada wa ajabu ungepitishwa, sasa hawa wabunge vijana walikuwa wapi? Mind you Sophia naye ni kijana tena alijinadi sana kwamba ni msomi, ndio ninasema hii dhana ya ujana na uzee katika uongozi wetu, bado hakuna enough facts za ku-conclude on anything, binafsi ninasema tunawahitaji sana baadhi ya wazee, ambao wanaweza kusimama kidete, wazee kama Quaresi, Butiku, Ulimwengu, na hawa kina Malecela, ama sivyo hili taifa litaishia kubaya zaidi kuliko lilipo sasa.

- Wasomi hawalazimishi hoja, na kudai eti wagombea binafsi ndio solution hivi Rais gani wa nchi yoyote duniani sasa na huko nyuma alikuwa mgombea binafsi? Hawa matajiri sasa hivi tayari wameshateka our political system imekua kama yao, sasa ukiwapa na luxury ya wagombea binafsi, ndio kabisaa tumekwisha hasa na hizi sheria tulizonazo, cha muhimu kwanza ni kurekebisha katiba, kwa sababu huwezi advance na katiba ya chama kimoja ndani ya siasa za vyama vingi, hata ukipewa ugombea binafsi ni wale wale wenye advantage na hii current political system ndio wataitumia kwa faida yao, it is about a rotten system sio majina ya watu wala viongozi kwa maoni yangu!

- Lakini ishu ya uzee na vijana, kwa mifano ya uongozi niliyokwisha iona sasa Tanzania, siamini kabisa kwamba ni ishu anyways sio siri ya siasa na uongozi yametushinda, sasa tusubiri generation ijayo sio hii wala vijana kina Serukamba, na Rostam, I mean na Karume naye si kijana, tazama anayoyafanya, poleni sana wakuu lakini demokrasia ni kukubali kutokubaliana sometimes, kwa kujali interest ya taifa kwanza!

- Sasa hapa chini masome Dr. Slaa anayeielewa vizuri sana siasa yetu:-


Es!
 
katika makosa utafanya na kujutia nafsi yako maisha yote ni kumwambia wewe ni nani. Hujui sababu ya watu kutumia majina bandia humu?

- Too low kwa mimi kujibu, pole sana mkuu ila haya majambazi ya CCm kama unavyoyaita yamesaidia wengi sana hata wakimbizi wasio na kwao, ingawa huwa siku zote shukrani ni tatizo sana, haya majambazi ya CCM yametumia hela za taifa kusaidia wakimbizi badala ya kusomesha watoto wa walalahoi wananchi wa Tanzania, sasa ungetegemea kuwe na some respect japo kidogo!

- Sasa uamuzi ni wako kukata ishu na mimi au kwenda personal, I love it maana ni aibuu, you know better! usinilazimishe kwenda hiyo avenue ya kukujua, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu! lakini sina noma ukitaka! na ukitaka kujadili hoja anytime!

- Weekend hii kuna mkali mmoja amenitupia virus nzito sana na kuiua kabisa computer yangu, lakini soon nitarudi tena infull ndio maana ninapotea mkuu na huu mtandao wa kuazima kwa washikaji, otherwise niko na wewe na huu mjadala mpaka kieleweke!

Es!
 
-

- Sasa uamuzi ni wako kukata ishu na mimi au kwenda personal, I love it maana ni aibuu, you know better! usinilazimishe kwenda hiyo avenue ya kukujua, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu! lakini sina noma ukitaka! n

Es!

Sikujui zaidi ya kusoma maandishi yako humu unavyojua watu, dunia nzima!
Haya kanyaga twende, labda unanijua kweli.
 
Sikujui zaidi ya kusoma maandishi yako humu unavyojua watu, dunia nzima!
Haya kanyaga twende, labda unanijua kweli.

- Ukitaka kujuana na mimi ninakukaribisha, sasa mbona unabweka bweka tu vitu hamna, acha kupoteza muda wangu wewe kijana mdogo sana kama una ubavu jaribu basi ebo!! Nikujue wewe utanisaidia nini acha kubweka bweka weka vitu hapa tuvine!

- Otherwise, ninaendelea kukata ishus muhimu kwa masilahi ya taifa! Dogo acha kutisha tisha nyau, hapa ni real deal! mimi sio mkimbizi! wala mlowezi!

FMEs!
 
.

