Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao wataliamsha amsha tu.

Zamia kwenye nchi ya watu, piga hela ila muda wote kaa mkao wa kugeuza, usiende kuzalia mitoto huko......

===================================

Firebrand South African opposition leader Julius Malema has asked Zimbabweans to seek employment in their own country. It is a pointer to a shifting political stance by a politician otherwise known for Pan-African rhetoric and a signal to mounting pressure on politicians in Africa’s largest economy to address an escalating illegal immigration crisis.

Outbreaks of xenophobia led by an extremist political group known as Operation Dudula (which means "force out" in isiZulu) have brought renewed attention to illegal immigrants in South Africa, most of whom are from Zimbabwe.

According to the results of South Africa’s 2022 census, Zimbabweans are by far the largest immigrant population, at over one million, or 35 per cent of foreigners, followed by Mozambicans (18.7 percent), BaSotho (10.2 percent), Malawians (8.9 percent), and Britons (2.8 percent).

Source: The East African
 
Tabu inakuja kwa Wakenya,tukiwaambia wasifanye biashara ndogo ndogo inakuwa ugomvi kama hawana kwao.Tujifunze kupenda kwetu.
 
he is a fool, kwa maana ana target watu wesui tu, lkn hafukuzi muslims, wahindi, wachina, waarabu hivyo amejawa na chuki dhidi ya watu ambao kila siku anajisabu kuwatetea ...
 
he is a fool, kwa maana ana target watu wesui tu, lkn hafukuzi muslims, wahindi, wachina, waarabu hivyo amejawa na chuki dhidi ya watu ambao kila siku anajisabu kuwatetea ...
Acha usenge wako we kitobo,muslims ni waislamu so kuna black na white katika waislamu,sasa ulitaka awachukie waislamu?Your black ass stupid
 
Tabu inakuja kwa Wakenya,tukiwaambia wasifanye biashara ndogo ndogo inakuwa ugomvi kama hawana kwao.Tujifunze kupenda kwetu.

Kufanya biashara ni tofauti na kwenda kuzaliana kwenye nchi ya watu, kwa mfano ukienda Kenya kuna sehemu inaitwa Gikomba, ni soko kama la pale Karume, Dar. Humo Gikomba kumejaa Watanzania wengi sana wanauza bidhaa zao na biashara ndogo ndogo.
 
Makobaz yote yafukuzwe sauzii bondeni kwa kweli, hayana faida kwa taifaa
 
Back
Top Bottom