Malenga Julius Mlemavu kutoka Tunduma amempa pesa Tundu Lissu Mahakamani

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563

Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu.

Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000.

Hapa alirejea tena Mahakamani baada ya mapumziko
 
You are a precious gift to humanity 🙏🏿

IMG-20260827-WA0008.jpg
 
Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu.

Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000.

Hapa alirejea tena Mahakamani baada ya mapumziko
Upendo wa hali ya juu mnoo
Tundu Lissu anapendwa wazeee
 
Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu.

Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000.

Hapa alirejea tena Mahakamani baada ya mapumziko
Watamteka, time will tell
 
Back
Top Bottom