Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

Kama umetangaza kuacha ni kazi labda ubadilishe kamapani yako uhame kabisa hata mkoaa
mkuu naendelea kuishi nao lakini bar na maeneo ya kunywa pombe siendi
 
Hatimae nimetimiza mwaka 1 bila kutumia pombe..tuzidi kuombeana mana hichi kishawishi ni kigumu sana hasa kama ulikua mywaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tuko pamoja leo hata mm naomba Mungu iwe mara ya mwisho, nimekua mfuasi wa miaka 5
 
Sawa Mkuu.

Mungu akuongoze ila angalia usije ukacompasate pombe na chini itakuwa hatari zaidi.
Na wengi wanaswitch automatically kutoka kwa ulabu kwenda kulabua mbususu!
 
Weka malengo ya kununua kitu kikubwa cha thamani kubwa na saving yake iwe ni kila siku apo utaacha tu bila ata kushikiwa bunduki
 
Habari wakuu
Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!

Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi,,, serengeti lite, konyagi, k vant black&white na pombe nyingine nyingi zilitawala 2021

Leo tarehe 31 December ndio siku ya mwisho kabisa kunywa pombe maishani mwangu kwani nimeitumikia kwa zaidi ya miaka 10... sasa pombe na mimi basi

2022 no alcohol!, mimi na maji, soda & juice
Ina wezekana mbona mimi nili acha, ila sigara ndo ina ni tesa
 
Habari wakuu
Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!

Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi,,, serengeti lite, konyagi, k vant black&white na pombe nyingine nyingi zilitawala 2021

Leo tarehe 31 December ndio siku ya mwisho kabisa kunywa pombe maishani mwangu kwani nimeitumikia kwa zaidi ya miaka 10... sasa pombe na mimi basi

2022 no alcohol!, mimi na maji, soda & juice
Nakuunga mkono Pombe sio nzuri...
 
Tanzania itajengwa na wazalendo wewe unapanga kuhujumu uchumi! Hiyo siyo sifa.
 
Habari wakuu
Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!

Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi,,, serengeti lite, konyagi, k vant black&white na pombe nyingine nyingi zilitawala 2021

Leo tarehe 31 December ndio siku ya mwisho kabisa kunywa pombe maishani mwangu kwani nimeitumikia kwa zaidi ya miaka 10... sasa pombe na mimi basi

2022 no alcohol!, mimi na maji, soda & juice
Karibu kwenye kuchanja..buku tano yako tu.pakti moja,big G zako,chipa ya maji,na maziwa fresh.. baada ya kazi..unajumuika na washkaji mpaka saa tatu-nne.. story kibao kucheck mpira,mwenye kuchart na simu sawa..ukimaliza zako unasukutua unapiga maziwa yako fresh unasepa home..kwenye vijiwe vya kuchanja hakuna kupeana round wala offer offer..niwewe namazaga yako ukimaliza unasepa zako.hakunaga ugomvi wala makelele wala mademu.
 
Back
Top Bottom