FMES,
Sawa Mkuu kama, sio mimi uliyekuwa una mwandika na kumwita mzee.
 

unajua wewe una matatizo ya kuelewa........hivi kuna sehemu mimi nimesema natetea vijana against wazee au wazee against vijana?..........ninachokataa hapa siku zote si umri wa mtu ninalokataa ni umediocre wa viongozi tulio nao...........
...........Mzee Malecela kauli zake sio end of the world........zinajadilika na ndicho wanachofanya wanaJF hapa.........kuna ubaya hapo?

Kuhusu Mateo na Butiku hao nilishasema.......ni waste of time/Losers......i don't need to go into details..........just know they are big time LOSERS.........

Hakuna aliyelazimisha hoja hapa........hoja imejengwa.........na umei-acknowledege kama moja ya matatizo tuliyonayo.........na ninarudia........independent candidates sio muarobaini wa mamatizo yetu mengi tunayo-face......isipokuwa ni moja ya steps towards solving matatizo tuliyonayo i.e. demokrasia....sasa sijui kigumu hapo kuelewa kiko wapi........

Kudai katiba ni hoja tuliyokuwa kuwanyo tangu bcs, TEF Jambo na sasa JF bado inaendelea.......na hiyo pia ni moja ya ufumbuzi wa matatizo yetu.....watu CCM (majambazi) wakaja na hoja kuwa katiba haina shida na kama kuna shida basi izibwe viraka...........majambazi CCM wakaziba kiraka kwa kwenda bungeni kunyima haki za wagombea binafsi.......DAMN......kama wewe unaona hiyo ndio sawa..........mi nakuambia.........aluta continua.........mapambano yanaendelea...........

achilia mbali akina Serukamba na washikaji zako wengine..............mimi zangu huwa sichagui..........ukichemsha..........i'm free kuongea my mind na ninavyotaka...........na sio upuuzi wa kutaja taja majina........ukifikir ndio kujenga hoja.......kutaja taja/kurudia rudia majina sio ujengaji hoja........

Mimi sio mtu wa kusema ........'hold on fire"........oohh mara yaishe.........no way........i will defend my opinion unless convinced otherwise..........

NOTE: hatuwezi ku-solve matatizo yetu kwa kufunika kichwa huku mwili mzima uko exposed............
 
 
.

FMES,
Sawa Mkuu kama, sio mimi uliyekuwa una mwandika na kumwita mzee.

- Unajua mkuu ninarudia kwamba something is not very right, maana mbona umekazana sana na hala kazee ambako kwa maneno yako sio wewe? I mean halafu mbona kwa mara ya kwanza sasa unaongea kwa heshima sana vipi kuna nini huko mkuu?

- I mean mimi mwendo wangu ni ule ule mdundo, ninasema ninasonga mbele na whatever comes kwangu ni kujibu mapigo tu, tena anytime, anywhere huwa sichokozi ila huwa ninajibu mapigo tena kiroho mbaya sana! na note this, sikuzaliwa jana!

Wasalimie sana huko Mwanza kama ulivyosema mwenye last time mkuu, Bwa! ha! ha! na hasa watoto kina maduhu, au? Bwa! ha! ha! ha! I love it!


Es!
 
Kwa Tanzania, ukomo utasaidia. Tusijilinganishe na wazungu

- Ni lazima tujilinganishe na wazungu maana tunawaiga kila kitu na kila kizuri tulichonacho wametuletea wao au wametuambia wao,

- Ukomo wa uongozi bila uwezo wa kuongoza hauwezi kutusaidia anything, tuna viongozi wengi wasio na uwezo wa kuongoza, na wananchi wengi tusio na uelewa wa siasa ya taifa letu!


Es!
 
 


- I love it acha hasira mkuu njoo tumkome nyani, Bwa! ha! ha ha! si tumekubaliana haogopwi mtu hapa wala hatishwi mtu, au? Ni afadhali kuwa chizi kuliko kuwa ubwabwa, au riziki ya akili, au?

Field Marshall Es!
 
- I love it acha hasira mkuu njoo tumkome nyani, Bwa! ha! ha ha! si tumekubaliana haogopwi mtu hapa wala hatishwi mtu, au? Ni afadhali kuwa chizi kuliko kuwa ubwabwa, au riziki ya akili, au?

Field Marshall Es!

..............hakuna hasira hapa wewe ni bwana mdogo sana............unajua mtu unajisema mwenyewe yale yaliyokufika.............labda kama umebadilika sasa/siku hivi/hizi.........unahitaji ushauri nasaha.....sijui unatoa picha gani kwa vijana wako...........ndio maana hata unanyooshea mikono wanaume................au?.....huruma tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…