Baada ya kutoka nae town kumfanyia shopping ya hela yote nikamwambia lazima aje magetoni anioneshe kile alichopewa na mama(kipochi manyoya).
Akaanza kuniletea uswahili wa kipumbavu wakat huo mjuba nimeharbu bajeti yangu ya mwez mzima kumfanyia shopping dem asiye na shukran[emoji23].
Basi bwana, wakat tupo kwenye daladala tunarudi ili kila mtu aende kwake, mim kichwa kikawa kinawaka moto nikifikiri ni namna gani nitarudisha gharama zangu nilizotumia kumgharamikia huyo mwanamke asiye na shukran, yaani agome kuja mageton wakat keshavunja walleti yangu? Hapana kwakweli.
Wazo lililokuja akilini ilikuwa ni kuwasanua wahuni na kuwachoreshea ramani wamlie timing huyu mwanamke tapeli akiwa anaenda kwake, wamfanyie ambushi aporwe kila kitu cha thamani ikiwepo simu yake ya gharama ili namm nifidie hasara[emoji3][emoji16].
Basi bana deal likatiki nikawapanga wahuni kwenye simu nikiwatext, wamiliki njia zote anazotumiaga kupita yaani nikihakikisha huyu mjinga hachomoki mtegon labda apae angani, nako nitamdaka tu.
Maajabu wakati nashuka kwenye daladala baada ya kufika kituo nilichokuwa naenda, nae si akashuka kunifuata[emoji23][emoji23][emoji23] huku akisema ameghaili kwenda kwake hivyo atakuja aongozane namimi magetoni akacheze ndomboroo ya solo[emoji23][emoji23]hapo kimoyo moyo nikajisemea UMEPONA LEO LA SIVYO UNGEJUTA, maana mitego ilikuwa imeshatiki na wahuni walianza kunitext kuulizia windo lao lipo wapi wajiandae kwa kazi[emoji16][emoji23].
Bahat yake hata huko aliko, wanaume tujifunze kuwa na msimamo, hakuna kucheka na hawa wanawake matapeli, wanaogeuza mapenzi kuwa sehem ya kufanyia ujambazi wao na utapeli.mwaka huu tubadirike tuanze kuwatesa wao na sio wao kututesa sisi.